Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

avrupabet

vipslot

betcool

betlivo

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

kareasbet

hazbet

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

betra

gobahis

casival

casival

betcool

avrupabet

celtabet

jojobet

Hacklink panel

norabahis

kingroyal

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

hepbet

millibahis giriş

gobahis

vipslot

betface

elitbahis giriş

betcool

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

betlike

holiganbet

jojobet

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

vipslot

betnis

betmarino giriş

aresbet

aresbet

avrupabet giriş

betface

luxbet

betmarino

casival giriş

betlivo giriş

realbahis

gallerbahis

gallerbahis

aresbet giriş

parmabet

betnis

elitbahis

vaycasino giriş

betra giriş

celtabet giriş

parmabet giriş

vipslot giriş

hazbet giriş

elitbahis

luxbet giriş

hepbet

lordcasino

parmabet

lordcasino

kareasbet

betcool giriş

realbahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

slot siteleri

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

parmabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

casino siteleri

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat

jojobet giriş

marsbahis

sweet bonanza

realko

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

betlivo

millibahis

millibahis

celtabet

millibahis

parmabet giriş

mavibet giriş

coinbar

coinbar

mislibet giriş

mavibet

parmabet giriş

parmabet

bahiscasino

mavibet

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

betcio

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

Featured Kitaifa

DKT.BITEKO AIMWAGIA SIFA REA, ATAKA TAASISI ZINGINE ZIIGE

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko,akizungumza  wakati wa hafla ya kukabidhi majiko yanayotumia Nishati Safi kwa Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) iliyofanyika leo Agosti 22,2025 jijini Dodoma.

….

-Asema REA inabeba kikamilifu ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia

-Asema miradi yote inayosimamiwa na REA hukamilika kwa wakati na kwa ubora

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kukamilisha lengo la usambazaji Umeme katika Vijiji 12,318 Nchini na kwa umahiri wake katika kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia.

Ametoa pongezi hizo Agosti 22, 2025 Jijini Dodoma wakati wa hafla ya kukabidhi majiko yanayotumia Nishati Safi kwa Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA).

“REA mmefanya kazi kubwa, tunawapongeza kwa kuibeba vyema ajenda ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ya Nishati Safi ya Kupikia sambamba na kukamilisha kwa wakati lengo la kufikisha umeme katika vijiji vyote 12,318 na sasa mnasambaza umeme vitongojini,” alipongeza Mhe. Dkt.Biteko.

Aliipongeza Bodi ya Nishati Vijijini (REB) chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake, Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu kwa umahiri wake katika katika kuhakikisha miradi inatekelezwa kwa kasi na viwango sambamba na kumpongeza Mtendaji Mkuu wa REA, Mha. Hassan Saidy kwa kusimamia vyema watendaji walio chini yake.

Alibainisha kuwa Wizara ya Nishati inao utaratibu wa kupima utendaji wa kila taasisi inayoisimamia na kwamba REA ni taasisi ambayo imefanya vizuri mara tatu mfululizo katika tathmini hiyo ya utendaji wa taasisi ambayo hufanyika kila baada ya miezi mitatu.

“Katika robo ya kwanza ya upimaji wa utendaji REA ilishinda nafasi ya kwanza, robo iliyofuatia REA ilichukua nafasi ya pili na robo hii iliyomalizika hivi karibuni REA imeshika nafasi ya kwanza kwa taasisi zote zilizo chini ya Wizara ya Nishati, kazi mnayofanya imewezekana kwasababu ya utulivu wa taasisi, mnayo Bodi nzuri na uongozi mzuri,” alibainisha Mhe. Dkt. Biteko.

Aliongeza kuwa miradi yote inayosimamiwa na REA inakamilika kwa wakati na kwa ubora mzuri na kwamba hajawahi kupokea malalamiko yoyote kutoka kwa wafadhili wa miradi na mara zote wamekuwa wakimpatia sifa njema za utendaji wa Wakala.

“Nampongeza Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Hassan Saidy kwa uongozi wake amewafanya watumishi wa REA wajione wa daraja la juu, hajawagawa kwa makundi hana wapambe ndio maana huwezi kusikia kelele, tuendelee kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia vyema miradi tuliyokabidhiwa,” alisema Mhe.Dkt. Biteko.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu alisema Wakala unaendelea kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa vitendo. 

“Ombi langu zoezi hili itapendeza na kuleta matokeo chanya endapo taasisi zote zitatoa majiko haya kwa watumishi; hii italeta chachu kwa Wizara zingine na taasisi mbalimbali kufanya vivyo hivyo na itaongeza kasi ya utekelezaji wa maelekezo ya Rais ya kuhakikisha 80% ya Watanzania wanahamia kutumia Nishati Safi ifikapo mwaka 2034 na hili linawezekana,” alisema Balozi Kingu.

Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi ya Nishati Safi ya Kupikia, Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Hassan Saidy alimshukuru Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Doto Mashaka Biteko kwa miongozo yake ya namna bora ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kufikia lengo la 80% ifikapo mwaka 2034.

Mhandisi Saidy aliainisha mikakati mbalimbali inayoendelea kutekelezwa kupitia REA na alitaja baadhi ya miradi ikiwemo kujenga mifumo ya gesi asilia Lindi na Pwani na kwamba hadi sasa wananchi 460 wamefikiwa kati ya 980 waliolengwa, kufunga mifumo katika Jeshi la Magereza ambapo magereza yote 129 yamefikiwa sambamba na kufunga mifumo katika kambi 22 za Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).

Mbali na miradi hiyo, Mhandisi Saidy alisema REA imeliwezesha Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kiasi cha shilingi bilioni 3 kujenga mtambo wa kuzalisha mkaa mbadala maarufu kama ‘rafiki briquettes’, majiko banifu 200,000 vijijini kusaidia wananchi ambao ni ngumu kufikiwa na nishati safi zingine.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko,akizungumza  wakati wa hafla ya kukabidhi majiko yanayotumia Nishati Safi kwa Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) iliyofanyika leo Agosti 22,2025 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba,akizungumza  wakati wa hafla ya kukabidhi majiko yanayotumia Nishati Safi kwa Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) iliyofanyika leo Agosti 22,2025 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko (hayupo pichani)  wakati wa hafla ya kukabidhi majiko yanayotumia Nishati Safi kwa Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) iliyofanyika leo Agosti 22,2025 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu,akizungumza  wakati wa hafla ya kukabidhi majiko yanayotumia Nishati Safi kwa Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) iliyofanyika leo Agosti 22,2025 jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Hassan Saidy,akizungumza  wakati wa hafla ya kukabidhi majiko yanayotumia Nishati Safi kwa Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) iliyofanyika leo Agosti 22,2025 jijini Dodoma.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akimkabidhi jiko Mtumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Bi. Magdalena Muhazi wakati wa hafla ya kukabidhi majiko yanayotumia nishati safi kwa watumishi iliyofanyika jana katika viwanja vya Wakala huo, Jijini Dodoma.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akimkabidhi jiko Mtumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Ernest Makale wakati wa hafla ya kukabidhi majiko yanayotumia nishati safi kwa watumishi iliyofanyika jana katika viwanja vya Wakala huo, Jijini Dodoma.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya  kukabidhi majiko yanayotumia Nishati Safi kwa Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) iliyofanyika leo Agosti 22,2025 jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna