Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

spinco

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

KUWENI NA USHIRIKIANO SABABU UTALETA UFANISI KATIKA UTENDAJI WA MAJUKUMU YENU – MWAMBENE

Written by mzalendo

Na. OR – TAMISEMI, Singida

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu Bw. Atupele Mwambene amewataka Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa (Elimu) Wakuu wa Divisheni za Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari kuwa na ushirikiano wakati wanatekeleza majukumu kwa sababu utaleta ufanisi mzuri katika kazi zao na itasaidia kutimiza malengo yaliyowekwa na Serikali yaweze kufikiwa katika sekta ya elimu.

Ameyasema hayo leo Januari 27, 2025 wakati akifungua kikao Kazi cha Tathmini ya Utekelezaji wa Shughuli za Elimu katika kipindi cha Julai hadi Desemba, 2024 kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa (Elimu) Wakuu wa Divisheni za Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari kilichofanyika Mkoani Msingida.

Amesema kukutana kwao kunatoa fursa ya kufanya tafakari ya kina, kujengeana uzoefu, kubadilishana mbinu na kushirikishana katika masuala mbalimbali yanayohusu utendaji kazi na utekelezaji wa maelekezo na shughuli zote za Serikali ndani ya kipindi kifupi na kuboresha malengo ili kuimarisha utekelezaji.

Mwambene amesema kuwa, Serikali kwa upande wake imefanya jitihada kubwa katika kuimarisha sekta ya elimu hususani katika shule za msingi na sekondari nchini na amefafanua, baadhi ya mafanikio yake ni kama vile, kuongezeka kwa udahili wa wanafunzi katika ngazi mbalimbali ikiwemo sekondari kufikia 3,087,870 mwaka 2024 na shule za msingi kufikia 11,391,185 mwaka 2024.

Aidha, amewapongeza viongozi hao kwa kusimamia vigezo walivyowekeana vya kupimana na utendaji wao mzuri kwa kuongeza ufaulu katika mitihani ya kitaifa kwa Darasa la Nne kutoka asilimia 83.3 2023 hadi asilimia 86 mwaka 2024, Darasa la Saba kutoka asilimia 80.58 hadi asilimia 80.87 mwaka 2024,

“Kidato cha Pili kutoka asilimia 85.31 hadi asilimia 85.41 mwaka 2024, na Kidato cha Nne kutoka asilimia 89.36 mwaka 2023 hadi asilimia 92.37 mwaka mwaka 2024’’ amesema

Mwambene ametoa wito kwa watendaji hao kuendelea kuyafanyia kazi vizuri na kwa weledi watakayoyajadili katika kikao hicho kitakachokuwa cha siku tatu ili watakapo rejea kazini kwao waende kuwapa ushirikiano na kuwajengea uwezo maafisa waliopo chini yao.

Naye Mkurugenzi, Idara ya Usimamizi wa Elimu, Ofisi ya Rais -TAMISEMI Dkt. Emmanuel Shindika amesisitiza kwa kusema lengo la kikao hicho ni kufanya tathmini ya kina ya shughuli za elimu zilizopangwa kwa kipindi cha mwezi Julai hadi Desemba 2024.

Kwa upande wa Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Fatuma Mganga ametoa wito kwa maafisa hao kila mmoja katika eneo lake akabuni mbinu na utaratibu kwa watoto kupata chakula shuleni chenye kuzingatia lishe bora sababu amesema ukosefu wa lishe bora unaweza kusababisha sio tu mwili bali hata kuathiri mtoto uwezo wake darasani.

About the author

mzalendo