marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

klasbahis

savoybetting giriş

goldenbahis

savoybetting

klasbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

sahabet

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

trendbet giriş

bets10

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

trendbet

imajbet giriş

milanobet

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

milanobet giriş

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

kingroyal

trust score weak 3

jojobet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu veren siteler

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

superbetin

madridbet

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

romabet

piabellacasino

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

Featured Kitaifa

RC SINGIDA ASISITIZA UMUHIMU WA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Halima Dendego,akizungumza wakati akifungua Mafunzo ya Wanachama wa Klabu za Waandishi wa habari wa Mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 NA Tafiti nyingine za Takwimu,yaliyoanza leo kwa mbili Mkoani Singida yaliyoandaliwa na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Halima Dendego,akizungumza wakati akifungua Mafunzo ya Wanachama wa Klabu za Waandishi wa habari wa Mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 NA Tafiti nyingine za Takwimu,yaliyoanza leo kwa mbili Mkoani Singida yaliyoandaliwa na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).

Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 Tanzania Bara Mhe Anne Sembamba Makinda,akizungumza wakati wa  Mafunzo ya Wanachama wa Klabu za Waandishi wa habari wa Mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 NA Tafiti nyingine za Takwimu,yaliyoanza leo kwa mbili Mkoani Singida yaliyoandaliwa na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).

Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 Tanzania Bara Mhe Anne  Makinda,akisisitiza jambo wakati wa  Mafunzo ya Wanachama wa Klabu za Waandishi wa habari wa Mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 NA Tafiti nyingine za Takwimu,yaliyoanza leo kwa mbili Mkoani Singida yaliyoandaliwa na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).

Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhe. Godwin Gondwe,akitoa salama na kuwakaribisha Waandishi wa habari katika Wilaya yake  wakati wa  Mafunzo ya Wanachama wa Klabu za Waandishi wa habari wa Mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 NA Tafiti nyingine za Takwimu,yaliyoanza leo kwa mbili Mkoani Singida yaliyoandaliwa na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).

Mkurugenzi Mtendaji wa Wazo-Huru Media Bw.Mathias Canal pamoja na Mwandishi wa habari wa Fullshangwe na Mzalendo News Bw.Alex Sonna wakitetea jambo wakati wa  Mafunzo ya Wanachama wa Klabu za Waandishi wa habari wa Mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 NA Tafiti nyingine za Takwimu,yaliyoanza leo kwa mbili Mkoani Singida yaliyoandaliwa na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Halima Dendego (hayupo pichani)  wakati akifungua Mafunzo ya Wanachama wa Klabu za Waandishi wa habari wa Mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 NA Tafiti nyingine za Takwimu, yaliyoanza leo kwa mbili Mkoani Singida yaliyoandaliwa na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Halima Dendego,akiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma mara baada ya kufungua  Mafunzo ya Wanachama wa Klabu za Waandishi wa habari wa Mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 NA Tafiti nyingine za Takwimu, yaliyoanza leo kwa mbili Mkoani Singida yaliyoandaliwa na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Halima Dendego,akiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari wa Singida mara baada ya kufungua  Mafunzo ya Wanachama wa Klabu za Waandishi wa habari wa Mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 NA Tafiti nyingine yaliyoanza leo kwa mbili Mkoani Singida yaliyoandaliwa na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).

Na.Alex Sonna-SINGIDA

MKUU  wa Mkoa wa Singida Mhe  Halima Dendego,ametoa wito kwa taasisi za Serikali na zisizo za kiserikali kutoa mafunzo kwa wanachama wa klabu za waandishi wa Habari katika mikoa ili kuimarisha weledi na kuongeza ufanisi katika ukusanyaji na usambazaji wa Habari kwa umma.
RC Dendego ameyasema hayo leo Januari 28,2025  wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa wanachama wa klabu za waandishi wa habari wa mikoa ya Dodoma na Singida kuhusu matumizi ya matokeo ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 na tafiti nyingine za Takwimu yaliyoandaliwa na Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
“Kufanya hivyo kutaongeza kutangazwa kwa shughuli nyingi zaidi za maendeleo zinazofanyika mikoani zikiwemo zinazofanywa na wananchi wenyewe kama kilimo, ufugaji, uvuvi na nyinginezo nyingi ambazo zinagusa maisha ya siku ya wananchi sio tu wa vijijini bali hata wanaoishi mijini,”amesema RC Dendego
Mhe. Dendego amesema kuwa mafunzo hayo ni sehemu ya utekelezaji wa Mwongozo wa Kitaifa wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 na Mpango Kabambe wa Pili wa Maendeleo ya Takwimu nchini (TSMP II). 
Aidha ameseema kuwa Mafunzo hayo yanakwenda sambamba lengo kuu la Mwongozo wa Kitaifa wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Mwaka 2022 ambalo ni kuongeza uelewa, uwazi na kupanua wigo wa matumizi ya Matokeo ya Sensa kwa Serikali, wananchi na wadau wote ili kupanga mipango jumuishi kwa maendeleo endelevu ya kiuchumi, kijamii na mazingira. 
“Kamati za Sensa hazikuwa na uwezo wa kufika kila mahala lakini vyombo vya Habari vilifikisha ujumbe kila mahala bila kuwaacha wengine nyuma. Hivyo, sina budi kuvipongeza vyombo vyote vya Habari katika mikoa yetu ya Dodoma na Singida zikiwemo redio zetu za jamii kwa kujitoa kuelimisha na kuhamasisha wananchi kushiriki Sensa hadi tukafanikiwa kwa wananchi wote kuhesabiwa katika mikoa yetu” amesema Mhe Dendego 
Hata hivyo amefafanua  kuwa Lengo la Serikali ni kuona matokeo ya Sensa na ya tafiti nyingine za kitakwimu yanawafikia wadau wote hususani wananchi ili waweze kuyatumia katika shughuli zao binafsi na pia kuzitumia katika kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya nchi ikiwemo kushiriki katika kufanya maamuzi ikiwemo kupanga, kufuatilia na kutathmini shughuli za maendeleo zinazotekelezwa na Serikali na wadau wengine wa maendeleo katika maeneo yao wanayoishi.
Kwa upande wake Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 Tanzania Bara Mhe Anne Makinda, amesema kuwa kwa sasa serikali ipo katika Awamu ya Tatu na ya mwisho ya utekelezaji wa Sensa ya Watu na Makazi. Awamu hiyo inajumuisha uchakataji, uchambuzi na uandishi wa ripoti pamoja na usambazaji, kufanya mafunzo na kuhamasisha matumizi ya matokeo ya Sensa.
Ameeleza kuwa awamu hiyo ni tofauti na tafiti nyingine za kitakwimu ambazo matokeo yake hutolewa mara moja kwa mkupuo, matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi hutolewa hatua kwa hatua kufuatana na Kalenda ya Utoaji wa Matokeo. Kama mlivyoona wakati wa zoezi la kuhesabu watu, Dodoso la Sensa lilikuwa na maswali karibu ya 100, hivyo taarifa zilizokusanywa zilikuwa nyingi kwa maana hiyo uchambuzi wake hufanyika hatua kwa hatua hadi kupata matokeo na kutoa ripoti kamili. Matokeo ya Ripoti hizi yakishazinduliwa rasmi husambazwa kwa njia mbalimbali ili kuwafikia wadau.
Aidha amesema kuwa Mafunzo hayo kwa waandishi wa habari ni mfufulizo wa mafunzo yanayoendeshwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar (OCGS) ambayo yanafanyika kwa mujibu wa Mwongozo wa Kitaifa wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Mwaka 2022 na Lengo lake kuu ni kuvijengea uwezo waandishi katika kuchambua, kutafsiri na kutumia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 na matokeo ya tafiti nyingine za kitakwimu zinazofanyika nchini ili viweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na weledi zaidi.
“Mwongozo huu umeelekeza mafunzo haya yafanyike kuanzia ngazi ya Taifa hadi ngazi ya chini ya utawala kwa makundi mbalimbali kama ilivyokuwa wakati wa kuelimisha na kuhamasisha wananchi kushiriki Sensa. Katika Mkoa wako wa Singida na mikoa mingine tumeshafanya mafunzo kama haya kwa makundi mbalimbali wakiwemo viongozi na watendaji wa Serikali ngazi ya mkoa na wilaya, halmashauri, kata, tarafa, vijiji, vitongoji na mitaa; makundi mbali mbali kama wanawake, vijana na wajasiriamali. Vilevile, kama mnavyofahamu Tanzania hivi sasa inatekeleza Mpango Kabambe wa Pili wa Maendeleo ya Takwimu Nchini (Tanzania Masterplan II [TSMP II]) ambao moja ya malengo yake ni kuimarisha usambazaji na matumizi ya takwimu nchini. Kwa hivyo, mafunzo kwa vyombo vya habari ni moja ya mbinu za kufikia lengo hilo” amesema Mhe Makinda
Amesema mafunzo hayo yanaakisi msemo wa wahenga wa kupiga ndege wawili kwa jiwe moja. Kwa maana ya kutekeleza Mwongozo wa Kitaifa wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa na Mpango Kabambe wa Pili wa Maendeleo ya Takwimu nchini.

About the author

Alex Sonna