Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

rekabet

matbet

maxwin, maxwin giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

betper

holiganbet

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

Grandpashabet

jojobet

holiganbet

holiganbet

bets10 sorunsuz giriş

meritking

jojobet

jojobet

atlasbet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

jojobet güncel

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

pusulabet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betpark

dinamobet giriş

casibom

casibom

betkolik

goldenbahis

casibom

goldenbahis

casibom

kalebet

berlinbet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

luxbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pokerklas

betpark

betsat

vdcasino

jojobet

casibom

betsat

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

SERIKALI YACHUKUA HATUA KUIMARISHA MAENEO YA BAHARI YALIYOHIFADHIWA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Yusuf Masauni akifungua Mkutano wa Kwanza wa Kamati Tendaji ya Mkataba wa Nairobi kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi Baada ya Mkutano Mkuu wa 11 wa nchi Wanachama uliofanyika jijini Dar es Salaam leo Januari 30, 2025.

Mkuu wa Mkataba wa Nairobi kuhusu Hifadhi ya Mazingira Dkt. Jared Bosire akizungumza wakati Mkutano wa Kwanza wa Kamati Tendaji ya Mkataba wa Nairobi kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi Baada ya Mkutano Mkuu wa 11 wa nchi Wanachama uliofanyika jijini Dar es Salaam leo Januari 30, 2025.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Yusuf Masauni (katikati) akishiriki Mkutano wa Kwanza wa Kamati Tendaji ya Mkataba wa Nairobi kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi Baada ya Mkutano Mkuu wa 11 wa nchi Wanachama uliofanyika jijini Dar es Salaam leo Januari 30, 2025. Kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Bi. Farhat Ali Mbarouk na Afisa Kiungo wa Mkataba wa Nairobi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Wankyo Mkono.

Afisa Kiungo wa Mkataba wa Nairobi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Wankyo Mkono akizungumza wakati wa Mkutano wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi kuhusu Hifadhi ya Mazingira Januari 30, 2025 jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Yusuf Masauni amesema Serikali ya Tanzania imechukua hatua za kuimarisha maeneo ya bahari yaliyohifadhiwa.

Amesema hatua hizo zimesaidia kukuza usimamizi endelevu wa uvuvi na kuongeza uwezo wa kuzuia uchafuzi wa baharini na kukabiliana na hatari za mabadiliko ya tabianchi.

Mhandisi Masauni amesema hayo wakati akifungua Mkutano wa Kwanza wa Kamati Tendaji ya Mkataba wa Nairobi kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi Baada ya Mkutano Mkuu wa 11 wa nchi Wanachama uliofanyika jijini Dar es Salaam leo Januari 31, 2025.

Ameeleza kuwa eneo la Bahari ya Hindi Ukanda wa Magharibi lina mifumo mbalimbali ya ikolojia ya pwani na baharini ambayo inasaidia uchumi wa ndani na kitaifa hivyo ni muhimu kuwa na usimamizi endelevu wa mazingira yake.

Mhe. Masauni ametaja ukanda huo kuweza kutoa huduma muhimu za mfumo ikolojia ikiwemo ni makazi kwa bioanuwai ya baharini na inachukuliwa kuwa moja ya mifumo ikolojia yenye thamani zaidi ulimwenguni ambayo ina manufaa makubwa kwa jamii za pwani.

Ameshukuru na kupongeza Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Mazingira kupitia Sekretarieti ya Mikutano ya Nairobi kwa kusimamia ajenda ya mazingira kupitia ufadhili wa miradi ya yenye lengo la kuboresha maisha ya jamii za wavuvi katika Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga, Tanzania. 

Halikadhalika, ametoa shukrani kwa Umoja wa Mataifa kwa kuipatia Serikali takriban dola 70,000 kwa ajili ya kukamilisha Mradi wa Upanuzi wa Kituo cha Kutibu Majitaka cha Msingini, Chake Chake, Pemba.

Ameongeza kuwa eneo la pwani ya Tanzania lina rasilimali nyingi za baharini ambazo ni pamoja na fukwe za mchanga, miamba, mito mikubwa ya mito, misitu ya mikoko, nyasi pana za bahari, miamba ya matumbawe na tambarare zenye matope.

Sanjari na hilo, Mhe. Masauni amesema kuwa mazingira ya bahari ya Tanzania yanasaidia aina mbalimbali za samaki, papa na miale, kasa, matumbawe, nyasi za baharini na mikoko ambayo inasaidia katika utunzaji wa mazingira.

“Pamoja na faida hiyo kubwa, kama nchi wanachama tunapaswa kutambua changamoto zinazokabili mazingira ya bahari na pwani zikiwemo mabadiliko ya tabianchi, uvuvi usio endelevu, uchafuzi wa mazingira na upotevu wa viumbe hai, jambo ambalo linatishia afya na ustahimilivu wa mifumo ya ikolojia,” amesema. 

Itakumbukwa, Tanzania ilichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Mkataba wa Nairobi kuhusu utunzaji wa mazingira wakati wa Mkutano wa COP 11 uliyofanyika Madagascar Agosti, 2024. 

About the author

Alex Sonna