marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

anadoluslot

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

savoycasino

porno izle

boostaro review

casibom giriş

betticket

NervEase

Çanakkale Escort

Denizli Escort

izmit escort

matbet

vdcasino

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betplay

marsbahis

ngsbahis

mavibet

parmabet

mislibet

norabahis

artemisbet

nitrobahis

betpuan

jojobet

betasus giriş

kingroyal giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet, kralbet giriş

alobet, alobet giriş

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

Featured Kitaifa

PASIPO NA UTULIVU NCHI ITAKOSA MAENDELEO-MAJALIWA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza alipomwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maombi Maalum ya Kuliombea Taifa yaliyoandaliwa na Umoja wa Viongozi wa Makanisa nchini kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2025.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

*Atoa wito kwa viongozi wa dini waendelee kuliombea Taifa, viongozi wake

 

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini waendelea kuliombea Taifa na viongozi wake kwani pasipo na amani na utulivu nchi haiwezi kutimiza malengo ya kuwaletea Watanzania maendeleo ya kiuchumi.

“Nchi haiwezi kuwa na uhuru wa kuabudu, pasipo amani hatuwezi kufanya shughuli za uzalishaji mali. Katika eneo hili ninawapongeza na kuwashukuru madhehebu yote ya dini kwa kuendelea kuiombea nchi yetu amani, mshikamano na utulivu.”

Waziri Mkuu ametoa wito huo jana usiku (Februari 28, 2025) katika viwanja vya Leaders Club alipomuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati maombi maalum ya Kitaifa iliyoandaliwa na Umoja wa Viongozi wa Makanisa.

Alisema suala la ushirikiano kati ya Serikali na madhehebu ya dini, limekuwa kipaumbele cha Serikali ya awamu ya sita na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia amekuwa kinara katika hilo.

“Amekuwa akiwashirikisha viongozi wa dini katika masuala mbalimbali, wakati mwingine amefanya nao mazungumzo na anawatembelea. Vitendo hivyo vinadhihirisha jinsi Serikali inavyowathamini viongozi wa madhehebu ya dini.”

Katika ibada hiyo viongozi hao wa Makanisa walitumia fursa hiyo pamoja na mambo mengine kuliombea Taifa lidumishe muungano, amani, utulivu, umoja na mshikamano, pia waliuombea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.

Alisema kuwa Serikali kwa upande wake imekuwa ikichukua hatua za makusudi za kuinua ustawi wa wananchi wote bila kujali itikadi zao za imani, hizo ni pamoja na utekelezaji wa mipango na mikakati kuhakikisha kuwa wananchi wote wanafikiwa na huduma bora mbalimbali za kijamii.

 Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza alipomwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maombi Maalum ya Kuliombea Taifa yaliyoandaliwa na Umoja wa Viongozi wa Makanisa nchini kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Watanzania wakishiriki  katika Maombi Maalum ya Kuliombea Taifa yaliyoandaliwa na Umoja wa Viongozi wa Makanisa nchini kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia washiriki wa  Maombi Maalum ya Kuliombea Taifa yaliyoandaliwa na Umoja wa Viongozi wa Makanisa nchini kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2025.  Kushoto ni Mkuu wa   Kanisa la Calvary Assemblies of God, Dunstan Maboya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia washiriki wa  Maombi Maalum ya Kuliombea Taifa yaliyoandaliwa na Umoja wa Viongozi wa Makanisa nchini kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2025.   (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Cahalamila katika Maombi Maalum ya Kuliombea Taifa yaliyoandaliwa na Umoja wa Viongozi wa Makanisa nchini kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna