Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

WAZAZI AU WALEZI TIMIZENI  WAJIBU WENU KATIKA MALEZI NA MATUNZO YA WATOTO NA FAMILIA ZENU-DKT.GWAJIMA

Written by Alex Sonna

WAZIRI  wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima,akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 8,2025 jijini Dodoma  kuelekea Siku ya Kimataifa ya Familia itakayofanyika Mei 15,mwaka huu.

…..

WAZIRI  wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima,amesema Serikali   imeendelea kuelimisha Wazazi au Walezi na jamii kwa ujumla kutimiza wajibu wao katika malezi na matunzo ya watoto na familia.

Waziri Gwajima ameyasema hayo  leo Mei 8,2025 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea Siku ya Kimataifa ya Familia itakayofanyika Mei 15,mwaka huu.

 “Nawahimiza Wazazi au Walezi kutimiza wajibu wao wa malezi na matunzo ya watoto kwa kuzingatia maeneo hayo muhimu ili kumkuza mtoto kuwa na tija kwa familia na taifa kwa ujumla.”amesema Dkt.Gwajima

Amesema katika kipindi cha Julai 2024 na Februari 2025, Wizara na Wadau wake kupitia Mwongozo wa Taifa wa Wajibu wa Wazazi na Walezi Katika Malezi na Matunzo ya Watoto na Familia imeendelea kutoa elimu ya malezi chanya kwa jamii kupitia vyombo vya habari, mikutano ya wazi na makongamano yanayohusisha wananchi na mitandao ya kijamii.

Aidha,amesema  kupitia, wataalamu mbalimbali na viongozi wa dini  wa ngazi ya Taifa walipatiwa mafunzo kuhusu malezi chanya ya watoto kutoka Jumuiko la Madhehebu ya Dini Matano  ambayo ni Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Baraza la Waislam Tanzania (BAKWATA), Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) na Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT).

“Elimu ya malezi chanya iliwezesha kuendeleza elimu hiyo kwa waumini 3,800,000 kwa njia ya mihadhara na mahubiri katika nyumba za ibada pamoja na warsha na makongamano.”

Hata hivyo Waziri Gwajima ametoa wito  kwa wataalamu na viongozi wa dini ni kuendelea kutoa elimu ya malezi chanya ya watoto na familia na kusisitiza mahusiano mema katika ndoa ili kuimarisha huduma za malezi ya watoto katika familia.

Amesema kuwa jitihada za kuimarisha malezi na matunzo ya watoto ikiwa pamoja na kuwaweka watoto na familia salama, Wizara imeendelea kuimarisha mifumo ya kisheria kwa kufanya marekebisho ya Sheria Tatu ambazo ni Sheria ya Mtoto, Sura ya 13, Sheria ya Makosa ya Kimtandao, Sura ya 443, na Sheria ya Msaada wa Kisheria, Sura ya 21.

“Marekebisho hayo yamelenga kuondoa upungufu unaojitokeza katika utekelezaji wa masharti katika sheria husika ili kuimarisha ulinzi na maslahi bora ya mtoto”amesema 

Dkt.Gwajima  ametoa rai kwa Wakuu wa Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi za Umma na Sekta Binafsi kuhamasisha na kuratibu matukio ya siku maalum za mtoko wa kifamilia katika maeneo yao, kwa kuzingatia mazingira na mila husika.

About the author

Alex Sonna