Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

rekabet

matbet

maxwin, maxwin giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

betper

holiganbet

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

Grandpashabet

jojobet

holiganbet

holiganbet

bets10 sorunsuz giriş

meritking

jojobet

jojobet

atlasbet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

jojobet güncel

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

pusulabet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betpark

dinamobet giriş

casibom

casibom

betkolik

goldenbahis

casibom

goldenbahis

casibom

kalebet

berlinbet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

luxbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pokerklas

betpark

betsat

vdcasino

jojobet

casibom

betsat

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAANDAA MKAKATI WA USIMAMIZI WA TAKA

Written by Alex Sonna

 

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi akifungua kikao cha wadau kuhusu kubadilishana uzoefu wa udhibiti na usimamizi wa taka za plastiki nchini, kilichofanyika Dodoma Januari 30,2025.

Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Kemilembe Mutasa akizungumza katika kikao cha wadau kuhusu kubadilishana uzoefu wa udhibiti na usimamizi wa taka za plastiki nchini, kilichofanyika Dodoma Januari 30,2025 ambapo amesema katika kukabiliana na udhibiti wa taka hususani taka za plastiki, Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imechukua hatua mbalimbali katika kuimarisha usimamizi wa taka nchini ikiwemo Kutunga na kufanya marekebisho ya Sera, Sheria, Kanuni, Mikakati na Miongozo mbalimbali.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa mazingira baada ya  kufungua kikao cha wadau kuhusu kubadilishana uzoefu wa udhibiti na usimamizi wa taka za plastiki nchini, kilichofanyika Dodoma Januari 30,2025.

……

Ofisi ya Makamu wa Rais imeandaa Mkakati wa Usimamizi wa Taka wa mwaka 2025-2030 ambao unalenga kuimarisha miundombinu ya usimamizi wa taka katika maeneo yote nchini.

Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi katika kikao cha wadau kuhusu kubadilishana uzoefu wa udhibiti na usimamizi wa taka za plastiki nchini, kilichofanyika Dodoma Januari 30,2025.

Amesema inakadiriwa kuwa Tanzania inazalisha taka ngumu kati ya tani milioni 14.4 hadi 20.7 kwa mwaka ambazo ni sawa na wastani wa kilo 241 hadi 347 kwa mtu mmoja kwa mwaka.  Aidha, maeneo ya mijini yanakadiriwa kuwa na uzalishaji mkubwa zaidi wa taka ikilinganishwa na maeneo ya vijijini. 

“Takwimu za maeneo yenye uzalishaji mkubwa wa taka ngumu nchini zinaonesha wastani wa mabaki ya bustani, mbao, na vyakula ni asilimia 63.4; mchanganyiko wa taka za kielektroniki, vifaa vya nyumbani, majivu, na taka zisizo na kemikali ni asilimia 12.8; taka za plastiki ni asilimia 12; taka za karatasi ni asilimia 6.1; taka za vioo ni asilimia 4.2 na taka za metali ni asilimia 1.5.

Bw. Mitawi ameongeza asilimia 70 ya taka ngumu zinazozalishwa nchini zinaweza kurejelezwa. Hata hivyo, ni asilimia 5 hadi 10 pekee ya taka hizi hurejelezwa ambapo kiwango kikubwa cha urejelezaji kinatokana na taka za plastiki, karatasi, chuma chakavu, aluminium, glasi, taka za kielektroniki, betri za asidi ya risasi, na mafuta yaliyotumika au taka za mafuta.

Amesema kiwango cha asilimia 5 hadi 10 cha urejelezaji kimechangiwa na utekelezaji wa mwongozo wa dhana ya 3Rs (punguza, tumia tena, na rejeleza taka) hususani katika sekta binafsi. Mathalani, Kampuni nane za vinywaji zimeungana kukuza usimamizi endelevu wa taka kupitia Wajibu wa Wazalishaji Kudhibiti Taka zitokanazo na bidhaa wanazozalisha  kwa uratibu wa Shirika la Urejelezaji wa Taka za Plastiki (PETRO). 

Hata hivyo, amesema ushirikiano huu unalenga kukusanya na kurejeleza tani milioni 12.5 za taka za plastiki nchini kote kwa mwaka. Kiwango kikubwa cha taka zinazozalishwa hutupwa ovyo, ispokuwa katika Halmashauri saba zenye madampo ya kisasa. 

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Kemilembe Mutasa amesema katika kukabiliana na udhibiti wa taka hususani taka za plastiki, Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imechukua hatua mbalimbali katika kuimarisha usimamizi wa taka nchini ikiwemo kutunga na kufanya marekebisho ya Sera, Sheria, Kanuni, Mikakati na Miongozo mbalimbali.

Pia, amesema Serikali imeendelea kutoa elimu kwa umma kupitia vipindi vya redio, television, warsha na mikutano mbalimbali na kuandaa mradi wa mfano wa urejelezaji wa taka za plastiki uliopo jijini Dodoma. 

Naye Mkurugenzi wa HUDEFO Bi. Sarah Pima amesema taasisi hiyo imekuwa ikishirikiana na Serikali katika kuhamasisha Uhifadhi wa Mazingira hasa katika mikoa ambayo imekuwa ikizalisha taka za plastiki kama vile Dar es Salaam.

Ameongeza pia wamekuwa wakitoa elimu kwa makundi mbalimbali kama vile waandishi wa Habari ambao kupitia vyombo vya Habari elimu imekuwa ikiwafikia watu wengi kwa wakati mmoja.  

About the author

Alex Sonna