slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

casinoroyal

pusulabet giriş

imajbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

marsbahis

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

noktabet, noktabet giriş

betgar, betgar giriş

matbet, matbet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

holiganbet

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

capitolbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

betwoon giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

perabet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

madridbet

bets10

bets10

trust score weak 3

marsbahis

bets10 giriş

slot siteleri

lunabet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

casibom

kulisbet, kulisbet giriş

marsbahis, marsbahis giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

sloto

royalbet

marsbahis

taraftarium24

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

galabet, galabet giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

betasus

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

grandpashabet

sekabet

matbet

marsbahis

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

grandpashabet

Hacklink panel

matbet

kingroyal

kingroyal

matbet

matbet

Casibom

Featured Kitaifa

RC MACHA AZINDUA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA SERIKALI ZA MITAA

Written by Alex Sonna
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 
 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amewataka Wakazi wa Shinyanga kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 huku akihamasisha wananchi wote wanawake kwa wanaume wenye sifa kuchukua fomu ili kuwania nafasi za uongozi ngazi ya mtaa, kijiji na kitongoji.
 
Mhe. Macha ametoa rai hiyo leo Jumanne Oktoba 8,2024 wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga litakaloanza tarehe 11.10. 2024 hadi 20.10.2024 likiongozwa na Kauli mbiu “Serikali za mitaa, sauti ya wananchi, jitokeze kushiriki uchaguzi”.
 
“Akina mama wamechangamka sana safari hii, tuhakikishe tunapata uongozi wa pamoja hivyo niwaombe wanaume kwa wanawake tujitokeze kugombea nafasi za uongozi kwa sababu uchaguzi utafanyika ukizingatia makundi yote ya watu katika jamii. Tunawatia moyo watu wote wajitokeze kugombea nafasi za uongozi wanaojua kusoma na kuandika wenye umri kuanzia miaka 21, mwenye akili timamu ,raia wa Tanzania,”,amesema Mhe. Macha.
 
Amesema uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 katika mkoa wa Shinyanga utafanyika katika Mitaa 90, vitongoji 2704 na vijiji 506.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha.
 
Aidha Macha amewasihi wananchi wachague viongozi bora na wanaojulikana watakaowaletea maendeleo badala ya kuchagua viongozi mafisadi wa kuhujumu miradi ya maendeleo.
 
“Tuwachague viongozi bora, tusichague viongozi watakaoleta serikali za matata. Tupate viongozi bora, wasiwe sehemu ya mafisadi wa miradi yetu. Niwapongeze viongozi wa serikali za mnaomaliza muda wenu lakini mnaruhusiwa kugombea tena wananchi ndiyo wataamua”,amesema Macha.
 
Hata hivyo amesema uchaguzi utakuwa wa huru na haki na serikali imejipanga vizuri kuhakikisha amani na utulivu unaendelea kuwepo kabla, wakati na baada ya uchaguzi.
 
“Tunataka kuwe na amani, wananchi msishawike kutafuta uongozi kwa njia za ugomvi. Hatuendi kugombania uongozi, tunakwenda kugombea, ukisikia mtu anasema anaenda kugombania uongozi ujue anataka kufanya fujo. Tunataka uchaguzi uwe wa haki na amani”,ameongeza Mhe. Macha.
 
Kwa upande wake, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga , Mhe. Elias Ramadhan Masumbuko amewataka wananchi kutumia vizuri muda wa kujiandikisha kila mmoja ajiandikishe kwani suala hilo linafanyika kwa misingi ya haki na amani.
 
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Charles Dominic Kafutila amesema halmashauri hiyo ina kata 17, vijiji 17, vitongoji 84 na mitaa 55 na zoezi la uandikishaji wapiga litafanyika katika vituo 199 ambapo lengo la Halmashauri ni kuandikisha wapiga kura 120,345.
 
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza leo Jumanne Oktoba 8,2024 wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Charles Dominic Kafutila akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Charles Dominic Kafutila akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga , Mhe. Elias Ramadhan Masumbuko akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Katibu Tawala Wilaya ya Shinyanga, Said Kitinga akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Burudani ikiendelea wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Burudani kutoka Jeshi la Jadi Sungusungu Bugimbagu ikiendelea wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha na viongozi mbalimbali wakiwa na Jeshi la Jadi Sungusungu Bugimbagu  wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha na viongozi mbalimbali wakicheza na Jeshi la Jadi Sungusungu Bugimbagu  wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro wakicheza na Wanakwaya wa AIC Kambarage wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro  na Katibu Tawala Wilaya ya Shinyanga, Said Kitinga wakicheza na Wanakwaya wa AIC Kambarage wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
 

About the author

Alex Sonna