Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea heshima kutoka Jeshi la Malawi alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chileka nchini Malawi ambako alimwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Kwenye uapisho wa Rais Mteule wa Malawi Profesa Arthur Peter Mutharika kwenye uwanja wa Kamuzu Blantyre, Malawi Oktoba 4, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje ya Malawi, Balozi Dkt. Mwayiwawo Polepole alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chileka nchini Malawi ambako alimwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye uapisho wa wa Rais Mteule wa Malawi Profesa Arthur Peter Mutharika kwenye uwanja wa Kamuzu Blantyre, Malawi Oktoba 4, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Agnes Kayola alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chileka nchini Malawi ambako alimwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye uapisho wa Rais Mteule wa Malawi Profesa Arthur Peter Mutharika kwenye uwanja wa Kamuzu Blantyre, Malawi Oktoba 4, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)