Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

ibizabet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

grandpashabet

grandpashabet giriş

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

WAZIRI MASAUNI,BALOZI WA SAUDI WAJADILI NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Written by Alex Sonna

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni (kushoto) akizungumza na Balozi wa Ufalme wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya bin Ahmed Okeish, mazungumzo yaliyofanyika Dar es Salaam

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni (kushoto) akizingumza na Ujumbe wa Saudi Arabia kuhusu Nishati Safi ya Kupikia. Kutoka kushoto kwake ni Balozi wa Ufalme wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya bin Ahmed Okeish, Meneja wa Mpango wa Nishati Safi ya Kupikia Bi. Reema Al Ashgar na Mhandisi wa mradi Bw. Faisal Al Mahsn wote kutoka Wizara ya Nishati ya Saudia.

…..

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Saudi Arabia kuhusu Nishati Safi ya Kupikia. 

Katika Mazungumzo hayo yaliyofanyika Dar es Salaam  Ujumbe huo uliambatana pia na Balozi wa Ufalme wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya bin Ahmed Okeish, Meneja wa Mpango wa Nishati Safi ya Kupikia Bi. Reema Al Ashgar na Mhandisi wa mradi Bw. Faisal Al Mahsn wote kutoka Wizara ya Nishati ya Saudia.

Waziri Masauni amesema ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia baada ya Jumuiya za Kimataifa kuanzisha kampeni hii Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa wa kwanza kuibeba na kuileta nchini Tanzania kwa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa vitendo jambo ambalo limeongeza msukumo na kukuza matumizi ya nishati safi hasa katika maeneo ya vijijini.

“Ofisi ya Makamu wa Rais moja ya eneo ambalo inasimamia ni Uhifadhi na Utunzajii wa Mazingira hivyo Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia katika eneo hili inasaidia kwa kiwango kikubwa katika kutunza mazingira.

“Tunashukuru kwa kuiona Tanzania moja ya nchi ambayo imekuwa kinara katika uhamaishaji wa matumiazi wa nshati safi ya kupikia hivyo niseme kwamba milango ipo wazi katika kuunga mkono jitahada hizi zinazofanywa na viongozi mbalimbali,” amesema Waziri Masauni.

Ameomengeza kuwa matumizi ya nishati chafu sio tu inaharibu mazingira bali hata afya za binadamu ambao hutumia kwa kuwa moshi wa kuni huwa na sumu ambayo humuathiri mtumiaji ndio maana serikali hufanya jitihada mbalimbali katika kulinda wananchi wake.

Katika hatua nyingi Mhe. Waziri emesema Tanzania pia imekuwa ikipiga hatua katika Biashara ya Kaboni kupitia Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Kaboni (NCMC) kilichopo mkoani Morogoro hiyo yote ni katika jitihada za kulinda na kutunza mazingira na milango ipo wazi kwa wote wenye nia ya kuwekeza eneo hilo.

Kwa upande wake Balozi wa Ufalme wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya bin Ahmed Okeish, amesema Tanzania imekuwa nchi ya kuiga katika suala la nishati safi ya kupikia ndio maana wameona vyema kuunga mkono katika suala hilo.

About the author

Alex Sonna