marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

pusulabet

matbet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

ultrabet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

tambet

ngsbahis

betlike

parmabet

mislibet

mislibet

jojobet giriş

nitrobahis

jojobet

jojobet

kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

enjoybet giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

Featured Kitaifa

TANROADS IMEKAMILISHA UJENZI WA KM 109.49 ZA LAMI NCHINI

Written by Alex Sonna

Serikali imekamilisha Ujenzi kilomita 109.49 za barabara nchini kwa kiwango cha lami huku ikiendelea na ujenzi wa Kilomita 275.51, hali kadhalika ujenzi wa madaraja matano (5) unaendelea na ujenzi wa madaraja mengine matano (5) upo katika hatua za maandalizi.

Jumla ya kilometa 98.89 za barabara za mikoa zimejengwa kwa kiwango cha lami na jumla ya kilometa 192.89 zilikarabatiwa kwa kiwango cha changarawe. Aidha, ujenzi/ukarabati wa madaraja madogo 12 kwa kutumia fedha za Mfuko Mkuu wa Serikali na 13 kwa kutumia fedha za Mfuko wa Barabara upo katika hatua mbalimbali za utekelezaji.

Waziri wa ujenzi Mhe Abdallah Ulega ameyasema hayo Bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 5 Mei 2025 wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti ya Wizara ya ujenzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 bungeji Jijini Dodoma.

Waziri Ulega amesema kuwa miradi saba (7) ya barabara iliyokuwa itekelezwe kwa utaratibu wa EPC +F sasa inatekelezwa kwa utaratibu wa ‘sanifu na jenga’ (Design and Build). Hadi sasa, maboresho ya kimkataba (addendum) ya miradi sita (6) yameshasainiwa. Aidha, mradi mmoja wa Igawa – Songwe – Tunduma sasa utatekelezwa kwa njia ya PPP, ambapo taratibu za kusaini mkataba zinaendelea. Sambamba na hilo.

Ameeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa ziara yake mkoani Tanga aliagiza ujenzi wa barabara ambayo hapo awali ilikuwa itekelezwe kwa utaratibu wa EPC+F kutoka Kiberashi hadi Singida sasa utekelezwe kwa utaratibu wa PPP. Tayari TANROADS na TPA wameanza majadiliano ikiwa ni hatua ya utekelezaji wa agizo hilo.

Wizara ya Ujenzi kupitia TANROADS inasimamia mtandao wa barabara wenye urefu wa kilometa 37,435.04. Kati ya hizo, kilometa 12,527.44 ni barabara kuu na kilometa 24,907 ni barabara za mikoa.

Katika mwaka wa fedha 2024/25, miradi ya barabara kuu iliyopangwa kutekelezwa ni ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilometa 385 kwa kiwango cha lami, ukarabati wa kilometa 35 kwa kiwango cha lami, ujenzi wa madaraja 17, ukarabati wa daraja moja (1), kufanya maandalizi ya ujenzi wa madaraja tisa (9) na kufanya Upembuzi Yakinifu na Usanifu wa Kina wa madaraja mawili (2).

About the author

Alex Sonna