Featured • Kitaifa RAIS SAMIA AKUTANA NA MRATIBU WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI 10 months agoby mzalendo89 Views Written by mzalendo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bi. Susan Namondo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn