Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

Brain Savior Review

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

madridbet giriş

NervEase

hacker google hacked

hardcore porn

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

betgit

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Kingroyal

marsbahis

mislibet

imajbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

betoffice

coinbar

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

matbet, matbet giriş

perabet, perabet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

marsbahis

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

piabellacasino

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet

betebet

truvabet, truvabet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

madridbet

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

supertotobet

tümbet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

istanbulbahis

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

tarafbet giriş

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

goldenbahis

artemisbet

imajbet

artemisbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

madribet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

piabellacasino giriş

jojobet

celtabet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

tipobet

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet

casibom giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

betcio, betcio giriş

pokerklas, pokerklas giriş

betsat

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

piabellacasino

tarafbet

tipobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

madridbet

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

interbahis

winxbet, winxbet giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

holiganbet

sekabet

marsbahis

matbet

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

grandpashabet

Hacklink panel

mislibet giriş

holiganbet giriş

grandpashabet

holiganbet

jojobet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

roketbet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

truvabet

matadorbet

pusulabet

bets10

betgaranti

safirbet

Featured Kitaifa

DKT. BITEKO AAGIZA KIGOMA KUINGIZWA KWENYE GRIDI KABLA YA 2025

Written by mzalendo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha linatekeleza kwa kasi miradi ya umeme itakayounganisha Mkoa wa Kigoma katika gridi ya Taifa ifikapo mwishoni mwaka huu Mkoa huo usitumie umeme unaozalishwa kwa kutumia mafuta mazito.

Ametoa agizo hilo tarehe 19 Septemba 2024 mkoani Kigoma wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi mradi wa uzalishaji umeme katika mto Malagarasi (49.5 MW), uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa njia ya kusafirisha umeme msongo wa kV132 kutoka Igamba hadi Kidahwe  na Kituo cha kusambaza umeme msongo wa kV 400/220/132/33 cha Kidahwe.

Amesema kuwa, Serikali imekuwa ikitumia shilingi bilioni 35 kwa mwaka kwa ajili ya kununua mafuta kwa kuendeseha majenereta ya kuzalisha umeme huku makusanyo yakiwa ni shilingi bilioni 16 hivyo imekuwa ni hasara kwa Shirika.

Amesema zoezi hilo la uzimaji wa majenereta pia litafanyika kwa mikoa ambayo haijafikiwa na umeme wa gridi.

Ameeleza kuwa, Kigoma inaingia kwenye historia ya kuwa na umeme wa gridi wa uhakika kwa kuwa itapata umeme kutoka maeneo mbalimbali ikiwemo kutoka Nyakanazi kwa msongo wa kV 400 na kV 220, njia nyingine ni kutoka chanzo cha Malagarasi hadi Kidahwe, kutokea Katavi kwa msongo wa kV 400 na laini ya SGR kutoka Dar es Salaam ya kV 220.
Dkt. Biteko amemshukuru Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Kigoma ambapo katika Sekta ya Nishati ametoa zaidi ya shilingi trilioni 1.2 katika mwaka wa fedha 2024/2025 ili kutekeleza miradi ya umeme.

Ameeleza kuwa, kwa umeme wa gridi kufika Kigoma Mkoa huo sasa unaondoka kwenye historia ya kuitwa mkoa wa pembezoni na kutambulika kama Mkoa wa maendeleo.
Kuhusu kazi ya usambazaji umeme vijijini amesema Vijiji vyote vitapata umeme kabla ya mwisho wa mwaka huu.

Katika hatua nyingine Dkt.Biteko ametoa mifuko 500 ya simenti ili kuunga mkono juhudi za wananchi ambao wameanza kujenga kituo cha afya katika Kata ya Kidahwe huku akiahidi kuwa Serikali itajenga kituo kingine cha afya.

Aidha katika Kijiji cha Igamba ambapo kunatekelezwa mradi wa Malagarasi amesema itajengwa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo Barabara ya lami ya kilometa 20 .

Dkt. Biteko pia ameipongeza TANESCO kwa kubadilika katika utrendaji kazi kwa kujikita katika kupelekea watu umeme ambapo amewataka wasirudi nyuma na kwamba anaona fahari kuongoza Shrika hilo kwa sasa.

Aidha, kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa amewaasa wananchi kuchagua viongozi kutokana na uwezo wao wa kuwahudumia na siyo kigezo cha fedha.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mhe. Zainabu Katimba amesema Mkoa wa Kigoma umepokea shilingi  trilioni 11.5 kwa ajili ya miradi ya maendeleo katika kipindi cha uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwemo sekta ya Nishati  ambayo imepata zaidi ya shilingi Trilioni moja.

Amesema uwekezaji wa miradi hiyo ya umeme una tija kwani umeme unahitajika katika maeneo mbalimbali mkoani humo ikiwemo Shule 983, Vituo vya Afya 324 na Hospitali za Halmashauri hasa wodi za watoto wachanga na Watoto njiti ambapo kuna vifaa vya kisasa vyenye mahitaji ya umeme.

Ameeleza kuwa, uwekezaji huo unaonyesha kuwa umeme mkoani Kigoma unafika kwa kishindo na kumpongeza  Dkt. Biteko na uongozi Wizara ya Nishati  kwa kufanya kazi kubwa  na za kimkakati na kitalam  zinazoendelea kuboresha Sekta ya Nishati.

Ameendelea kuwaasa wananchi kufuatilia ratba zote za ucjaguzo wa serikali za mitaa tarehe 11 hadi 20mwezi huu kutakapokuwa na zoezi la kujiandikisha katika daftari la mkazi na kuchagua viongozi bora wanaoendana na kasi ya Rais Samia.

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, CGF (Mst.) Thobias Andengenye amemshukuru Rais, Dkt. Samia kwa miradi ya maendeleo mkoani Kigoma ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake ya kuufungua Mkoa wa Kigoma na hivyo kuwa kitovu cha uchumi ambapo katika kipindi cha miaka mitatu na nusu cha uongozi wake ametoa shilingi  trilioni 11 na bilioni 500 kutekeleza miradi mbalimbali ikiwemo ya umeme.

Ameahidi kuwa, Mkoa utasimamia vizuri fedha zinazotolewa ili kutimiza malengo yaliyokusudiwa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, amesema leo ni siku ya kipekee kwani kuzinduliwa kwa miradi hiyo kunaifanya Kigoma kuwa na uhakika wa umeme kwa kuwa kwa  miaka mingi ulikuwa ni mmoja wa mikoa ya pembezoni huku sifa mojawapo ya mikoa hiyo ikiwa ni kutokuwa na umeme wa uhakika lakini kwa sasa ni sehemu kadhaa tu za mkoa huo hazipo kwenye  gridi huku miradi ikiendelea.

Amesema Mkoa wa Kigoma sasa utaungwa kwenye  gridi kwa kutumia njia saba tofauti za umeme ikiwemo laini ya kV 400 kutoka Nyakanazi, laini ya kV 400 kutoka Katavi, laini ya SGR ya kV220, laini ya kV 132 kutoka Malagarasi na mitambo ya umeme jua iliyopo mkoani Kigoma ambayo itapelekea Kigoma kuwa kitovu cha umeme nchini.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga amesema lengo kuu la Mradi wa Umeme wa Malagarasi ni kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme wa uhakika Magharibi mwa Tanzania ikiwemo Kigoma ili kuchochea kasi ya ukuaji wa uchumi katika mikoa ya Magharibi mwa nchi ikiwemo Kigoma. Mradi huu utawezesha ongezeko la umeme katika Gridi ya taifa hivyo kuwezesha biashara ya umeme wa kikanda (Southern and Eastern Africa power pools),.pia zaidi ya wafanyakazi 700 wataajiriwa.

Amesema mradi wa Malagarasi utaimarisha hali ya usambazaji wa umeme katika mkoa wa Kigoma na Wilaya zake hivyo kupunguza gharama za uzalishaji wa umeme ambapo kwa sasa baadhi ya Wilaya za Mkoa wa Kigoma zinapata huduma ya umeme unaozalishwa kwa gharama kubwa kwa kutumia jenereta za mafuta ya Dizeli kutoka mitambo ya TANESCO iliyopo Kigoma mjini hali inayopelekea kuliongezea Shirika gharama za uendeshaji.

Ametaja gharama za jumla katika mradi wa Malagarasi ni Dola za Marekani milioni 144.14 (Sh.Bilioni 398) ambapo Serikali ya Tanzania inagharamia Dola za Marekani milioni 4.14 na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inagharamia Dola za Marekani milioni 140 huku  mkandarasi wa Bwawa na kituo cha kuzalisha umeme  akiwa ni Dongfang Electric International Corporation kutoka China na ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya kV  132 Igamba-Kidahwe (km 54) mkandarasi ni  Shyama Power India Limited kutoka nchini India. Mradi pia utasambaza umeme kwenye vijiji 7 na kaya 750 zitaunganishiwa umeme.

Ameeleza kuwa, ujenzi wa kituo cha kupoza umeme cha Kidahwe  una sehemu mbili ambazo ni msongo wa kV 400 na msongo wa kV 220/132/33 ambayo itawezesha Mkoa wa Kigoma kuungwa kwenye gridi ya Taifa kutokea kituo cha Nyakanazi  ambapo utekelezaji wake umefikia asilimia 87 huku mkandarasi akiwa ni kampuni ya Sean & Hyusong Consortium kutoka Korea.

Amemshukuru Rais, Dkt. Samia kwa kuipa kipaumbele sekta ya nishati huku mfano hai ni mradi wa umeme wa Julius Nyerere ( JNHPP) ambao unaingiza umeme kwenye gridi.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe.Kirumbe Ng’enda amemshukuru Rais Samia kwa fedha za utekelezaji wa miradi na kueleza kuwa, Taifa linakua kwa kasi kupitia utekelezaji wa miradi mikubwa ikiwemo ya umeme kama JNHPP, Malagarasi, uendelezaji Gesi Asilia na usambazaji umeme.

Mohamed Sauko,  Mwakilishi kutoka AfDB amemshukuru Rais kwa kushirikiana na Benki hiyo katka miradi mbalimbali ikiwe mo ya Reli, umeme na Barabara.

Ameishauri Serikali baada ya kuwa na umeme wa uhakika ijenge laini itakayoenda Burundi kwa ajili ya biashara ya umeme.

About the author

mzalendo