Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

rekabet

matbet

maxwin, maxwin giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

betper

holiganbet

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

Grandpashabet

jojobet

holiganbet

holiganbet

bets10 sorunsuz giriş

meritking

jojobet

jojobet

atlasbet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

jojobet güncel

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

pusulabet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betpark

dinamobet giriş

casibom

casibom

betkolik

goldenbahis

casibom

goldenbahis

casibom

kalebet

berlinbet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

luxbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pokerklas

betpark

betsat

vdcasino

jojobet

casibom

betsat

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

JAFO AITKA BODI YA STAKABIDHI ZA GHALA KUUSIMAMIA MFUMO WA KUTUMIA KAMERA ZA KIDIGITALI NA STIKA YA UTAMBUZI WA GHALA

Written by Alex Sonna
WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt.Selemani Jafo,akizungumza wakati akizindua Mfumo wa kutumia kamera za kidijitali na stika ya utambuzi wa ghala,hafla iliyofanyika leo Januari 31,2025 jijini Dodoma.
Na Alex Sonna-DODOMA
WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt.Selemani Jafo ameitaka Bodi ya Usimamizi na Stakabadhi za  Ghala kuusimamia Mfumo wa kutumia kamera za kidijitali na stika ya utambuzi wa ghala ili wanunuzi waweze kuuamini huku akiwataka watumishi wa Taasisi hiyo kuacha alama katika utendaji kazi wao.
Dkt.Jafo ametoa kauli hiyo  leo Januari 31,2025,Jijini Dodoma  wakati akizungumza katika  Uzinduzi wa Mfumo wa kutumia kamera za kidijitali na stika ya utambuzi wa ghala.
Waziri Jafo ametaka Mfumo huo uwe imara ili kuongeza uaminifu kwa wateja na kuweza kuona Kila kitu kilichopo katika ghala lako.
“Mkurugenzi (Asangye Bangu)  huu mfumo uwe imara tutengeneze kujiamini kwa wanunuzi na tuwatafute vijana wa tehama, Mteja atachokiona ndio kiwe uhalisia  hatutaki ukanjanja…mmefanya jambo kubwa.Mtaendelea kufanya ubunifu imani kubwa mtafanya connection nzuri.Mimi sina mashaka na jinsi mnavyoenda,”amesema Waziri Jafo
Hata hivyo,Dkt. Jafo ameipongeza Taasisi hiyo kwa kufanya vizuri pamoja na kukutana na changamoto mbalimbali kwani inaashiria utendaji kazi mzuri.
“Wakulima walikuwa wanasema Mbaazi hainunuliki lakini kupitia Mfumo wa Stakabadhi ghalani umefanya vizuri,Mkurugenzi Mtendaji Bangu nakupa maua yako mmefanya vizuri.
Amesema kipindi cha nyuma korosho zilichanganywa na mawe kupelekea kutaka kuharibu soko la zao hilo nje lakini Sasa hivi mambo yanaenda vizuri.
Amesema kupitia Mfumo huo mnunuzi anaweza kuona hata akiwa nje ya Tanzania.
Dkt.Jafo amewaomba wale wanaosimamia maghala kuweka logo ili Mfumo huo uweze kufanya vizuri zaidi.
Kuhusu watendaji wa Serikali,Dkt.Jafo amewataka kuendelea kufanya vizuri zaidi huku akaigiza Kila mtumishi kufanya kazi kwa bidii ili kuacha alama.
“Niwaambie muda tunautumia katika kazi leo kuna mtumishi anaomba likizo siku 28 weka mashaka kama atakukubalia,tengenezeni Utamaduni kazi zinaenda vizuri.Imani ya gu Kila mmoja atatimiza wajibu wake.
“Fanya kazi acha legacy hakikisha mtu anaekuja kiatu kisimtoshe.Fanya kazi kama ni ibada.Fanyeni kazi tulete mabadiliko,”amesema Waziri Jafo.
Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa  Stakabadhi za Ghala,Bw.Asangye Bangu,amesema kazi yao kubwa ni kuwezesha biashara pamoja na kutoa leseni huku akidai sababu ya uwepo wao ni kurasimisha masoko,kuwezesha wakulima kulipwa vizuri,kuongeza ubora na hivyo kuongezeka kipato kwa watanzania.
Amesema mwaka huu wameshuhudia ongezeko la mapato katika mazao yanayotumia Mfumo.
Amesema wamejipanga na Wizara ya mifugo kuingiza zao la Mwani na samaki pamoja na Madini katika Mfumo huo.
“Nikuhakikishie tumesimama imara na tunaendelea kutekeleza kwa ufasaha.Maelekezo yako tutayafanyia kazi na kuyapokea,”amesema Bw. Bangu
Naye  Meneja Uratibu na Huduma kutoka Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala Bw.Abubakari Ndwata,amesema stika ya utambuzi   kazi yake ni kutoa taarifa,jina la ghala,umiliki,mahali lilipo,mtu anaweza kuingia ndani ya ghala ili aweze kuona,zao kwa wakati huo,kiasi cha mzigo,idadi ya magunia na uzito wa magunia.
“Nembo hii ya utambuzi inaenda kuongeza uaminifu wetu ili wanunuzi wawe wanajiamini,Mheshimiwa Waziri Jafo umeona tumeuza korosho nyingi,”amesema Bw.Ndwata
WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt.Selemani Jafo,akizungumza wakati akizindua Mfumo wa kutumia kamera za kidijitali na stika ya utambuzi wa ghala,hafla iliyofanyika leo Januari 31,2025 jijini Dodoma.
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule,akitoa salamu za Mkoa wake wakati wa hafla ya uzinduzi wa   Mfumo wa kutumia kamera za kidijitali na stika ya utambuzi wa ghala, leo Januari 31,2025 jijini Dodoma.
MKURUGENZI Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa  Stakabadhi za Ghala,Bw.Asangye Bangu,akielezea jinsi walivyojipanga na  Mfumo wa kutumia kamera za kidijitali na stika ya utambuzi wa ghala,wakati wa hafla iliyofanyika leo Januari 31,2025 jijini Dodoma.
 
MKUU wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Edda Tandi Lwoga, wakati wa hafla ya uzinduzi wa  Mfumo wa kutumia kamera za kidijitali na stika ya utambuzi wa ghala, leo Januari 31,2025 jijini Dodoma.
Meneja Uratibu na Huduma kutoka Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala Bw.Abubakari Ndwata,akielezea jinsi mfumo huo utakavyokuwa unafanya kazi  wakati wa hafla ya uzinduzi wa  Mfumo wa kutumia kamera za kidijitali na stika ya utambuzi wa ghala, leo Januari 31,2025 jijini Dodoma.
WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt.Selemani Jafo,akizundua  Mfumo wa kutumia kamera za kidijitali na stika ya utambuzi wa ghala,hafla iliyofanyika leo Januari 31,2025 jijini Dodoma.
WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt.Selemani Jafo,akiangalia mfumo unavyofanya kazi mara baada ya kuzindua Mfumo wa kutumia kamera za kidijitali na stika ya utambuzi wa ghala,hafla iliyofanyika leo Januari 31,2025 jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna