Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Grandpashabet kimin

deneme bonusu

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

kingroyal giriş

kingroyal

jojobet

nitrobahis

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet giriş

mavibet

cratosroyalbet

piabellacasino

mavibet

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

bets10

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

dinimi sitiliri

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino

madridbet giriş

piabellacasino

nerobet

cratosroyalbet

nitrobahis

cratosroyalbet giriş

mavibet

Meritking

meritking

สล็อตเว็บตรง

meritking

tarafbet

jojobet

bets10

pusulabet

trust score weak 3

jojobet

Holiganbet Giriş

tipobet

cratosroyalbet

mavibet

jojobet giriş

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet telegram

marsbahis giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

caddebet, caddebet giriş

betgar

bets10

grandpashabet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

lunabet

jojobet

casibom

bets10 güncel giriş adresi

sekabet

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

Google

casinoroyal

primebahis

marsbahis

turkey dental implants cost

Doctors | Akdeniz University Hospital Login

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom

casibom giriş

dental implants turkey clinics

casibom güncel giriş

sweet bonanza siteleri

turkey dental implants

deneme bonusu

betplay

pusulabet

grandpashabet

imajbet

vdcasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

mavibet

marsbahis

marsbahis

meritking giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

meritking

jojobet

jojobet güncel

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis

Hacklink panel

jojobet

bets10

Google

jojobet

jojobet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet giris

jojobet para çekme

jojobet güncel

jojobet giris

jojobet giris

jojobet

matbet

otobet

otobet giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

meritking

marsbahis giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

timebet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

sweet bonanza

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

cratosroyalbet

bahiscasino

piabellacasino

bets10

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

yakabet

jojobet

jojobet erişim

jojobet adres

jojobet para yatırma

jojobet giris

casibom güncel giriş

jojobet adres

jojobet oyunlar

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet son giriş

jojobet canlı bahis

jojobet aninda

jojobet bonuslar

jojobet bahis

jojobet casino

jojobet adres

jojobet telegram

giriş jojobet

marsbahis

jojobet giris

marsbahis

jojobet vip giriş

jojobet tik giriş

jojobet adres

jojobet gir

jojobet giris

güncel giriş burada jojobet

jojobet telegram

jojobet heyecan

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel

goldenbahis

coinbar

betcio, betcio giriş

galabet, galabet giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

grandpashabet

gorabet

jojobet

https://sjconsultors.com/

mavibet giriş

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

starzbet

pusulabet

extrabet

casibom

marsbahis

marsbahis giriş

dedektör

Featured Kitaifa

DKT.BITEKO AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI KIWANDA CHA NGUZO ZA ZEGE

Written by Alex Sonna

* Awataka wananchi Tabora kutogawanyika wakati Uchaguzi Mkuu

*7 Asema maono ya Rais Samia ni viongozi kuwasaidia wananchi

Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Nguzo za Zege cha TCPM kutakidhi mahitaji ya Mkoa wa Tabora na maeneo mengine ya jirani na kukuza uchumi wa nchi.

Kiwanda hicho kitakachokuwa na uwezo wa kuzalisha nguzo 120 kwa siku inadhihirisha kasi ya matumizi na uhitaji wa nguzo hizo za kisasa. Pia, makadirio yanaonesha kuwa, mahitaji yanaongezeka na hivyo kuongeza fursa kwa TCPM kulichangamkia soko hilo.

Dkt. Biteko amesema hayo leo Aprili 3, 2025 mkoani Tabora mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Nguzo za Zege cha TCPM.

“Nipongeze uongozi wa Kampuni ya TCPM na wadau wengine kwa jitihada zenu za kusimamia ujenzi wa Kiwanda hiki. Nimejulishwa kuwa utekelezaji wa mradi huu umefikia asilimia 73. Ni matumaini yangu kuwa, asilimia iliyobaki mtaikamilisha kwa ufanisi na kwa kuzingatia muda na mahitaji yaliyopo,” amesema Dkt. Biteko.

Ameitaka TCPM kukamilisha mradi huo kwa kipindi cha miezi miwili iliyobaki, sambamba na kulielekeza Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kuwapa TCPM shilingi bilioni 4 ili kukamilisha mradi kwa haraka kwa kuwa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza wananchi wapate umeme.

Amesisitiza kuwa mahitaji ya umeme yanaongezeka kila mwaka kwa asilimia 10 hadi 15 ukuaji ambao unadhihirisha umuhimu na uhitaji zaidi wa miundombinu ya kisasa ikiwemo nguzo za zege ambazo ni mbadala wa nguzo za miti. 

Ameitaka TCPM kujenga nguzo bora ili kuwa mfano kwa kampuni binafsi za kutengeneza nguzo.

Dkt. Biteko amebainisha manufaa ya Kiwanda hicho cha nguzo za zege kuwa kitachangia ukuaji wa ajira za moja kwa moja na ajira ambazo hutokana na mnyororo wa thamani.

Ametolea mfano “ Mwaka wa fedha uliopita 2023/2024 usambazaji ulikuwa nguzo 19,368. Lakini kwa mwaka huu wa fedha 2024/2025 hadi kufikia mwezi Aprili usambazaji wa nguzo ulifikia 34,181. Sawa na ongezeko la asilimia 76 ambayo hii tunaweza kusema ni ukuaji wa ajira ambayo itatengenezwa na Sekta hii ya usambazaji wa nguzo za zege,” 

Paoja na hayo, Dkt. Biteko ameeleza kuwa hadi sasa vijiji vyote vimepata umeme na Serikali inaanza kupeleka umeme katika vitongoji nchi nzima kwa kuanzia na vitongozi 20,000 huku Tabora ikipewa kipaumbele.

Aidha, Dkt. Biteko amehamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia na kusema kuwa Serikali inatekeleza Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia 2024- 2034 wenye lengo la kuhakikisha Watanzania asilimia 80 wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034.

Kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Dkt. Biteko amewataka wananchi wa Tabora kutogawanyika kwa sababu yoyote ile huku akiwahimiza kumuunga mkono Rais Samia kutokana na juhudi zake za kuwaletea wanachi maendeleo.

” Katika uchaguzi Mkuu ujao tusikubali kugawanywa wala kudanganywa kwa misingi yoyote ile, tukitanguliza tofauti zetu, matokeo yake yataishi kwa kipindi kifupi na madhara yake yatakuwa ya muda mrefu” amesema Dkt. Biteko

Naye, Mbunge wa Viti Maalum mkoani Tabora, Mhe. Munde Tambwe amesema kuwa mkoa huo unazalisha tumbaku wa kiwango kikubwa hivyo wanaiomba Serikali ijenge kiwanda cha tumbaku ili kutoa ajira kwa vijana.

Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amesema tukio hilo ni muhimu ambalo litawezesha matumizi ya nguzo ambazo ni imara na za gharama nafuu ikilinganishwa na nguzo za miti.

“Kuna baadhi ya maeneno nguzo za miti zimeshindwa kustahimili mfano katika maji au dhidi ya moto lakini nguzo za zege zinadumu muda mrefu na kuna baadhi ya maeneo mkoani Tanga ziliwekwa nguzo za zege na zipo hadi leo pia zinatunza mazingira,” amesema Mhandisi Mramba.

Meneja Mkuu wa TCPM, Mhandisi Yusuph Kitivo amesema kuwa Kiwanda hicho kinamilikiwa na Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania kwa asilimia 100.

Amesema tayari nguzo hizo zimeanza kutumika katika mikoa ya Katavi na Tabora na zaidi ya nguzo 80,000 zimeingia TANESCO na sasa kila wilaya nchini ina nguzo za Kampuni hiyo ya zege zilizojengwa na wadau wao.

“ Mradi wa kujenga kiwanda hiki ulianza rasmi mwaka Oktoba 30, 2024 ikiwa ni sehemu ya jitihada za Serikali za kuhakikisha Tanzania inakuwa na umeme wa uhakika kwa kuwa na nguzo zinazodumu kwa muda mrefu, umeme wa uhakika una chochea uchumi,” amesema Mhandisi Kitivo.

Amebainisha kuwa gharama ya mradi huo ni shilingi bilioni 6 na ujenzi utakamilika kwa viwango vinavyotarajiwa.

“ Kukamilika kwa kiwanda hiki kutasaidia ujenzi wa kiwanda kingine mkoani Mbeya na kutakuwa na manufaa makubwa kwa kuongeza pato la Taifa na kuzalisha ajira pamoja kukuza biashara mtambuka inayotokana na bidhaa hizi,” ameongeza Mhandisi Kitivo.

      

About the author

Alex Sonna