marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

holiganbet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

palacebet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

superbetin

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

casibom giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

porno izle

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino

bets10 giriş

interbahis

goldenbahis

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

primebahis

alobet, alobet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

padişahbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

meritking

betoffice

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

Featured Kitaifa

WAKAGUZI WA NDANI KUTOKA TAASISI MALIMBALI ZA UMMA WAPIGWA MSASA.

Written by Alex Sonna

Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali (IAG), Bw. Benjamin Magai, akizungumza jambo wakati anafungua Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Vitengo vya Ukaguzi na Wakaguzi Wakuu wa Ndani kutoka katika Wizara, Sekretarieti za Mikoa, Halmashauri na Taasisi mbalimbali za Serikali zipatazo 90, katika masuala muhimu ya Ukaguzi wa Mazingira, Kijamii na Utawala Bora (Environmental, Social, and Governance-ESG) pamoja na Ukaguzi wa Thamani ya Fedha (Value For Money -VFM) kwenye Miradi ya Maendeleo, yaliyofanyika katika ukumbi wa Cate Hotel, mjini Morogoro.

Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali Msaidizi, Mhandisi. Keneth Nindie, akizungumza jambo wakati akimkaribisha Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali (IAG), Bw. Benjamin Magai (hayupo pichani), kufungua Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Vitengo vya Ukaguzi na Wakaguzi Wakuu wa Ndani kutoka katika Wizara, Sekretarieti za Mikoa, Halmashauri na Taasisi mbalimbali za Serikali zipatazo 90, katika masuala muhimu ya Ukaguzi wa Mazingira, Kijamii na Utawala Bora (Environmental, Social, and Governance-ESG) pamoja na Ukaguzi wa Thamani ya Fedha ( Value For Money -VFM) kwenye Miradi ya Maendeleo, yaliyofanyika katika ukumbi wa Cate Hotel, mjini Morogoro.

Baadhi ya wakaguzi wa ndani wa Serikali kutoka taasisi mbalimbali za umma wakifuatilia hotuba ya Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali (IAG), Bw. Benjamin Magai (hayupo pichani) wakati akifungua Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Vitengo vya Ukaguzi na Wakaguzi Wakuu wa Ndani kutoka katika Wizara, Sekretarieti za Mikoa, Halmashauri na Taasisi mbalimbali za Serikali zipatazo 90, katika masuala muhimu ya Ukaguzi wa Mazingira, Kijamii na Utawala Bora (Environmental, Social, and Governance-ESG) pamoja na Ukaguzi wa Thamani ya Fedha ( Value For Money -VFM) kwenye Miradi ya Maendeleo, yaliyofanyika katika ukumbi wa Cate Hotel, mjini Morogoro.

Afisa Mkuu anayeshughulikia Mazingira na Mabadiliko ya Tabia nchi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Nyashilu Issa Mussa, akitoa mada kuhusu Ukaguzi wa Tathmini ya Athari ya Mazingira (EIA Audit), wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Vitengo vya Ukaguzi na Wakaguzi Wakuu wa Ndani kutoka katika Wizara, Sekretarieti za Mikoa, Halmashauri na Taasisi mbalimbali za Serikali zipatazo 90, katika masuala muhimu ya Ukaguzi wa Mazingira, Kijamii na Utawala Bora (Environmental, Social, and Governance-ESG) pamoja na Ukaguzi wa Thamani ya Fedha ( Value For Money -VFM) kwenye Miradi ya Maendeleo, yaliyofanyika katika ukumbi wa Cate Hotel, mjini Morogoro.

Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali (IAG), Bw. Benjamin Magai (Katikati aliyeketi), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na Wakaguzi wa ndani wa Serikali kutoka taasisi mbalimbali za umma, baada ya kufungua Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Vitengo vya Ukaguzi na Wakaguzi Wakuu wa Ndani kutoka katika Wizara, Sekretarieti za Mikoa, Halmashauri na Taasisi mbalimbali za Serikali zipatazo 90, katika masuala muhimu ya Ukaguzi wa Mazingira, Kijamii na Utawala Bora (Environmental, Social, and Governance-ESG) pamoja na Ukaguzi wa Thamani ya Fedha ( Value For Money -VFM) kwenye Miradi ya Maendeleo, yaliyofanyika katika ukumbi wa Cate Hotel, mjini Morogoro.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Morogoro)

Na. Joseph Mahumi

Wakaguzi wa Ndani wa Serikali wameaswa kutazamia upya athari za mabadiliko ya kimazingira pindi wanapofanya ukaguzi katika masuala ya Mazingira, Kijamii na Utawala Bora (Environmental, Social, and Governance-ESG) na Ukaguzi wa Thamani ya Fedha (Value for Money-VFM) kwenye Miradi ya Maendeleo, ili kuboresha ufanisi na ustawi endelevu wa miradi ya maendeleo katika taifa na kupunguza kasi ya athari ya Mabadiliko ya Mazingira.

Hayo yamesemwa na Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali (IAG), Bw. Benjamin Magai, alipokuwa anafungua Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Vitengo vya Ukaguzi na Wakaguzi Wakuu wa Ndani kutoka katika Wizara, Sekretarieti za Mikoa, Halmashauri na Taasisi mbalimbali za Serikali zipatazo 90, katika masuala muhimu ya Ukaguzi wa Mazingira, Kijamii na Utawala Bora pamoja na Ukaguzi wa Thamani ya Fedha kwenye Miradi ya Maendeleo, yaliyofanyika katika ukumbi wa Cate Hotel, mjini Morogoro.

Bw. Magai alisema kuwa, hivi sasa ulimwenguni kote masuala ya Mazingira, Kijamii na Utawala Bora pamoja Ukaguzi wa Thamani ya Fedha kwenye Miradi ya Maendeleo, ni maeneo mapya na muhimu katika kutekeleza majukumu ya kusimamia miradi hasa eneo la ukaguzi wa unaohusu ESG (Mazingira, Kijamii na Utawala Bora) ambalo limekuwa likipigiwa kelele nyingi Kitaifa na hata Kimataifa.

Alisema kuwa miradi mingi kwasasa inayofadhiliwa na Washirika wa Maendeleo imekuwa ikisisitizwa kuzingatia masuala ya mazingira, kijamii na Utawala bora ikiwa ni sehemu muhimu kwa sababu miradi ya maendeleo inaweza kuathiriwa na masuala ya mazingira, kijamii, na utawala bora; na wanapaswa kuhakikisha kwamba rasilimali za umma zinatumika kwa ufanisi na kwa manufaa ya Wananchi na Taifa kwa ujumla.

“Katika mafunzo haya, nina imani mtapata maarifa na ujuzi wa jinsi ya kufanya ukaguzi na jinsi ya kutambua na kudhibiti hatari zinazohatarisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Pia, mtajifunza jinsi ya kutumia mbinu na zana za kisasa za ukaguzi ili kuboresha ufanisi na ustawi endelevu wa miradi ya maendeleo katika Taasisi zetu tunazotoka” alisema Bw. Magai

Aliongeza kuwa mafunzo hayo yanaangazia maeneo mengine zaidi ikiwemo Ukaguzi na Tathmini ya Athari kwa Mazingira; Tathmini ya Mazingira Kimkakati; Athari za Mabadiliko ya Tabianchi na juhudi za kitaifa na kimataifa katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, lakini pia, majadiliano kuhusu fursa zilizopo katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ikiwemo biashara ya kaboni na faida zake kijamii, kiuchumi na kisiasa sambamba na ukaguzi wa Thamani ya Fedha katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

“Sote tunafahamu kuwa tasnia ya ukaguzi wa ndani ni jicho muhimu sana la Serikali katika kubaini na kuibua kasoro za kiutendaji, usimamizi wa rasilimali za nchi na kushauri Serikali ipasavyo, Hivyo, mafunzo haya yanalenga kuwajengea uwezo wakaguzi wa ndani ili waweze kufanya ukaguzi wa kina na wa uhakika kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kuzingatia vigezo vya ESG na VFM” alisema Bw. Magai

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Mafunzo hayo, Bw. Jackson Kingumwile aliishukuru Wizara ya Fedha kuandaa mafunzo hayo kwa kuwa yatasaidia kuharakisha utunzaji wa mazingira sambamba na kufikia malengo ya Serikali na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs-2030) ya Umoja wa Mataifa.

Bw. Kidumule alisema kuwa, wakaguzi watatoka wakiwa na uelewa mpana katika kuhakikisha miradi inayotekelezwa inakaguliwa ipasavyo ili kuhakikisha haiathiri mazingira ili kulinda ekolojia nchini.

“Wakaguzi na wadau wa mazingira wazingatie nakuhakikisha kwamba miradi inatunza mazingira ili ustawi wa jamii na Uchumi uwe chanya kwa maendeleo ya Taifa letu” aliongeza Bw. Kingumwile

Mafunzo haya yanatarajiwa kuwa chachu ya mabadiliko chanya katika tasnia ya ukaguzi wa ndani, kwa kuwaongezea wakaguzi uwezo wa kuchambua kwa kina masuala ya mazingira, kijamii na utawala bora katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambapo kupitia uelewa huo mpya, Serikali inatarajia kuona uwajibikaji mkubwa zaidi, matumizi bora ya rasilimali za umma, na miradi yenye tija kwa wananchi huku ikilinda mazingira na kuendeleza ustawi wa kijamii.

About the author

Alex Sonna