Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AMUAPISHA KAMISHNA WA ZRA ALIYEMTEUA HIVI KARIBU

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg. Said Kiondo Athumani kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-2-2025 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)

NDG. Said Kiondo Athumani akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) hafla hiyo iliyofanyika leo 12-2-2025 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo ya Ndg. Said Kiondo Athumani,baada ya kumuapisha kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-2-2025 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) Ndg, Said Kiondo Athumani, baada ya kumalizika kwa hafla ya kumuapisha iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-2-2025,  na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor