Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AONGOZA MATEMBEZI MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA TET

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza matembezi ya hisani yaliyoandaliwa na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa ajili ya kuadhimisha miaka 50 ya Taasisi hiyo. Matembezi hayo yameanzia Ofisi za taasisi hiyo iliyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam, Machi 07, 2025. Matembezi hayo yanalengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuchapa na kusambaza Vitabu vya Kiada kufikia  uwiano wa kitabu kimoja, mwanafunzi mmoja.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

…..

*Ausisitiza uongozi kuongeza wigo wa kuimarisha upatikanaji wa vitabu

*Ampongeza Rais Dkt. Samia kwa mageuzi makubwa aliyoyafanya katika sekta ya elimu

 

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza matembelezi ya hisani ya kuadhimisha miaka 50 ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TET) ambapo amesisitiza uongozi wa taasisi hiyo kuongeza wigo wa kuimarisha upatikanaji wa vitabu kwenye shule zote nchini.

Waziri Mkuu amesema anafahamu kuwa TET imedhamiria kuchapa vitabu kwa wingi ili kufikia uwiano wa kitabu kimoja kwa mwanafunzi mmoja, jambo ambalo litaleta  manufaa makubwa katika elimu na Taifa kwa ujumla. “Hivyo, kwa dhamira ya dhati kabisa, sote hatuna budi kuliunga mkono jambo hili.”

Ameyasema hayo leo (Ijumaa, Machi 7, 2025) alipozungumza baada ya kumalizika kwa matembezi ya hisani katika ofisi ya TET, Mikocheni jijini Dar es Salaam, ambapo ametumia fursa hiyo kumpongeza Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mageuzi makubwa aliyoyafanya katika sekta ya elimu nchini.

Mheshimiwa Majaliwa amesema mbali na TET kutumia matembezi ya hisani kuchangisha fedha za kuchapisha vitabu ni vema kwa uongozi wa taasisi hiyo ukaongeza wigo wa kuimarisha upatikanaji wa vitabu kwa kushirikisha kampuni za uchapishaji na wadau wa sekta binafsi ili kupunguza gharama za uchapishaji.

Amesema ushiriki wa wadau katika uchapishaji wa vitabu utasaidia kutatua changamoto ya upungufu wa vitabu shuleni, na kufikia lengo la kitabu kimoja kwa mwanafunzi mmoja. “Vitabu ni chanzo cha maarifa na maendeleo, na ni muhimu katika kuhakikisha elimu bora kwa wanafunzi.”

Akizunguzmia kuhusu kauli mbiu ya maadhimisho hayo inayosema kitabu kimoja mwanafunzi mmoja, Waziri Mkuu amesema inawiana na malengo ya kitaifa ya kuhakikisha kuwa watoto wa Tanzania wanapata elimu bora. “Kupitia elimu bora, Taifa linaweza kufikia malengo yake ya maendeleo endelevu na kuboresha ustawi wa jamii.”

Awali, Mkurugenzi Mkuu wa TET, Dkt. Aneth Komba alisema maadhimisho ya miaka 50 TET pamoja na kampeni ya kitabu kimoja mwanafunzi mmoja yanatarajiwa kuhitimishwa Juni mwaka huu. “Maadhimisho haya yanalenga kukusanya shilingi bilioni 297 kwa ajili ya kufikia azma ya kitabu kimoja, mwanafunzi mmoja na ununuzi wa kompyuta za kuhifadhi vitabu.”

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza matembezi ya hisani yaliyoandaliwa na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa ajili ya kuadhimisha miaka 50 ya Taasisi hiyo. Matembezi hayo yameanzia Ofisi za taasisi hiyo iliyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam, Machi 07, 2025. Matembezi hayo yanalengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuchapa na kusambaza Vitabu vya Kiada kufikia  uwiano wa kitabu kimoja, mwanafunzi mmoja.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipiga makofi baada ya kukata utepe na kuzindua kampeni maalum ya MWANAFUNZI MMOJA, KITABU KIMOJA yenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuchapa na kusambaza vitabu vya kiada kufikia uwiano wa kitabu kimoja, mwanafunzi mmoja., Mikocheni Jijini Dar es Salaam , Machi 07, 2025. Kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omari Kipanga, Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania Dkt. Aneth Komba, Mwenyekiti wa Baraza la TET Prof. Maulid Mwatawala.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda wakiwa wameshika bango lenye kampeni maalum ya MWANAFUNZI MMOJA, KITABU KIMOJA yenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuchapa na kusambaza vitabu vya kiada kufikia uwiano wa kitabu kimoja, mwanafunzi mmoja, Mikocheni Jijini Dar es Salaam , Machi 07, 2025.Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo, Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omari Kipanga,  na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania Dkt. Aneth Komba, Mwenyekiti wa Baraza la TET Prof. Maulid Mwatawala.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuongoza matembezi ya hisani yaliyoandaliwa na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa ajili ya kuadhimisha miaka 50 ya Taasisi hiyo, Mikocheni jijini Dar es Salaam, Machi 07, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna