Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet, aresbet giriş

betcio, betcio giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

tipobet

jojobet

ilbet

ilbet giriş

pulibet

cratosroyalbet

tarafbet

kavbet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat giriş

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

Ankara escort

casibom

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

betasus

casibom

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

casibom giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

sweet bonanza

deneme bonusu

sekabet

1win

holiganbet

pusulabet

marsbahis

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

limanbet

marsbahis

betnano

parmabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

aresbet giriş

aresbet

mislibet

marsbahis

marsbahis

mavibet

meritking

marsbahis giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

marsbahis güncel giriş

limanbet

bahiscasino giriş

royalbet

mislibet

aresbet

royalbet

parmabet

holiganbet

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

jojobet

holiganbet

bahiscasino giriş

mislibet giriş

royalbet giriş

royalbet giriş

marsbahis giriş

perabet

betpark

parmabet

primebahis

tümbet

tümbet giriş

otobet

otobet giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

timebet

casibom giriş

meritbet

casibom

uyuşturucu satın al

matbet

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

meritbet

jojobet

perabet giriş

perabet

betnano giriş

betpark giriş

gobahis giriş

betnano

betnano giriş

bahiscasino

gobahis

limanbet giriş

betnano giriş

parmabet giriş

betnano

betkolik giriş

perabet giriş

gobahis giriş

royalbet giriş

aresbet giriş

vaycasino giriş

betkolik

bahiscasino

gobahis giriş

bahiscasino giriş

bahiscasino

aresbet giriş

marsbahis giriş

parmabet giriş

betpark

perabet giriş

mislibet giriş

perabet

limanbet giriş

limanbet giriş

grandbetting

parmabet

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

deneme bonusu

kavbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

betgit

turkey dental implants

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

süratbet

jojobet giriş

betvoy

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

aresbet

mislibet giriş

gobahis

limanbet

mislibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Jojobet

Jojobet

Featured Kitaifa

DKT.ABDALLAH AZINDUA KIWANDA DARASA CHA KUBANGUA KOROSHA CHA CAMARTEC MANYONI

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah,akizindua  Kiwanda Darasa cha Kubangua Korosho cha Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)  kilichopo kijiji cha Masigati wilayani Manyoni Mkoani Singida,hafla iliyofanyika leo Septemba 30,2025.

Na.Alex Sonna-MANYONI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah, amesema uanzishwaji wa Kiwanda Darasa cha Kubangua Korosho cha Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) kilichopo kijiji cha Masigati wilayani Manyoni ni hatua muhimu katika kuongeza thamani ya zao la korosho na kukuza ajira kwa wananchi hususan wanawake na vijana.

Akizungumza leo Septemba 30,2025  wakati wa uzinduzi wa kiwanda hicho, Dkt. Abdallah amesema  Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuliwezesha zao la korosho kupitia utafiti, pembejeo zenye punguzo na mafunzo kwa wakulima, hivyo kuhitajika uwekezaji sambamba wa kuongeza thamani.

“Serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 494 kufanikisha uanzishwaji wa kiwanda hiki. Lengo letu ni kuhakikisha wakulima na wajasiriamali hawabaki wauzaji wa malighafi pekee, bali wanapata nafasi ya kuzalisha bidhaa mbalimbali zenye thamani kubwa zaidi,” amesema Dkt. Abdallah.

Aidha ametaja bidhaa zinazoweza kupatikana kutokana na ubanguaji na uchakataji wa Korosho kuwa ni pamoja na siagi ya korosho, juisi ya mabibo, mvinyo wa mabibo, mafuta ya ganda la korosho, kuni mbadala na mabibo makavu ambapo  bidhaa hizo zina soko kubwa ndani na nje ya nchi, na zitasaidia kuongeza mapato kwa wananchi na Taifa kupitia fedha za kigeni.

Dkt. Abdallah amesema kuwa  Kiwanda hicho pia kitaleta suluhu ya changamoto za ukosefu wa teknolojia na elimu ya amali ya kuchakata korosho na mabibo, jambo ambalo limekuwa likiwakwamisha wakulima na wajasiriamali wadogo.

“Kukosekana kwa viwanda vya kuchakata kumetufanya tubaki wauzaji wa korosho ghafi pekee, hali iliyodumaza bei ya zao hili. Bidhaa zilizoongezwa thamani zina soko pana na ndizo zenye faida kubwa,” Amesisitiza.

Amesema kuwa mbanguaji wa korosho kwa kutumia teknolojia za kawaida ana uwezo wa kubangua kati ya kilo 40 hadi 80 kwa masaa nane, na kutoa kilo 10 hadi 20 za korosho zilizokamilika, hali ambayo inaonyesha nafasi kubwa ya kiwanda hicho kuwa kichocheo cha ujasiriamali na ajira.

Hata hivyo , amewataka wananchi wa Manyoni na Watanzania kwa ujumla kuchangamkia fursa za mafunzo na ujasiriamali zitakazotolewa kupitia kiwanda hicho,zitasaidia kuongeza kipato, kukuza ajira na kuimarisha ushindani wa soko la korosho nchini.

“Ni imani yangu kuwa wananchi wataendelea kumuunga mkono Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika jitihada za kuendeleza sekta ya viwanda kwa manufaa ya Taifa,” amesema Dkt. Abdallah

Pia  Dkt. Abdallah amehitimisha kwa kusisitiza kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na sekta binafsi kuhakikisha viwanda vya aina hiyo vinaanzishwa katika maeneo mengine ya uzalishaji wa korosho ili Tanzania isinufaishe tu kwa kuuza ghafi, bali pia bidhaa kamili zinazotokana na korosho na mabibo.

Kwa upande wake  Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Dkt Vincent Mashinji amesema Wilaya yake itaendelea kushirikiana na Wizara ya Viwanda na Biashara Pamoja na Wizara nyingine za kisekta katika kuendeleza na kukuza Sekta ya Viwanda na Biashara hususani katika kuendeleza Viwanda vidogo vya Kati na vikubwa ili kuongeza Ajira, Pato la Taifa na kukuza uchumi kwa ujumla.

Awali akitoa taarifa ya kiwanda hicho Mkurugenzi Mkuu wa CAMARTEC, Injinia Godfrey Mwinama ameeleza chimbuko la kiwanda hicho ni utafiti wa uhitaji wa zana za kilimo na teknolojia za vijijini ambnao umekuwa ukifanyika mara kwa mara na Serikali kupitia utafiti huo ulibaini kuwa ubanguaji wa korosho nchini,hususani kwa wakulima na wabanguaji wadogo ni changamoto.

“Lengo kuu la kiwanda hicho ni kutoa mafunzo,hivyo kiwanda kina kazi kubwa ya kuhakikisha watanzania wenye nia ya kuwekeza,kujiari au kuajiriwa kwenye ubanguaji wa korosho wanapata elimu sahihi ya amali katika eneo hilo”amesema

Naye  Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Camartec, Prof. Valerian Silayo,amesema kuwa kiwanda hicho cha kubangua korosho ni miongoni mwa hatua zinachukuliwa na Serikali katika kutatua changamoto kwenye kuchakata mazao ya kilimo,Mifugo,Uvuvi na Misitu.

“Serikali kupitia CAMARTEC inaendelea kufanya utafiti utakaopelekea  kutatua changamoto za upotevu wa mazao mbalimbali kwa kubuni teknolojia sahihi zenye ufanisi na uhimili wa korosho”Amesema Prof.Silayo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah, akipokelewa mara baada ya kuwasili katika  Kiwanda Darasa cha Kubangua Korosho cha Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) kwa ajili ya kukizindua kilichopo kijiji cha Masigati wilayani Manyoni Mkoani Singida.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah,akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  Kiwanda Darasa cha Kubangua Korosho cha Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)  kilichopo kijiji cha Masigati wilayani Manyoni Mkoani Singida,hafla iliyofanyika leo Septemba 30,2025.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah,akizindua  Kiwanda Darasa cha Kubangua Korosho cha Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)  kilichopo kijiji cha Masigati wilayani Manyoni Mkoani Singida,hafla iliyofanyika leo Septemba 30,2025.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah,akiangalia jinsi korosho zinavyobanguliwa mara baada ya kuzindua  Kiwanda Darasa cha Kubangua Korosho cha Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)  kilichopo kijiji cha Masigati wilayani Manyoni Mkoani Singida,hafla iliyofanyika leo Septemba 30,2025.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah,akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Dkt Vincent Mashinji  wakati wa hafla ya uzinduzi wa   Kiwanda Darasa cha Kubangua Korosho cha Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)  kilichopo kijiji cha Masigati wilayani Manyoni Mkoani Singida, iliyofanyika leo Septemba 30,2025

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah,akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa  Kiwanda Darasa cha Kubangua Korosho cha Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)  kilichopo kijiji cha Masigati wilayani Manyoni Mkoani Singida, iliyofanyika leo Septemba 30,2025.

Sehemu ya washiriki wakisikiliza hotuba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah (hayupo pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa  Kiwanda Darasa cha Kubangua Korosho cha Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)  kilichopo kijiji cha Masigati wilayani Manyoni Mkoani Singida, iliyofanyika leo Septemba 30,2025.

Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe. Dkt Vincent Mashinji,akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa  Kiwanda Darasa cha Kubangua Korosho cha Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)  kilichopo kijiji cha Masigati wilayani Manyoni Mkoani Singida, iliyofanyika leo Septemba 30,2025.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Bi.Anastazia Tutuba Ruhamvya ,akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa  Kiwanda Darasa cha Kubangua Korosho cha Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)  kilichopo kijiji cha Masigati wilayani Manyoni Mkoani Singida, iliyofanyika leo Septemba 30,2025.

Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Camartec, Prof. Valerian Silayo,akizungumza  wakati wa hafla ya uzinduzi wa  Kiwanda Darasa cha Kubangua Korosho cha Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)  kilichopo kijiji cha Masigati wilayani Manyoni Mkoani Singida, iliyofanyika leo Septemba 30,2025.

 Mkurugenzi Mkuu wa CAMARTEC, Injinia Godfrey Mwinama,akitoa taarifa ya kiwanda hicho  wakati wa hafla ya uzinduzi wa  Kiwanda Darasa cha Kubangua Korosho cha Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)  kilichopo kijiji cha Masigati wilayani Manyoni Mkoani Singida, iliyofanyika leo Septemba 30,2025.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah,akikabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo katika   Kiwanda Darasa cha Kubangua Korosho cha Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)  kilichopo kijiji cha Masigati wilayani Manyoni Mkoani Singida, iliyofanyika leo Septemba 30,2025.

About the author

Alex Sonna