marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

matbet

teosbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

casinoroyal

kavbet

marsbahis

perabet giriş

kavbet

casinowon giriş

mavibet giriş

imajbet

mavibet

pashagaming

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betkolik, betkolik giriş

jojobet

restbet

jojobet giriş

restbet

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

bettilt

trimology review

celtabet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

norabahis

starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

grandpashabet

galabet

İkimisli

onwin

sahabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

casibom

lunabet

lunabet giriş

imajbet

bahiscasino

perabet

lunabet

kavbet

artemisbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

ifşa

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

bets10

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

grandpashabet

Hacklink Panel

nesinecasino

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

artemisbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

imajbet

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

bettilt giriş

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

Holiganbet

hitbet

kavbet

kavbet

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

dinamobet

netbahis

1xbet giriş

vipslot

galabet giriş

interbahis

Featured Kitaifa

JAFO AANZA KUTEKELEZA AHADI ZAKE KISARAWE

Written by Alex Sonna

 

Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akizungumza katika kikao cha Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Kisarawe kwa ajili ya kuwashukuru wajumbe mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi Mkuu  kilichofanyika leo Disemba 12,2025 wilayani Kisarawe Mkoani Pwani.

Na.Alex Sonna-KISARAWE

Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo, ameanza utekelezaji wa ahadi alizozitoa wakati wa uchaguzi mkuu 2025 kupitia Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akitaja barabara, maji, afya na elimu kuwa miongoni mwa vipaumbele vyake vikuu katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Kisarawe, Dkt. Jafo amesema tayari amewasiliana na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuhusu barabara ya Kisarawe, hatua inayolenga kuhakikisha mkandarasi anaanza utekelezaji wa mradi huo kwa wakati.

Katika sekta ya maji, amesema amefanya kikao na ujumbe kutoka Korea kuhusu utekelezaji wa mradi wa maji utakaohusisha ujenzi wa vituo 105 vya kuchotea maji katika vijiji 17. Ameongeza kuwa ameomba kuzingatiwa kwa uwekaji wa matenki makubwa na kuangalia uwezekano wa kuvifikia vijiji vya Gwata na Dololo.

“Eneo hili linahitaji matenki makubwa kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu kufuatia uwepo wa Bandari ya Kwara. Mradi huu ni mkubwa, una thamani ya takribani sh. bilioni 27, si jambo dogo,” amesema Dkt. Jafo.

Kwa upande wa elimu, amesema ataendelea kutafuta pesa Serikali kuu pamoja na wadau wengine wa elimu ili kuboresha miundombinu pamoja na  ujenzi wa shule za sekondari pamoja na kuipandisha hadhi Shule ya Sekondari Jafo kuwa na kidato cha tano na sita na kuitenga kwa wavulana.

“Pia nimeomba kuongezwa kwa bweni Shule ya Sekondari Kisarawe, ujenzi wa sekondari mpya Mafizi, Maluwi, Kwala, Sungwi, Mwanzo Mgumu, Kiluvya B, Sanze na Bwama,” amesema.

Ameongeza kuwa amewasilisha pia maombi ya ujenzi wa shule mpya katika maeneo ya Kibesa, Mjimpya, Darfur na Vihingo, pamoja na kuongeza madarasa katika shule za Malumbo, Mfulu na Kibwemwenda. 

Dkt. Jafo amesema pia anaendelea kuifuatilia TARURA ili kuhakikisha barabara zinakuwa katika hali nzuri, na baadhi ya barabara korofi kujengwa kwa zege ili ziweze kupitika wakati wote wa mvua.

“Naiomba CCM tushirikiane ili katika miaka hii mitano tuweze kutimiza matarajio ya wananchi. Nitaanza ziara za kushukuru awamu kwa awamu na kuwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu,” amesema.

Awali, amempongeza Aidan Kitare kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe na kuahidi kuwa Ofisi ya Mbunge itatoa ushirikiano wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu ya chama

Pia amewashukuru wana-CCM kwa kumuamini na kumpa nafasi ya kuendelea kuongoza kwa kipindi kingine cha miaka mitano, akieleza kuwa wilaya hiyo imeendelea kuwa tulivu kisiasa.

Aidha, amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia kutolewa kwa fedha za serikali zilizochochea maendeleo ya Wilaya ya Kisarawe.

“Tumsaidie Rais wetu kwa kutimiza wajibu wetu. Kwa upande wangu, nitaongoza kuhakikisha malengo ya Rais kwa Kisarawe yanatimia,” amesema.

Kwa upande wake Mwewnyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kisarawe ndg.Khalfan Sika,amempongeza Mhe.Jafo kwa kazi kubwa aliyoifanya katika Jimbo la Kisarawe kwa kuleta maendeleo hivyo watampa ushirikiano wa kutosha ili aendelee kumsaidia Mhe.Rais Samia kutekeleza miradi ya wanakisarawe.

Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akizungumza katika kikao cha Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Kisarawe kwa ajili ya kuwashukuru wajumbe mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi Mkuu  kilichofanyika leo Disemba 12,2025 wilayani Kisarawe Mkoani Pwani.

Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akizungumza katika kikao cha Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Kisarawe kwa ajili ya kuwashukuru wajumbe mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi Mkuu  kilichofanyika leo Disemba 12,2025 wilayani Kisarawe Mkoani Pwani.

Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akizungumza katika kikao cha Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Kisarawe kwa ajili ya kuwashukuru wajumbe mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi Mkuu  kilichofanyika leo Disemba 12,2025 wilayani Kisarawe Mkoani Pwani.

Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akimsikiliza Mwewnyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kisarawe ndg.Khalfan Sika,wakati wa kikao cha Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Kisarawe kwa ajili ya kuwashukuru wajumbe hao kilichofanyika leo Disemba 12,2025 wilayani Kisarawe Mkoani Pwani.

 

Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akimsikiliza Katibu  wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kisarawe Bi.Josephine Mwanga ,wakati wa kikao cha Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Kisarawe kwa ajili ya kuwashukuru wajumbe hao kilichofanyika leo Disemba 12,2025 wilayani Kisarawe Mkoani Pwani.

Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akimsikiliza Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kisarawe, Aidan Kitare,katika kikao cha Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Kisarawe wakati wa ziara ya kutoa shukrani kwa  wajumbe hao kilichofanyika leo Disemba 12,2025 wilayani Kisarawe Mkoani Pwani.

 

About the author

Alex Sonna