Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

avrupabet

vipslot

betcool

betlivo

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

kareasbet

hazbet

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

betra

gobahis

casival

casival

betcool

avrupabet

celtabet

jojobet

Hacklink panel

norabahis

kingroyal

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

hepbet

millibahis giriş

gobahis

vipslot

betface

elitbahis giriş

betcool

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

betlike

piabellacasino

timebet

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

vipslot

betnis

betmarino giriş

aresbet

aresbet

avrupabet giriş

betface

luxbet

betmarino

casival giriş

betlivo giriş

realbahis

gallerbahis

gallerbahis

aresbet giriş

parmabet

betnis

elitbahis

marsbahis

betra giriş

celtabet giriş

parmabet giriş

vipslot giriş

hazbet giriş

elitbahis

luxbet giriş

hepbet

lordcasino

parmabet

lordcasino

kareasbet

betcool giriş

realbahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

parmabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet giriş

marsbahis

sweet bonanza

realko

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

betlivo

millibahis

millibahis

celtabet

millibahis

parmabet giriş

mavibet giriş

coinbar

coinbar

mislibet giriş

mavibet

parmabet giriş

parmabet

bahiscasino

mavibet

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

betcio

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

Featured Kitaifa

MFUMO WA USHUGHULIKIAJI WA RUFAA NA MALALAMIKO UTAONGEZA UFANISI KATIKA UTOAJI HAKI KWENYE UTUMISHI WA UMMA-MHE.SANGU

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji wa Tume ya Utumishi wa Umma na Washiriki kutoka Serikali Kuu zikiwemo (Wizara, Sekretarieti za Mikoa, Idara zinazojitegemea na Wakala za Serikali), Taasisi za Umma na Mamlaka za Serikali za Mitaa baada ya kufungua mafunzo kuhusu Mfumo wa ushughulikiaji wa Rufaa na Malalamiko katika Utumishi wa Umma yanayofanyika mkoani Morogoro.

Na. Veronica Mwafisi_Morogoro

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu amesema mafunzo yanayotolewa kwa Washiriki kutoka Serikali Kuu zikiwemo (Wizara, Sekretarieti za Mikoa, Idara zinazojitegemea na Wakala za Serikali), Taasisi za Umma na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhusu Mfumo wa ushughulikiaji wa Rufaa na Malalamiko yataongeza ufanisi katika utoaji haki kwenye Utumishi wa Umma.

Mhe. Sangu amesema hayo leo wakati akifungua mafunzo ya Mfumo wa ushughulikiaji wa Rufaa na Malalamiko katika Utumishi wa Umma yanayofanyika Mkoani Morogoro.

Mhe. Sangu amesema kuwa, kutokana na Serikali kusisitiza matumizi ya mifumo kwenye utendaji wa shughuli zake, Tume ya Utumishi wa Umma, imejenga Mfumo wa kushughulikia Rufaa na Malalamiko kwa Watumishi wa Umma, Mamlaka za Rufaa, Mamlaka za Nidhamu na Waajiri kwa lengo la kutoa huduma bora ili kuendana na Serikali ya kidijitali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Mhe. Sangu ameongeza kuwa mfumo huo utasaidia kupatikana kwa taarifa za hali ya Utumishi wa Umma kwa wakati na katika ubora unaotakiwa kulingana na uzito wa taarifa hizo.

Naibu Waziri Sangu amewasihi washiriki wa mafunzo hayo kutumia vyema Mfumo huo na kuhakikisha wanatuma taarifa sahihi Tume ya Utumishi wa Umma kwa lengo la kuchakatwa na kuwasilisha taarifa hizo kwa Mamlaka husika ili kuirahisishia Serikali kupanga masuala mbalimbali yanayohusu Utumishi wa Umma.

Aidha, Naibu Waziri Sangu amewataka Waajiri, Mamlaka za Ajira na Mamlaka za Nidhamu kuwasilisha vielelezo vya rufaa na malalamiko Tume ya Utumishi wa Umma kwa wakati kama Sheria inavyoelekeza pale zinapotakiwa kufanya hivyo.

Kwa Upande wake, Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma Mhe. Hamisa Kalombola (Jaji Mst), amesema kuwa Tume iliamua kujenga mifumo ya kielektroniki na kuendelea kutoa elimu ya kutumia mifumo hiyo kwa wadau wao ili kuondokana na baadhi ya changamoto ambazo zilikuwa zinakwamisha utendaji kazi wa namna ya kuitumia wakati wa uendeshaji wa mashauri na nidhamu hasa kwenye ushughulikiaji wa rufaa na malalamiko.

Awali, Kaimu Katibu, Tume ya Utumishi wa Umma Bw. John Mbisso alisema, mafunzo hayo yanafanyika ili kutekeleza Sheria ya Utumishi wa Umma ya kutoa miongozo na elimu ya masuala mbalimbali ya kiutumishi kwa lengo la kuboresha usimamizi wa Watumishi wa Umma.

Tume ya Utumishi wa Umma ni chombo rekebu chini ya Ofisi ya Rais kilichoundwa kwa mujibu wa Kifungu cha 9(1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 [Marejeo ya Mwaka 2019].

Aidha, majukumu ya Tume yameainishwa katika Kifungu cha 10(1) cha Sheria hiyo ambapo baadhi ya majukumu yake ni pamoja na kutoa Miongozo, Uwezeshaji, Utafiti, kufuatilia Uzingatiaji katika Usimamizi wa Utumishi wa Umma na ushughulikiaji wa Rufaa na Malalamiko katika Utumishi wa Umma.


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu akizungumza wakati akifungua mafunzo kuhusu Mfumo wa ushughulikiaji wa Rufaa na Malalamiko katika Utumishi wa Umma yanayofanyika mkoani Morogoro.

Sehemu ya washiriki wa mafunzo kuhusu Mfumo wa ushughulikiaji wa Rufaa na Malalamiko katika Utumishi wa Umma wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo hayo yanayofanyika mkoani Morogoro.

Sehemu ya Watendaji wa Tume ya Utumishi wa Umma wakifuatilia mafunzo waliyoyaratibu kuhusu Mfumo wa ushughulikiaji wa Rufaa na Malalamiko katika Utumishi wa Umma yanayofanyika mkoani Morogoro.

Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma Mhe. Hamisa Kalombola (Jaji Mst) akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu (hayupo pichani) kufungua rasmi mafunzo kuhusu Mfumo wa ushughulikiaji wa Rufaa na Malalamiko katika Utumishi wa Umma yanayofanyika mkoani Morogoro.

Sehemu ya washiriki wa mafunzo kuhusu Mfumo wa ushughulikiaji wa Rufaa na Malalamiko katika Utumishi wa Umma wakifuatilia mafunzo hayo yanayofanyika mkoani Morogoro.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu (wapili kutoka kulia) akiagana na Kaimu Katibu, Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. John Mbisso (kulia) wakati akiondoka baada ya kufungua mafunzo kuhusu Mfumo wa ushughulikiaji wa Rufaa na Malalamiko katika Utumishi wa Umma yanayofanyika mkoani Morogoro. Aliyejitanda kilemba ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma Mhe. Hamisa Kalombola (Jaji Mst). Nyuma yake ni Naibu Katibu Msaidizi wa Tume hiyo Bi. Celina Maongezi.

Mkurugenzi wa Idara ya Miongozo, Uwezeshaji na Utafiti, Bw. Peleleja Masesa akitoa utambulisho wa washiriki waliohudhuria mafunzo kuhusu Mfumo wa ushughulikiaji wa Rufaa na Malalamiko katika Utumishi wa Umma yanayofanyika mkoani Morogoro.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu (katikati) akifuatilia jambo wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Mfumo wa ushughulikiaji wa Rufaa na Malalamiko katika Utumishi wa Umma yanayofanyika mkoani Morogoro. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma Mhe. Hamisa Kalombola (Jaji Mst).

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji wa Tume ya Utumishi wa Umma na Washiriki kutoka Serikali Kuu zikiwemo (Wizara, Sekretarieti za Mikoa, Idara zinazojitegemea na Wakala za Serikali), Taasisi za Umma na Mamlaka za Serikali za Mitaa baada ya kufungua mafunzo kuhusu Mfumo wa ushughulikiaji wa Rufaa na Malalamiko katika Utumishi wa Umma yanayofanyika mkoani Morogoro.

Afisa Utumishi, Bodi ya Pamba Tanzania ambaye ni mshiriki wa Mafunzo ya Mfumo wa ushughulikiaji wa Rufaa na Malalamiko katika Utumishi wa Umma Bi. Changwa Mkwazu akitoa neno la shukrani kwa niaba ya washiriki wote kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu (hayupo pichani) baada ya Waziri huyo kufungua mafunzo hayo yanayofanyika mkoani Morogoro.

About the author

Alex Sonna