marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

sapanca escort

vdcasino

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

milanobet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

matbet, matbet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

ultrabet

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

vaycasino

Milanobet

jojobet

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

alobet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

kralbet

imajbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

ngsbahis

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

casinomilyon

vdcasino

zirvebet

perabet

efesbet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

madridbet

casibom giriş

jojobet

bets10

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betsat

casibom

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

casibom

kralbet

en iyi slot siteleri

bets10 güncel giriş adresi

Featured Kitaifa

KONGAMANO LA KWANZA LA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA NISHATI KUFANYIKA TANZANIA

Written by Alex Sonna
Dar es Salaam, Tanzania – Mkutano wa kwanza wa Uwekezaji katika Sekta ya Nishati Tanzania unatarajiwa kufanyika tarehe 12-13 Novemba 2024 jijini Dar es Salaam, ukiungwa mkono na washirika muhimu kutoka sekta binafsi na serikali.
 Tukio hili la kihistoria linalenga kuwaleta pamoja wadau wa sekta ya nishati kutoka Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki, likiwa jukwaa la wadau kukuza mtandao, kubadilishana ujuzi, na kujadili mustakabali wa uwekezaji kwenye sekta ya nishati nchini.
Mkutano huu umeandaliwa kwa pamoja na HBZ International na Chama cha Wauzaji wa Mafuta Tanzania (TAOMAC), na unakwenda sambamba na nafasi mpya ya Tanzania kama kitovu cha nishati katika ukanda wa Afrika Mashariki, huku ikiweka kipaumbele kwenye nishati safi na maendeleo endelevu. 
Kongamano hili linaungwa mkono na TANTRADE pamoja na taasisi nyingine za serikali zinazohusika, na ni hatua kubwa kwa sekta ya nishati nchini, kwani lengo lake ni kuonyesha fursa zinazochipukia za uwekezaji katika sekta hiyo. 
Bw. Herman Zaidin, Mkurugenzi Mtendaji wa HBZ International, amesema, “Kongamano hili limekuja kwa wakati muafaka kwa Tanzania, inapojipanga kimkakati kuwa kitovu thabiti cha nishati katika kanda ya Afrika Mashariki, ambayo itaifanya Affrika Mashariki kuwa na nafasi kubwa katika soko la kimataifa la nishati. Tunakaribisha wadau wote kuungana nasi katika tukio hili la kihistoria.”
Bw. Salim Baabde, Mkurugenzi wa Camel Oil (sehemu ya Amsons Group) na Makamu Mwenyekiti wa zamani wa Bodi ya TAOMAC, amesifu ujio wa kongamano hilo, akisema unafanyika wakati muafaka kwani nchi imejikita kuleta maendeleo chanya katika sekta ya nishati.
“Mkutano huu unafanyika wakati muafaka ambapo Serikali ya Awamu ya Sita imeanza kampeni ya kukuza matumizi ya nishati safi kwa kupitisha Mkakati wa Kitaifa wa Kupika kwa Nishati Safi (2024-2034). Lengo kuu la mkakati huu ni kuhakikisha kuwa asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi za kupikia ifikapo mwaka 2034. Tanzania pia imeshuhudia uzinduzi wa Mradi wa Umeme wa Maji wa Julius Nyerere, wenye uwezo wa megawati 2,115. Hii ni fursa nzuri sana kwa uwekezaji katika sekta ya nishati ya Tanzania,” amesema Bw. Baabde.
Mkutano huo utajumuisha kongamano la kimataifa lililoandaliwa na Kamati Maalum ya Kongamano, inayojumuisha wataalamu wenye uzoefu mkubwa wa sekta ya nishati, akiwemo Bw. Salim Baabde.
 Lengo ni kutoa uelewa wa kina kwa washiriki kuhusu mazingira ya kisheria na sera yanayoongoza sekta ya nishati nchini Tanzania na kujadili masuala muhimu yatakayochambuliwa kwa undani na wataalamu wa sekta hiyo. 
Washiriki watapata maarifa kuhusu mada muhimu kama fursa za uwekezaji, miradi mipya, suluhisho za nishati safi, mifumo ya kisheria, na mengine mengi.
Bw. Raphael Mgaya, Mkurugenzi Mtendaji wa TAOMAC, amesisitiza umuhimu wa kongamano hilo kwa wadau wa sekta ya nishati: “Ni heshima yetu kuandaa kongamano hili kubwa. Tunaamini litakuwa jukwaa zuri kwa wadau wa nishati kukutana na kushirikiana na watunga sera, wafadhili, wasimamizi, wasambazaji, na wawekezaji. Washiriki wataweza kuelewa mazingira ya kisheria na sera yaliyopo Tanzania na vilevile kujifunza kuhusu fursa zilizopo katika sekta ya nishati. Wanachama wetu na wasambazaji wengine watapata nafasi ya kuonyesha bidhaa na huduma zao kwa washiriki, hivyo kuboresha bishara zao,” amesema.
Mkutano huu unatarajiwa kuvutia wadau mbalimbali kutoka sekta ya nishati ya ndani ya Tanzania na kanda ya Afrika Mashariki, wakiwemo watunga sera, wawekezaji, wasambazaji, na viongozi wa sekta hiyo. Kongamano hili litachangia kuimarisha ushirikiano na kuhamasisha uwekezaji katika sekta ya nishati ya Tanzania kwa kutoa jukwaa la wadau kuunganishwa na kubadilishana mawazo.
Mkutano wa Uwekezaji wa Nishati Tanzania unajitofautisha na mikutano mingine kwa kutoa ajenda iliyochambuliwa kwa kina na Kamati ya Kongamano, kuidhinishwa na wizara muhimu za serikali, na kuungwa mkono na ushirikiano wa kina wa vyombo vya habari. Tukio hili litatoa maarifa ya thamani kuhusu mazingira ya nishati yanayobadilika kwa kasi nchini Tanzania na juhudi za zinazolenga kuongeza matumizi ya nishati safi na mbadala.
Kuhusu Waandaaji
HBZ International, ni shirika la kimataifa la mawasiliano lenye zaidi ya miaka 10 ya uzoefu na miradi zaidi ya 300 iliyokamilishwa duniani kote. HBZ imeungana na TAOMAC, mdaui mkuu katika sekta ya nishati ya Tanzania, na wadau wengine wakubwa katika sekta hiyo ya nishati kuleta kuandaa kongamano hili muhimu.
Ili kujifunza zaidi kuhusu Kongamano la Uwekezaji wa Nishati Tanzania na kujisajili ili kushiriki, tafadhali tembelea https://teis2024.com.

About the author

Alex Sonna