Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

maxwin, maxwin giriş

casibom

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

zirvebet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

lordcasino

pusulabet, pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

pasacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat

jojobet

tambet

ultrabet

jojobet

piabellacasino

setrabet

pulibet

jojobet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

megabahis giriş

megabahis

mavibet

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

meritbet

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casinoroyal giriş

perabet

meritking

betpark

vdcasino

Featured Kitaifa

WANAWAKE NYAMAGANA WAPATA MAJIKO YA NISHATI SAFI KUPITIA KAMPENI YA SIKU 16 DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA YA BARRICK NA WASHIRIKA WAKE

Written by Alex Sonna
 
Baadhi ya wanufaika katika picha ya pamoja na mgeni rasmi
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Amina Makilagi akiongea katika hafla hiyo
Makamu Mkuu wa wa chuo cha SAUT Prof. Costa Ricky Mahalu akiongea katika hafla hiyo
Wanufaika wakifuatilia matukio katika hafla hiyo
Wanufaika wakifuatilia matukio katika hafla hiyo
 
***
 
Ukiwa ni mwendelezo wa kushiriki kampeni ya siku 16 dhidi ya vitendo vya kupinga ukatili wa kijinsia inayoendelea mama lishe wa kata mbalimbali za wilayani Nyamagana mkoani Mwanza wamepatiwa majiko 100 ya nishati safi kutoka Barrick na Taifa gas kwa ajili ya kuwapunguzia adha ya matumizi ya nishati isiyo rafiki kwa mazingira ya mkaa na kuni.

 
Katika maadhimisho hayo yanayoendelea Barrick na washirika wake wanaendesha shughuli mbalimbali za kutoa elimu ya vitendo vya ukatili wa kijinsia sambamba na kutoa mafunzo ya matumizi na nishati safi za kupikia na kugawa majiko ya gesi.
 
Washirika wa Barrick katika maadhimisho ya mwaka huu ni Jeshi la Polisi kupitia madawati ya kijinsia, Halmashauri za wilaya,mashirika yasiyo ya kiserikali ya VSO, LCF, Jadra, Hope for the Girls and Women (HGWT) , kampuni ya wanasheria ya Bowman na kampuni ya uzalishaji na usambazaji nishati ya gesi nchini ya Taifa Gas.
 
Akiongea katika hafla ya kukabidhi majiko hayo iliyofanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) jijini Mwanza Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Amina Makilagi ambaye alikuwa mgeni rasmi ametumia fursa hiyo kuwakumbusha wanawake kufanya shughuli mbalimbali za mikono ili kujiingizia kipato kwa kuwa mtu akiwa na kipato anaondokana na utegemezi unaopelekea kunyanyasika kwenye jamii.
 
Amewashukuru wadau wanaoshirikiana na Barrick katika maadhimisho ya kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia mwaka huu kwa kutoa majiko ya nishati safi ili kutunza mazingira na kuwafanya mama lishe kufanya shughuli zao kwa urahisi na kufanikisha ajenda ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupiga vita mabadiliko ya tabia nchi na uchafufuzi wa mazingira.
 
Awali akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Makamu Mkuu wa wa chuo cha SAUT, Prof. Costa Ricky Mahalu, amesema changamoto ya unyanyasaji wa kijinsia ni kubwa katika jamii yetu ambapo tatizo hilo linaathiri ustawi wa wanawake katika nyanja mbalimbli za maisha yao.
 
“Unyanyasaji huu una athari si tu kwa waathirika pia kwa jamii kwani inakwamisha wanawake kutimiza malengo yao na inakuwa ni kikwazo cha maendeleo endelevu”, amesema Prof. Mahalu.
 
Mmoja wa wanufaika wa msaada huo Happiness Kalebe ambaye ni mama lishe wa soko la Mkolani akiongea kwa niaba ya wenzake amesema jiko hilo linakwenda kumuongezea tija katika upishi wake wa chakula na kuhudumia wateja wake.
 
“Kwa kutumia jiko hili litanifanya nisinunue kuni kwa ajili ya kupikia ambapo nitajiongezea kipato, kipindi cha mvua kama hiki kuna wakati tunanunua kuni zikiwa zimenyeshewa wakati wa kusafirishwa na kutusumbua wakati wa kupika, nawashukuru Barrick na Taifa Gas kwa kututhamini sisi wanawake”, amesema Kalebe.
 
Mbali na kutoa majiko ya gesi na kutoa mafunzo ya matumizi ya nishati safi ya kupikia kampeni ya washirika hawa inaendelea kwa kutoa elimu dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijisia na kutoa ushauri wa kisheria katika wilaya ya Tarime mkoani Mara.

About the author

Alex Sonna