marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

betticket

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

matbet

vdcasino

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

teosbet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

ngsbahis

mavibet

parmabet

mislibet

norabahis

artemisbet

nitrobahis

parmabet giriş

jojobet

betasus giriş

kingroyal giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet, kralbet giriş

alobet, alobet giriş

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet güncel giriş

holiganbet giriş

Nitric Boost

Uncategorized

IAA INATAMBUA MCHANGO MKUBWA WA VIONGOZI WANAWAKE KATIKA MAENDELEO ENDELEVU YA CHUO

Written by Alex Sonna

 

Na Imma Msumba : Arusha

Naibu mkuu wa Chuo Fedha, Mipango na Utawala Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Dkt. Grace Temba, amesema kuwa wanatambua mchango mkubwa wa viongozi, watumishi wanawake na wanafunzi wa kike katika maendeleo endelevu ya chuo hicho.

Akizungumza mara baada ya kutembelea banda la chuo hicho lililopo katika maonesho yanayoendelea katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuelekea siku ya Kimataifa ya  wanawake Duniani ameeleza kuwa mafanikio ya chuo hicho yanatokana kwa kiasi kikubwa na mchango wa watumishi wanawake na kwamba chuo kitaendelea kuwawezesha wanawake katika nyanja mbalimbali ili kuwainua kiuchumi na kijamii.

“IAA tunaienzi Kauli mbiu ya maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake mwaka huu kwa vitendo.Uongozi  unatambua mchango wa wanawake katika Maendeleo ya Chuo; IAA tunaongozwa na  Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi, Dkt. Mwamini Tulli (mwanamke), Wasaidizi wa wawili wa Mkuu wa Chuo  upande wa Utawala na Taaluma ni wanawake, tuna viongozi wanawake pia kwenye Idara mbalimbali na wanafanya kazi nzuri”, amesema Dkt. Temba.

Amebainisha kuwa chuo hicho kinaendelea kuwawezesha wanafunzi, hususani wa kike, kwa kuwapa mafunzo ya ujasiriamali na ubunifu wa biashara kupitia kiatamizi cha IAA Business Startup Centre (IBSUC), ili waweze kujiajiri na kuajiri wengine baada ya kuhitimu masomo yao.

Aidha, amewahimiza wanafunzi wa kike kutoogopa kusoma masomo ya sayansi na kutumia fursa zinazotolewa na chuo ili kuwawezesha kielimu na kiuchumi.

Hata hivyo kwa upande wake msimamizi wa kiatamizi cha IAA Business Startup Centre IBSUC, Sarah Mwaisumo amesema wamefanikiwa kuwa na wanafunzi wajasiriamali waliofanikiwa kuanzisha kampuni zaidi ya 80 ambazo zinaendelea kufanya vizuri katika sekta mbalimbali za biashara, TEHAMA ambapo kupitia kiatamizi wanafunzi wanapata mafunzo ya ujasiriamali, usimamizi wa biashara, na mbinu za ubunifu ambazo zinawasaidia kuanzisha na kuendesha kampuni zao kwa ufanisi.

Rejoice Daniel ni Mwanafunzi wa diploma mwaka wa kwanza na mjasiriamali, ambaye yupo chini kiatamizi cha IBSUC ambapo ameshukuru chuo kwa kuwawezesha wanafunzi wa kike kupata nafasi ya mafunzo hayo kwa vitendo kupitia programu hiyo, na kwamba zinawasaidia wasichana kujitegemea kiuchumi na kuchangia maendeleo ya jamii.

Siku ya kimataifa ya wanawake kwa mwaka huu inaongozwa na kaulimbiu isemayo ” Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji”

 

 

 

 

About the author

Alex Sonna