Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

starzbet

starzbet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

jojobet

holiganbet

jojobet

sahabet güncel giriş

grandpashabet güncel

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

venusbet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

mariobet, mariobet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10 giriş

grandpashabet

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

imajbet

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

maxwin

sahabet

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

nerobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

casino siteleri

jojobet

tubidy

Featured Kitaifa

DKT.MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA KANDA YA AFRIKA

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa 53 wa Mwaka wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Gran Melia Jijini Arusha.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson wakati akiwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Gran Melia Jijini Arusha kufungua Mkutano wa 53 wa Mwaka wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika. Tarehe 03 Oktoba 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Rais wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika ambaye ni Spika wa Bunge la Sierra Leone Mhe. Segepoh Thomas wakati akiwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Gran Melia Jijini Arusha kufungua Mkutano wa 53 wa Mwaka wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika. Tarehe 03 Oktoba 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson pamoja na viongozi mbalimbali wakielekea katika Ukumbi wa Mikutano wa Gran Melia Jijini Arusha wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa 53 wa Mwaka wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na viongozi mbalimbali katika Ukumbi wa Mikutano wa Gran Melia Jijini Arusha wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa 53 wa Mwaka wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa 53 wa Mwaka wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Gran Melia Jijini Arusha.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Maspika mbalimbali wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika mara baada ya Ufunguzi wa Mkutano wa 53 wa Mwaka wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Gran Melia Jijini Arusha.

……..

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema katika kushughulikia changamoto za Kimataifa za Uhaba wa Chakula, Mabadiliko ya tabianchi pamoja na ukosefu wa ajira kwa vijana inahitajika juhudi za pamoja za wadau wote na uwepo wa amani endelevu Barani Afrika.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati akifungua Mkutano wa 53 wa Mwaka wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Gran Melia Jijini Arusha. Amesema Mabunge Barani Afrika yana nafasi ya kipekee katika kufikia malengo hayo kwa kutunga sheria madhubuti na kufanya uangalizi. 

Makamu wa Rais ametoa wito kwa mkutano huo kutumika katika kubadilishana mbinu bora na uzoefu wa mataifa kukabiliana na changamoto mbalimbali kwa ufanisi zaidi sambamba na azimio la kumaliza migogoro na vita Barani Afrika.

Kuhusu ajira kwa vijana, Makamu wa Rais amesema Mabunge yana wajibu wa kueleza changamoto za vijana, kuweka mbele hatua za kuchukuliwa na kushauri serikali katika kubuni programu za ajira kwa vijana na kuhakikisha kwamba zinafadhiliwa ipasavyo kupitia bajeti ya taifa na ushirikiano wa wadau mbalimbali. Ameongeza kwamba Mabunge yanapotunga sheria na kufanya usimamizi yanahitaji kufanya kazi na serikali ili kukuza sera na programu zinazounga mkono ajira na ufadhili wa kibunifu kwa programu za ujasiriamali kwa vijana.

Kuhusu Mabadiliko ya tabianchi, Makamu wa Rais amesema Wabunge wana wajibu wa kuhakikisha hatua Madhubuti zinachukuliwa na serikali pamoja na wadau wengine ili kukabiliana na janga hilo kupitia utekelezaji wa hatua Madhubuti ikiwemo za matumizi ya teknolojia za kijani. Pia amesema licha ya kutenga bajeti ya uhifadhi mazingira kitaifa ni muhimu mabunge kuharakisha uidhinishaji na utekelezaji wa mikataba ya kimataifa ikiwemo Mkataba wa Paris pamoja na Marekebisho ya Doha kwa Itifaki ya Kyoto.

Aidha Makamu wa Rais amesema Mabunge pia yanapaswa kusimamia utekelezaji wa mipango iliyoamuliwa kitaifa ili kupunguza uzalishaji wa gesi joto pamoja na kuimarisha uwazi na uwajibikaji wa hatua na utoaji wa taarifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi. Halikadhalika kuwa mstari wa mbele katika ajenda ya mabadiliko ya tabianchi kwa kuandaa mijadala yenye ubora ili kukuza uelewa na hatua za kuchukua haraka kuzuia uharibifu wa mazingira kitaifa na kimataifa.

Vilevile akizungumzia uhaba wa chakula, Makamu wa Rais amesema licha ya uwezo mkubwa wa kilimo barani Afrika, bado wananchi wanakabiliwa na ukosefu wa chakula. Ametoa rai kwa Mabunge barani Afrika kuweka mkazo katika kuimarishwa kwa uwekezaji wa umma katika sekta ya kilimo na sekta shiriki kwa kutenga bajeti kwa ajili ya kuongeza usambazaji na upatikanaji wa pembejeo za kilimo na huduma za miundombinu. 

Pia Makamu wa Rais amesema Mabunge yana jukumu la kutunga sheria zitakazosaidia usalama wa chakula na kuwezesha uwekezaji katika sekta ya kilimo na sekta shirikishi. Amesisitiza umuhimu wa miundombinu ya umwagiliaji, upatikanaji wa mikopo ya kilimo, mbegu bora, huduma za ugani, maghala ya uhifadhi mazao, huduma za miundombinu vijijini pamoja na upatikanaji wa masoko. 

About the author

Alex Sonna