Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

casinomaxi

casinomaxi giriş

betturkey giriş

betturkey

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

betgar, betgar giriş

monobahis, monobahis giriş

korsan taksi istanbul, istanbul korsan taksi

betsat

jojobet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

superbetin

matbet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

grandpashabet

jojobet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

sweet bonanza oyna

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

kulisbet, kulisbet giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

marsbahis giriş

sweet bonanza siteleri

Canada Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

sweet bonanza

jojobet giriş

betflix

betflix

deneme bonusu

grandpashabet

matbet

marsbahis

imajbet

teosbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

mavibet giriş

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking

meritking

marsbahis güncel giriş

meritking

jojobet

jojobet güncel

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

pusulabet

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

jojobet

jojobet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet giris

jojobet para çekme

jojobet güncel

jojobet giris

jojobet giris

jojobet

primebahis

otobet

otobet giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

Bet365 Giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

tarafbet

robinbet

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

caddebet, caddebet giriş

meritbet

holiganbet

jojobet erişim

jojobet adres

jojobet para yatırma

jojobet giris

marsbahis

jojobet adres

jojobet oyunlar

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet son giriş

jojobet canlı bahis

jojobet aninda

jojobet bonuslar

jojobet bahis

jojobet casino

jojobet adres

jojobet telegram

giriş jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

jojobet vip giriş

jojobet tik giriş

jojobet adres

jojobet gir

marsbahis giriş

güncel giriş burada jojobet

jojobet telegram

jojobet heyecan

jojobet telegram

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

nerobet

meritking

marsbahis, marsbahis giriş

monobahis, monobahis giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

Deneme Bonusu

ligobet

jojobet

https://sjconsultors.com/

lunabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

Pusulabet

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino

marsbahis

jojobet

Deneme Bonusu VDS Kiralama

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

mobilbahis

mobilbahis giriş

extrabet giriş

grandpashabet

dental implants turkey

mavibet

artemisbet

setrabet

jojobet

jojobet giriş

maritbet

holiganbet

grandpashabet

mavibet

lunabet

lunabet giriş

kingroyal

izmit escort

Featured Kitaifa

UBIA WA BARRICK NA TWIGA WACHOCHEA UTENGENEZAJI ENDELEVU WA THAMANI KATIKA UCHUMI WA TANZANIA

Written by Alex Sonna
Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari
Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari

 

Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog 

 

 Kampuni ya Dhahabu ya Barrick imeingiza zaidi ya dola bilioni 4.24 katika uchumi wa Tanzania tangu kuanzishwa kwa ubia wa Twiga kati yake na Serikali ya Tanzania mwaka 2019, na kuchangia dola milioni 888 katika mwaka 2024 pekee.

Katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo, Januari 23, 2025, Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow, amesema kuwa ubia wa Twiga unaohusisha migodi ya dhahabu ya North Mara na Bulyanhulu umeendelea kuwa kiongozi katika tasnia ya uchimbaji madini nchini Tanzania, ukichangia kwa maelfu ya ajira, kusaidia biashara za ndani na kufadhili miradi muhimu ya kijamii.

“Tulitumia dola milioni 573 kwa wasambazaji na watoa huduma wa ndani mwaka jana, sawa na asilimia 83 ya matumizi yetu yote. Aidha, 75% ya malipo yetu yote kwa watoa huduma na wasambazaji yalikwenda kwa makampuni ya wazawa, yakivuka lengo letu la 61%,” amesema Bristow.

Ameongeza kuwa kutokana na sera ya Barrick ya kuendeleza ajira na maendeleo ya ndani, 96% ya wafanyakazi wa Barrick nchini Tanzania, wapatao 6,185, ni Watanzania, huku 53% wakitoka katika jamii zinazozunguka migodi.

Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, kulia ni Meneja wa Barrick nchini, Melkiory Ngido

“Mnamo mwaka huo huo, Barrick iliwekeza zaidi ya dola milioni 5 katika miradi ya maji safi ya kunywa, huduma za afya, na elimu, na kufanya jumla ya uwekezaji katika miradi ya kijamii kufikia dola milioni 15.8 tangu Barrick ichukue jukumu la uendeshaji wa migodi ya Tanzania mwaka 2019,” amesema.

Migodi ya Bulyanhulu na North Mara ilifanya vizuri katika utekelezaji wa uzalishaji wa mwaka 2024, ikidumisha hadhi yao kama rasilimali za kimkakati zenye uwezo wa kuwa “Daraja la Kwanza.”

 Pamoja na hayo, amesema migodi hiyo miwili iliendelea kuzingatia usalama wa hali ya juu, ikitimiza mwaka mzima bila matukio yoyote ya majeraha makubwa yaliyoweza kupunguza muda wa kazi.

Kwa upande wa mgodi wa Buzwagi, mgodi huo ulifanya maendeleo makubwa katika utekelezaji wa ufungwaji wake, huku ukizingatia usimamizi wa mazingira, hasa kuhusu maji na utunzaji wa uoto wa mimea.

Amefafanua kuwa, Ukanda Maalum wa Kiuchumi ulioanzishwa katika eneo hilo umefikia hatua za juu za maendeleo, huku ukiwavutia wawekezaji. Kampuni moja tayari imesajiliwa katika Ukanda wa Uchakataji wa Bidhaa za Kuuzwa Nje ya Nchi.

Waandishi wa habari na Wageni mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo

Kuhusu Chuo cha Barrick Buzwagi kilichofunguliwa mwaka 2024 amesema kimefanya maendeleo makubwa katika kukuza vipaji vya Barrick.

 “Kikiwa kimejikita katika utoaji mafunzo kwa mafomeni, wasimamizi na warakibu, chuo hicho tayari kimetoa mafunzo kwa watu wapatao 1,700 na kinatarajiwa kuvuka lengo lake la kutoa mafunzo kwa zaidi ya watu 2,800 ifikapo mwishoni mwa mwaka 2025”,ameeleza.

Aidha ,Uchimbaji rejeshi katika migodi ya North Mara na Bulyanhulu umefanikisha kurejesha mali ghafi zinazochakatwa ili kupata dhahabu. 

Viongozi wa Barrick wakiwa kwenye mkutano huo

“Barrick inaendelea pia kuimarisha juhudi zake za utafutaji madini katika Wilaya ya Nzega, eneo linalotarajiwa kuwa na hifadhi kubwa ya madini.  Hii itachangia zaidi ya kilomita za mraba 2,000 za maeneo mapya yatakayosaidia katika ukuaji wa hifadhi ya madini kwa ajili ya migodi ya North Mara na Bulyanhulu”,amesema Bristow.

Upanuzi huu ni sehemu muhimu ya mkakati wa muda mrefu wa Barrick wa kutambua na kuendeleza maeneo yenye uwezo wa kuzalisha migodi mingine yenye hadhi ya “Daraja la Kwanza” katika ukanda huu.

“Twiga ilipata sifa nyingi katika mwaka uliopita, ikiwa ni pamoja na kutambuliwa kwa usalama wake, mwajiri bora, utendaji wa kimazingira, na ushirikishwaji wa jamii. Mnamo mwaka 2024, mgodi wa North Mara ulitambuliwa kama mchangiaji mkubwa zaidi wa uchumi katika tasnia ya uchimbaji madini nchini Tanzania”,ameeleza Bristow.

Migodi yote miwili ilipokea tuzo kadhaa kutokana na dhamira yake ya kuzingatia afya na usalama mahali pa kazi, uwajibikaji wa kampuni kwa jamii, na uzingatiaji wa utaratibu wa kutumia malighafi na rasilimali za ndani.

“Kazi ya Barrick nchini Tanzania ni kielelezo cha uchimbaji madini endelevu unaoweka uwiano baina ya uwajibikaji wa kiuchumi, kimazingira, na kijamii,” amesema Bristow. 

“Kutambuliwa kwetu tulikokufikia ni ushahidi tosha wa dhamira yetu katika kuhakikisha ubora na thamani tunayoiletea Tanzania”,ameongeza.

 Dkt. Steven Kiruswa 

Katika mkutano huo, Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa, amesema Serikali inaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji katika sekta ya madini na kufanya usimamizi madhubuti ili kuhakikisha rasilimali hiyo inanufaisha pande zote.

Aidha, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha, ameipongeza Barrick kwa uwekezaji wake mkoani humo, ambao unaendelea kuchangia pato la Serikali sambamba na kuboresha maisha ya wananchi kupitia miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa kupitia fedha za uwajibikaji kwa jamii, huku akifafanua kuwa mgodi wa Buzwagi umefungwa kwa ufanisi mkubwa.

Kwa upande mwingine, Mbunge wa Jimbo la Msalala, Mhe. Iddi Kassim, ameeleza kuwa wananchi wa Msalala wanaendelea kushirikiana na Barrick katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya elimu, afya, na miundombinu ya barabara.

Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ,Januari 23,2025 – Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari
 
Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari 

Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari 

Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akiteta jambo na Meneja wa Barrick nchini, Melkiory Ngido
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari 
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari 
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari 
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari

Meneja wa Barrick nchini, Melkiory Ngido akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari
Meneja wa Barrick nchini, Melkiory Ngido (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari
Meneja wa Barrick nchini, Melkiory Ngido (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati na Madini, Mhe. Shaban Kirumbe Ng’enda akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari
Mbunge wa Jimbo la Msalala Mhe. Iddi Kassim akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari
 
Viongozi wa Barrick wakiwa kwenye mkutano huo
Waandishi wa habari na Wageni mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo
 
Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

About the author

Alex Sonna