Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

TAIFA GAS YAGAWA MITUNGI YA GESI 300 KWA WAFANYABIASHARA WA SAMAKI DAR, KUUNGA MKONO AJENDA YA RAIS SAMIA YA NISHATI SALAMA

Written by Alex Sonna
Mmoja wa maafisa wa kampuni ya Taifa gas akigawa mtungi wa gesi kwa mmoja ya wafanyabiashara wa Samaki katika soko la ferry
***
 
#Yawagawia mitungi ya gesi 300 kuunga mkono ajenda ya Rais Samia ya Nishati Salama
 
Wakati mkutano mkubwa wa kimataifa wa Nishati ukiendelea nchini kampuni ya Taifa Gas imeunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan za kupambana na mazingira kupitia nishati safi ya kupikia kwa kuwagawia mitungi 300 ya gesi wafanyabiashara katika soko la Samaki ferry jijini Dar es Salaam.
 
Akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Ferry wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi hiyo iliyohudhuriwa na wadau mbalimbali wakiwemo Baba Lishe na Mama Lishe katika soko hilo, Meneja Masoko na Uhusiano wa Taifa Gas, Bw Oscar Shelukindo amesema kwamba siku hii ni muhimu kwa sababu kuna mkutano mkubwa wa kimataifa wa nishati nchini unaendelea wenye kutoa mustakabali wa kijani kibichi na endelevu hapa nchini.
 
“Jitihada hizi ni kuhakikisha kwamba mapinduzi ya kijani yanafanikiwa kwa watanzania wengi zaidi kuanza kutumia nishati safi kwa ajili ya kupikia ili kuchochea ukuaji wa biashara zao na Uchumi kwa ujumla,” amesema Shelukindo.
 
amesema kwamba dhamira ya Taifa Gas ni kuunga mkono agenda ya nishati safi inayoongozwa na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan juhudi hizo zinaenda na uongozi wake wenye maono na kujitolea kwa mheshimiwa Rais katika mandhari nzima ya nishati safi nchini.
 
“Leo, tunakabidhi mitungi 300 ya gesi, mitungi 100 ya kilo 38 na 200 ya kilo 6 kwa wafanyabiashara wanaokaanga Samaki wakiwemo Mama lishe na Baba lishe hapa Ferry, ishara ya kuendeleza suluhisho la nishati safi kwa wote,” amesisitiza.
 
Ameongeza kwamba juhudi hizo inawakilisha matamanio yao ya pamoja ya kupunguza utegemezi wa kuni na mkaa yanayoharibu mazingira na kwa kutoa mitungi hiyo ya nishati safi, wanalenga kuboresha maisha ya jamii ya watanzania hususan wapishi wa ferry na kukuza afya na usalama, na kulinda mazingira kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
 
Bw Shelukindo amesema kwa pamoja, wanaweza kufikia malengo yao na kuhakikisha Tanzania inaendelea kua kinara katika maendeleo endelevu ya matumizi ya nishati safi duniani.
Meneja Masoko na Uhusiano wa Taifa gas, Bw Oscar Shelukindo akizungumza na waandishi wa habari hawapo (pichani ) katika hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya gesi wa wafanyabiashara wa samaki katika soko la Ferry , kati kati na Mkuu wa Wilaya ya Ilala , Edward Mpogolo
Mmoja wa maafisa wa kampuni ya Taifa gas akigawa mtungi wa gesi kwa mmoja ya wafanyabiashara wa Samaki katika soko la ferry, katika hafla ya kampuni ya Taifa gas ya kugawa mitungi 300 ya gas kwa wafanyabiashara wa Samaki katika soko la ferry
Sehemu ya shehena ya gesi iliyogawiwa
Sehemu ya wafanyabiashara wa soko la Samaki ferry, mkuu wa wilaya na maafisa wa kampuni ya Taifa gas wakikata keki katika shughuli hiyo ya kugawa mitungi ya gesi 300 kwa wafanyabiashara wa Samaki katika soko la ferry jijini Dar es Salaam
Washiriki pia waligawiwa T-shirt
Mkuu wa wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo akimlisha keki mmoja wa wakaanga Samaki katika soko la ferry mara baada ya hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya gesi kutoka kampuni ya Taifa gas
Washiriki katika hafla hiyo wakifurahia keki

About the author

Alex Sonna