Featured Kitaifa

WARATIBU, WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WAPIGWA MSASA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025 NCHINI

Written by mzalendoeditor

Mwezeshaji wa Mafunzo kwa watendaji wa uchaguzi kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Masanja Sabuni akiwasilisha mada kwa waratibu wa uchaguzi wa mikoa, wasimamizi wa uchaguzi, wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo, maafisa uchaguzi na maafisa ununuzi kwenye mafunzo ya siku tatu yanayoendelea mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro, leo Julai 16, 2025. Picha na INEC.

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Dkt. Rose Likangaga akitoa mada kwa waratibu wa uchaguzi wa mikoa, wasimamizi wa uchaguzi, wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo, maafisa uchaguzi na maafisa ununuzi kwenye mafunzo ya siku tatu yanayoendelea mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro, leo Julai 16, 2025. Picha na INEC.

Mwezeshaji wa Mafunzo kwa watendaji wa uchaguzi kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Michael Simba akiwasilisha mada kwa waratibu wa uchaguzi wa mikoa, wasimamizi wa uchaguzi, wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo, maafisa uchaguzi na maafisa ununuzi, kwenye mafunzo yanayoendelea mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro, leo Julai 16, 2025. Picha na INEC.

Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo ya Waratibu wa Uchaguzi wa Mikoa, Wasimamizi wa Uchaguzi, Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi Ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi na Maafisa Ununuzi, wakifanya mazoezi ya vitendo ya jinsi ya kuandaa kituturi cha kupigia kura ikiwa ni sehemu ya mafunzo yanayoendelea mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro, leo Julai 16, 2025. Picha na INEC.

Washiriki wa Mafunzo ya Waratibu wa Uchaguzi wa Mikoa, Wasimamizi wa Uchaguzi, Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi Ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi na Maafisa Ununuzi, wakisikiliza mada kutoka kwa mkufunzi (hayupo pichani) wakati wa mafunzo ya siku tatu yanayoendelea mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro, leo Julai 16, 2025. Picha na INEC.

About the author

mzalendoeditor