marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sakarya escort

izmit escort

matbet

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

marsbahis giriş

marsbahis

perabet giriş

interbahis

betmarino

betpipo giriş

imajbet

betmarino

casinowon

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betkolik, betkolik giriş

jojobet

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

bettilt

trimology review

celtabet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

aaa

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

holiganbet

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

türk ifşa

deneme bonusu

İkimisli

onwin

betsat

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

casibom

lordcasino

lordcasino giriş

imajbet

ngsbahis giriş

perabet

ngsbahis

belugabahis

belugabahis giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

vbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

grandpashabet

Hacklink Panel

betplay

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

lordcasino

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

imajbet

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

bettilt giriş

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

Holiganbet

deneme bonusu

jasminbet

jasminbet giriş

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

dinamobet

netbahis

1xbet giriş

vipslot

deneme bonusu

interbahis

agb99

betper

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

Featured Kitaifa

TADB KUADHIMISHA MIAKA KUMI  KWA KISHINDO KWENYE MAONYESHO YA NANENANE  2025

Written by Alex Sonna
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Frank Nyabundege, akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 400,000,000 kwa ajili ya kudhamini maadhimisho ya Siku ya Wakulima (Nanenane) Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli,yanayotarajia kuanza Agosti Mosi katika Viwanja vya Nanenane eneo Nzuguni jijini Dodoma.
Na.Meleka Kulwa-Dodoma
KATIKA  kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wakulima (Nanenane),ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Dodoma, Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetoa mikopo ya riba nafuu yenye thamani ya jumla ya Shilingi Trilioni 1.129 katika kipindi cha miaka kumi kwa lengo la kuwawezesha wakulima kiuchumi.
Akizungumza leo Julai 31,2025 jijini Dodoma na waandishi wa habari kuhusiana na maonyesho hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Frank Nyabundege, amesema benki hiyo imejikita kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuleta mageuzi ya kilimo kwa kumkomboa mkulima wa kawaida kupitia upatikanaji wa mikopo nafuu.
“TADB inaendelea kutekeleza wajibu wake wa msingi wa kuwezesha upatikanaji wa fedha kwa wakulima, kwa masharti rafiki. Lengo letu ni kuona kilimo kinakuwa cha kibiashara na chenye tija kwa maendeleo ya taifa,” amesema  Bw. Nyabundege.
Bw.  Nyabundege, amesema maonyesho ya mwaka huu yatakuwa ya aina yake kwa kuwa yanaashiria mafanikio makubwa yaliyopatikana katika sekta ya kilimo kupitia huduma zinazotolewa na benki hiyo kwa wakulima nchini.
“Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani, TADB ilikuwa na mtaji wa shilingi milioni 60, lakini mtaji huo umeongezeka kwa kiasi kubwa hadi kufikia shilingi milioni 442. Aidha, Rais Samia aliweka shilingi trilioni moja Benki Kuu ya Tanzania ili Benki Kuu izikopeshe benki za kibiashara kwa riba nafuu ya asilimia 3, na hatimaye mikopo kwa wakulima ipatikane kwa riba ya chini ya asilimia 10, ikilinganishwa na kiwango cha awali cha asilimia 20 hadi 30.”amesema
Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli, amesema maonyesho ya mwaka huu yameboreshwa zaidi na yanatarajiwa kutoa elimu muhimu kwa wakulima pamoja na wananchi kuhusu teknolojia, mbinu bora za kilimo na fursa za kiuchumi zilizopo katika sekta ya kilimo.
“Nanenane si tu maonyesho, bali ni jukwaa la elimu, mafunzo, na uhamasishaji kwa wakulima wetu. Tunawakaribisha wadau wote kushiriki,” amesema  Bw. Mweli.
Maonyesho ya Nanenane mwaka huu yanatarajiwa kuanza rasmi tarehe 1 Agosti, huku mgeni rasmi akiwa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Maonyesho hayo yatawakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo wakiwemo wakulima, taasisi za kifedha, watafiti, na makampuni ya pembejeo kwa lengo la kubadilishana maarifa na kuonyesha mafanikio yaliyopatikana kupitia mageuzi ya sekta ya kilimo nchini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Julai 31,2025 jijini Dodoma  kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wakulima (Nanenane),ambayo kitaifa yanafanyika kuanzia Agosti Mosi hadi 8 katika Viwanja vya Nanenane jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Frank Nyabundege,akielezea mafanikio ya benki hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya Sita ambapo benki hiyo imefadhili maadhimisho ya Siku ya Wakulima (Nanenane).Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Frank Nyabundege, akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 400,000,000 kwa ajili ya kudhamini maadhimisho ya Siku ya Wakulima (Nanenane) Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli,yanayotarajia kuanza Agosti Mosi katika Viwanja vya Nanenane eneo Nzuguni jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna