marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet giriş

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

sapanca escort

vdcasino

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

bets10

milanobet

holiganbet

casibom

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

superbetin

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

bets10

Milanobet

jojobet

cratosroyalbet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

betsat

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

cratosroyalbet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

bets10 giriş

perabet

efesbet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

superbetin

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

celtabet

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

betsat

holiganbet

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

betist

betist

Featured Kitaifa

SERIKALI YAZINDUA KAMATI YA KITAIFA YA KURATIBU MFUMO WA RUZUKU KWA NGOs

Written by Alex Sonna

Na.Alex  Sonna-DODOMA

SERIKALI  imezindua rasmi Kamati ya Kitaifa ya Uratibu wa Uanzishwaji wa Mfuko wa Pamoja wa Ruzuku kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs Basket Fund – NBF), ambao utayasaidia mashirika hayo kupata ufadhili wa kifedha bila kupitia masharti magumu kama ilivyo kwa baadhi ya wafadhili wa kimataifa.

Mfuko huo unatarajiwa kuwa suluhisho la muda mrefu kwa changamoto za kifedha zinazoyakumba mashirika mbalimbali nchini, hususan baada ya baadhi ya mataifa ya nje kuondoa au kupunguza ufadhili wao kwenye miradi ya maendeleo.

Hayo yamesemwa leo Agosti 13,2025 jijini Dodoma na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk.Dorothy Gwajima,wakati akizindua  Kamati hiyo  kwa niaba ya Makamu wa Rais Dk. Philp Mpango wakati akifunga Kongamano la Mwaka la Mashirika hayo.

“Nimefarijika kusikia kuwa tayari mchakato wa uanzishaji wa Mfuko wa Pamoja wa Ruzuku umeanza, na kwamba leo tunazindua rasmi Kamati ya Kitaifa ya kuratibu mchakato huu muhimu,” amesema  Dk. Gwajima 

Dk. Gwajima ameeleza kuwa Serikali ina matumaini makubwa kwamba Kamati hiyo itafanya kazi kwa weledi wa hali ya juu, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, kuhakikisha mchakato huo unakamilika kwa wakati na kwa uwazi.

Aidha Dkt.Gwajima ameielekeza Wizara kushirikiana na wadau kufanya mapitio ya Mkakati wa Kitaifa wa Uendelevu wa NGOs ili kuhakikisha mashirika hayo yana uhimilivu ifikapo mwaka wa fedha 2026/2027.

Pia, amesisitiza umuhimu wa kubuni vyanzo vipya vya fedha vitakavyosaidia mashirika madogo kukua na kujiendesha kwa ufanisi.

Waziri Gwajima amewataka viongozi na wafanyakazi wa mashirika yasiyo ya kiserikali kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia misingi ya uwazi, uwajibikaji, na utawala bora ili kuongeza uaminifu na mchango wao katika maendeleo ya taifa.

“Niwaombe muendelee kutekeleza majukumu yenu kwa weledi, uadilifu na uzalendo wa hali ya juu. Lengo ni kuhakikisha mnatekeleza malengo ya mashirika yenu huku mkizingatia maslahi ya jamii na taifa kwa ujumla,” amesisitiza

Dk. Gwajima pia ameyakumbusha mashirika yaliyopewa vibali vya kutoa elimu ya mpiga kura na kufanya uangalizi wa uchaguzi kuhakikisha wanatekeleza majukumu hayo kwa weledi na uzalendo, hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao.

“Nitumie fursa hii kuwaomba muendelee kutekeleza majukumu haya kwa weledi na kwa kutambua umuhimu wake katika kuimarisha misingi ya demokrasia,” amesema

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dk. John Jingu,amesema kuwa  lengo la mfuko huu ni kusaidia mashirika kupata fedha kutoka serikalini bila masharti yanayokinzana na sheria za nchi.

“Mfuko huu utakuwa mkombozi kwa mashirika yaliyoathiriwa na kupungua kwa ufadhili kutoka nje, ili yaweze kuendelea kutekeleza miradi ya maendeleo,” amesema  Dk. Jingu.

Naye  Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya kiserikali (NaCoNGO) Jasper Mkala, amesema  Serikali inapaswa kuharakisha mchakato wa upatikanaji wa mfuko huo wa ruzuku kwa mashirika hayo ili kuyasaidia kuendelea kujiendesha kutokana na mengi kuatahirika baada ya baadhi ya mataifa ya nje kuondoa ufadhili wao.

Awali Mwenyekiti wa bodi ya Mashirika Yasiyo Ya Kiserikali Mwantumu Mahiza ameyapongeza mashirika hayo kwa kazi nzuri wanayofanya na kutoa rai kuhakikisha wanaweka dhamira nzuri ya kutanguliza maslahi ya nchi ili Nchi inufaike na kupiga hatua .

 Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Susan Namondo amesema Umoja wa Mataifa utaendelea kufanya kazi kwa ukaribu na Serikali ya Tanzania kwa mwelekeo wa dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 ili kuweza kufanikisha yale ambayo nchi imedhamiria kuwafikia.

About the author

Alex Sonna