Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

casinowon

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark güncel giriş

porno izle

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

marsbahis güncel giriş 2026

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

pashagamingg

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat güncel giriş

jojobet

mercurecasino

sweet bonanza

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

ikimisli

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

holiganbet

İmajbet

Featured Kitaifa

WAJUMBE JUMUIYA YA WAZAZI SHINYANGA MJINI WAPONGEZA UJENZI WA MADARAJA CHIBE – OLD SHINYANGA, IBINZAMATA MAKABURINI

Written by Alex Sonna

Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji  Jumuiya ya wazazi CCM wilaya Shinyanga Mjini wakitembelea Daraja la Chibe – Old Shinyanga

Muonekano wa sehemu ya Daraja la Chibe – Old Shinyanga

 

Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji  Jumuiya ya wazazi CCM wilaya Shinyanga Mjini wakiwa katika daraja la Ibinzamata Makaburini

 

 

Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

Wajumbe wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini wameeleza kuridhishwa na ujenzi wa miradi ya madaraja katika kata za Chibe na Ibinzamata, wakisema kuwa miradi hiyo ni kielelezo tosha cha namna fedha zinazotolewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zinavyosaidia kuboresha miundombinu ya barabara.

Wakiwa katika kata za Chibe na Ibinzamata leo Februari 20,2020 ikiwa ni sehemu ya ziara yao ya kutembelea kata zote za Jimbo la Shinyanga Mjini, Wajumbe hao, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko, wamesema uboreshaji wa miundombinu ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Muonekano wa sehemu ya Daraja la Chibe – Old Shinyanga

“Tumeliona daraja linalounganisha Chibe na Old Shinyanga, ni zuri, limejengwa na mhandisi mahiri, linaunganisha kata ya Chibe na Old Shinyanga na maeneo mengine kama Mwawaza hadi. Daraja hili ni zuri na tunaenda kuifanyia kazi ombi la diwani kuwekewa taa kwenye daraja hili ili kuimarisha usalama kwa wanaopita nyakati za usiku,” amesema Mrindoko.

Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji  Jumuiya ya wazazi CCM wilaya Shinyanga Mjini wakiwa katika daraja la Ibinzamata Makaburini

“Tumejionea pia ujenzi unaoendelea wa daraja la Ibinzamata Makaburini. Daraja hili linajengwa vizuri. Tunawapongeza viongozi wote mliofanikisha kujengwa kwa daraja hili ili kurahisisha usafiri, lakini pindi tatizo la msiba linapotokea, wananchi waweze kupita kwa urahisi kwenda kuwahifadhi ndugu zetu waliotangulia mbele za haki. Ujenzi unaendelea vizuri na lipo katika hatua za ukamilishaji,” ameeleza Mrindoko.

Mrindoko ameipongeza Serikali kwa kutoa fedha za ujenzi wa miradi ya maendeleo ikiwemo ya barabara, elimu, maji, afya n.k.

Fue Mrindoko 

Kwa upande wake, Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Mhandisi James Jumbe, amesema ujenzi wa daraja kubwa la Chibe ni sehemu ya kazi nzuri zinazofanywa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha miundombinu ya barabara inakuwa mizuri ili kuwezesha kukua kwa uchumi.

“Daraja la Chibe ni kubwa na zuri. Haya ni mambo mazuri yanayofanywa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Mama Samia ametekeleza Ilani ya CCM kwa zaidi ya asilimia 100. Ameonesha maendeleo ya kiuchumi kwa vitendo, nasi hatuna zawadi ya kumpa zaidi ya kumpatia kura za kutosha kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2025 kwa sababu tayari Chama kimempitisha kuwa mgombea Urais kupitia CCM pamoja na mgombea mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi ili waweze kutuletea maendeleo zaidi,” amesema Jumbe.

 Mhandisi James Jumbe 
 
“Tunazo sababu nyingi za kutamba na Mama Samia, tunazo sababu lukuki za kumuunga mkono Rais Samia kwa mambo makubwa na mazito aliyoyafanya katika taifa hili. Amefanya mabadiliko makubwa katika Mahusiano ya Kimataifa, ujenzi wa miundombinu ya barabara, afya, elimu, maji, umeme na kuimarisha Demokrasia katika nchi ambapo hata vyama vya upinzani vinafanya mikutano yake kwa amani,” ameongeza Jumbe.

Jumbe ametumia fursa hiyo kuwaomba Watanzania kuendelea kukiunga mkono Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwakaribisha waliopo katika vyama vya upinzani na wasio na chama kujiunga CCM kwani ni chama imara chenye ni ya dhatiya kuwaletea maendeleo wananchi.

“Mwaka 2020 Shinyanga tulikuwa wa pili katika kukipigia kura kwa Kishindo Chama Cha Mapinduzi, mwaka huu 2025 tunataka tushike nafasi ya kwanza. Nafasi ya Urais tayari tuna mgombea Mama yetu Mhe. Samia Suluhu Hassan, nafasi za Udiwani na Ubunge wagombea watapatikana kwa mujibu wa taratibu za Chama,” ameongeza Jumbe.

Diwani wa kata ya Chibe, Mhe. John Kisandu, amesema ujenzi wa daraja la Chibe – Old Shinyanga lenye urefu wa mita 45 lililopo katika Mto Mkubwa, linalojumuisha barabara, kalvati na daraja likigharimu jumla ya shilingi Milioni 475, umekamilika na lipo katika matazamio huku akiomba taa ziwekwe katika eneo hilo ili kuimarisha usalama wapitaji kwani linatumiwa na watu kutoka maeneo mengi, ikiwemo kutoka Mkoani Tabora.

Diwani wa kata ya Chibe, Mhe. John Kisandu, akielezea kuhusu ujenzi wa daraja la Chibe – Old Shinyanga

“Daraja hili limerahisisha mawasiliano kati ya kata ya Chibe na Old Shinyanga, kwa sababu hapa palikuwa hapapitiki wakati wa masika kutokana na kuwepo kwa mto mkubwa. Usalama sasa upo na mapato ya Halmashauri yameongezeka kutokana na kwamba sasa wafanyabiashara wengi wanaokwenda katika Mnada wa Old Shinyanga na Tinde wanapita katika daraja hili,” ameeleza Kisandu.

Naye Diwani wa kata ya Ibinzamata, Mhe. Ezekiel Sabo, amesema ujenzi wa Daraja la Ibinzamata Makaburini linasaidia kurahisisha kufika katika eneo la Makaburini na maeneo ya jirani kwani eneo hilo lilikuwa halipitiki wakati wa masika baada ya daraja la awali kuvunjika.

Wajumbe wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini inaendelea na ziara ya kutembelea kata za Jimbo la Shinyanga Mjini, lengo kuu ni kuzungumza na wanachama na viongozi wa CCM, kufanya tathmini ya utekelezaji wa Ilani ya CCM, kuangalia hali ya uhai wa chama, na kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa katika maeneo hayo.

Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji  Jumuiya ya wazazi CCM wilaya Shinyanga Mjini wakitembelea Daraja la Chibe – Old Shinyanga
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji  Jumuiya ya wazazi CCM wilaya Shinyanga Mjini wakitembelea Daraja la Chibe – Old Shinyanga
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji  Jumuiya ya wazazi CCM wilaya Shinyanga Mjini wakitembelea Daraja la Chibe – Old Shinyanga
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji  Jumuiya ya wazazi CCM wilaya Shinyanga Mjini wakitembelea Daraja la Chibe – Old Shinyanga
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko akizungumza katika daraja la Ibinzamata Makaburini
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko akizungumza katika daraja la Ibinzamata Makaburini
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji  Jumuiya ya wazazi CCM wilaya Shinyanga Mjini wakiwa katika daraja la Ibinzamata Makaburini
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji  Jumuiya ya wazazi CCM wilaya Shinyanga Mjini wakiwa katika daraja la Ibinzamata Makaburini
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji  Jumuiya ya wazazi CCM wilaya Shinyanga Mjini wakiondoka katika daraja la Ibinzamata Makaburini
Ujenzi wa daraja la Ibinzamata Makaburini ukiendelea
Ujenzi wa daraja la Ibinzamata Makaburini ukiendelea

About the author

Alex Sonna