Featured Kitaifa

MCHENGERWA AKUTANA NA MENEJIMETI YA TAMISEMI

Written by mzalendo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa mapema leo amekutana na Menejimenti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kujadili mikakati mbalimbali ya Wizara na namna itakavyochochea ukuaji wa maendeleo kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 13.03.2025
Kwenye Ukumbi wa Wizara ulipo Mtumba jijini Dodoma.

About the author

mzalendo