Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

casibom güncel giriş

pokerklas

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

betixir

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

grandpashabet giriş

deneme bonusu

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

casibom

kavbet

mavibet

jojobet

cratosroyalbet

cratosroyalbet giriş

lunabet

mislibet

mislibet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

grandpashabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

onwin

Hacklink Panel

casinomilyon

vdcasino giriş

bets10 giriş

jojobet giriş

nerobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

Meritking

nerobet

สล็อตเว็บตรง

bets10

tarafbet

jojobet

jojobet

holiganbet

trust score weak 3

holiganbet

grandpashabet

tipobet

meritking

artemisbet

jojobet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet adres

jojobet

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

interbahis, interbahis giriş

caddebet, caddebet giriş

monobahis, monobahis giriş

grandpashabet

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

dinamobet

jojobet

casibom

bets10 güncel giriş adresi

pusulabet

jojobet

perabet

ilbet

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

kulisbet, kulisbet giriş

Google

primebahis

primebahis

marsbahis

sweet bonanza siteleri

Doctors | Akdeniz University Hospital

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom güncel giriş

casibom giriş

sweet bonanza

casibom

sweet bonanza siteleri

sweet bonanza

deneme bonusu

sekabet

grandpashabet

casinoroyal

casinomilyon

betplay

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet adres

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet adres

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

mavibet

meritking

marsbahis giriş

mavibet

jojobet

jojobet giris

jojobet telegram

jojobet telegram

jojobet

jojobet telegram

jojobet giriş

bahiscom

Hacklink panel

jojobet

holiganbet

Google

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet telegram

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet giriş

matbet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

mavibet giriş

meritking

betpas

betgaranti

betoffice

primebahis

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

sweet bonanza

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

artemisbet

robinbet

hitbet

betpark giriş

betpark

betpark

betpark güncel giriş

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

interbahis, interbahis giriş

betine

jojobet

jojobet giris

jojobet güncel giriş

betkolik

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet adres

jojobet adres

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet giris

marsbahis

jojobet giris

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet giris

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

bahisfair

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet adres

jojobet güncel giriş

goldenbahis

goldenbahis

pokerklas, pokerklas giriş

kulisbet

deneme bonusu

jojobet giriş

türk ifşa

casibom

jojobet

https://sjconsultors.com/

jojobet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet güncel

Featured Kitaifa

TANROADS INAENDELEA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BILIONI 383 MKOANI MBEYA

Written by Alex Sonna

Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, mradi huo unatekelezwa na Mkandarasi M/s China Henan International Cooperation Group Co. Ltd (CHICO) huku Mhandisi Mshauri akiwa ni TECU kwa gharama ya shilingi Bilioni 138.727 bila kodi ya ongezeko la thamani (VAT) yenye thamani ya Bilioni 24.970.

Serikali inaendelea na mradi wa Ukarabati kwa Kiwango cha lami Barabara ya Ibanda – Kiwira Port (Km28.0) na Kajunjumele – Itungi Port (Km 4.0) unaojengwa kwa Gharama ya Shilingi Bilioni 38.359 bila nyongeza za thamani (VAT) na ulikua unatekelezwa na Kampuni ya AVM-Diligham ya Uturuki ambaye kutokana na kuchelewesha kazi mkataba wake ulivunjwa mnamo tarehe 9 Mei 2024 na sasa taratibu za kumpata mkandarasi mwingine zinaendelea.

Hayo yamebainishwa leo tarehe 17 Octoba 2025 na Meneja TANROADS Mkoa wa Mbeya Mhandisi Matari Masige ofisini kwake Jijini Mbeya wakati akieleza taarifa ya Utekelezaji wa miradi mikubwa ya Maendeleo inayotekelezwa na TANROADS mkoani hapo.

Pia serikali inaendelea na mradi wa Ujenzi wa jengo jipya la abiria (terminal building) katika uwanja wa ndege wa Songwe ambapo Ujenzi wa jengo la abiria (Terminal Building) umekamilika ukiwa umetekelezwa na Mkandarasi M/s China Geo- Engineering Corporation kwa gharama ya bilioni 14.118 bila kodi na unasimamiwa na Mhandisi Mshauri M/s UNETEC kutoka Dubai na kukabidhiwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA).

Mradi wa ujenzi wa kituo cha huduma ya Pamoja mpakani (OSBP) katika eneo la kasumulu/Songwe katika mpaka wa Tanzania na Malawi unatekelezwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo awali Serikali ilipata mkopo kutoka Benki ya Dunia, Mradi unatekelezwa na mkandarasi M/s China Geo Engineering Corporation (CGC), Mradi huu wenye thamani ya Shilingi za Kitanzania bilioni 26.426 unajengwa kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) ambaye ndiye mwajiri na ulisimamiwa na kampuni ya kihandisi ya ECG Engineering Consultant Group S.A ya Misri ikishirikiana na Wakala wa Majengo (TBA).

Mradi mwingine ni wa Ujenzi wa barabara ya Katumba – Mbambo – Tukuyu (km 83) kwa kiwango cha lami, sehemu ya Bujesi – Mbambo (km10) na Tukuyu – Mbambo (km 7) hata hivyo Barabara hiyo imegawanywa katika sehemu kuu tano ambazo ni Sehemu ya Katumba – Lupaso, km 35.3, Sehemu ya Lupaso – Bujesi, km 10.0, Sehemu ya Bujesi – Mbambo, km10.0, Mbaka – Kibanja, km 20.7 na Kibanja – Tukuyu, km 7.0 “Sehemu ya (ii), (iii) na (V) zimekamilika kujengwa kwa kiwango cha lami. Sehemu iliyobakia ya Katumba – Lupaso (km 35.3) na Mbaka – Kibanja (km 20.7). Serikali tayari imesaini mkataba na mkandarasi M/s China Road Construction and Bridge Corporation ya China kwa gharama ya shilingi Bilioni 86” Amesisitiza

Pia Ujenzi wa barabara ya Katumba – Mbambo – Tukuyu (km 79.4) kwa kiwango cha lami, sehemu ya tatu; Katumba – Lupaso (km 35.3) Lot 3 kwa gharama ya Shilingi Bilioni 54.085 bila nyongeza za thamani (VAT) na utatekelezwa na Kampuni ya M/s China Road Construction and Bridge Corporation ya China na sehemu ya nne; Mbaka – Kibanja (km 20.7) Lot 4 kwa Gharama ya Shilingi Bilioni 32.041 bila nyongeza za thamani (VAT) na utatekelezwa na Kampuni ya M/s China Road Construction and Bridge Corporation ya China.

Mhandisi Masige amesema kuwa mradi mwingine ni wa barabara ya Igawa – Tunduma (km 218) na Uyole – Songwe (Bypass) km 48.9 (PPP) Contract ambao ni moja ya mikakati endelevu ya Serikali ya kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika nyanda za juu kusini na Nchi za kusini mwa Afrika, Mfano. Zambia, DRC n.k kwa kuboresha miundombinu ya barabara ili kuongeza ufanisi katika sekta ya usafiri na usafirishaji. Mradi huu unatekelezwa kwa mfumo wa ubia wa Serikali na Sekta binafsi yaani PPP (Public, Private, Partership).

Mhandisi Masige amesema kuwa serikali inaendelea na utekelezaji wa kazi za ujenzi wa madaraja ya dharula CERC PROJECT) ikiwa ni ni moja ya mikakati ya serikali kuzuia kujirudia kwa maafa ya mafuriko yaliyojitokeza kipindi cha mvua kubwa za El-Nino (2023/24) zilizosababisha uharibifu mkubwa kwenye miundombinu ya Barabara nchi nzima na kuathiri uchumi unaozalishwa kupitia sekta ya usafiri na usafirishaji na kwa Mkoa wa Mbeya inatekeleza miradi mitatu yenye jumla ya Shilingi Bilioni 19.5

Ameitaja miradi hiyo kuwa ni Pamoja na ujenzi wa Daraja la Songwe katika Barabara kuu ya TANZAM linalojengwa kwa gharama ya shilingi Bilioni 9,532, Ujenzi wa Daraja la Lupatingatinga katika Barabara kuu ya Mbeya – Rungwa (Mbeya/Singida brd) linalojengwa kwa gharama ya shilingi Bilioni 5,671 na Ujenzi wa Daraja la Bitimanyanga katika Barabara kuu ya Mbeya – Rungwa (Mbeya/Singida Brd) linalojengwa kwa gharama ya shilingi Bilioni 4,369

About the author

Alex Sonna