Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

avrupabet

vipslot

betcool

betlivo

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

kareasbet

hazbet

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

betra

gobahis

casival

casival

betcool

avrupabet

celtabet

jojobet

Hacklink panel

norabahis

kingroyal

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

hepbet

millibahis giriş

gobahis

vipslot

betface

elitbahis giriş

betcool

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

betlike

holiganbet

jojobet

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

vipslot

betnis

betmarino giriş

aresbet

aresbet

avrupabet giriş

betface

luxbet

betmarino

casival giriş

betlivo giriş

realbahis

gallerbahis

gallerbahis

aresbet giriş

parmabet

betnis

elitbahis

vaycasino giriş

betra giriş

celtabet giriş

parmabet giriş

vipslot giriş

hazbet giriş

elitbahis

luxbet giriş

hepbet

lordcasino

parmabet

lordcasino

kareasbet

betcool giriş

realbahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

slot siteleri

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

parmabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

casino siteleri

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat

jojobet giriş

marsbahis

sweet bonanza

realko

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

betlivo

millibahis

millibahis

celtabet

millibahis

parmabet giriş

mavibet giriş

coinbar

coinbar

mislibet giriş

mavibet

parmabet giriş

parmabet

bahiscasino

mavibet

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

betcio

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

Featured Kitaifa

WAZIRI GWAJIMA AZINDUA MRADI WA USAID WANAWAKE SASA

Written by mzalendo

Na WMJJWM-DAR ES SALAAM

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema Mradi wa Wanawake unaotekelezwa Shirika la WiLDAF kwa kushirikiana na Mashirika ya Her Initiative na Jamii Forums, kwa ufadhili wa Watu wa Marekani (USAID) wenye thamani ya Tsh. Bilioni 8.1 utaleta chachu na kuongeza ushiriki wa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika masuala ya uraia, siasa na uchaguzi.

Waziri Dkt Gwajima ameyasema hayo jijini Dar Es Salaam Septemba 19, 2024 wakati akizundua Mradi wa Wanawake Sasa wenye Kaulimbiu isemayo; Wanawake na Wasichana Wana Haki ya Kushiriki katika uongozi na Michakato ya Demokrasia.

Amesema malengo ya mradi huo yanaunga mkono juhudi za Serikali ya kuleta usawa wa kijinsia kwenye nyanja zote kama ilivyobainishwa na Dira ya Maendeleo ya Taifa. Pia malengo haya yanaenda sambamba na Falsafa ya 4Rs (Reconciliation (Maridhiano), Reforms (Mabadiliko), Resilience (Ustahimilivu) na Rebuilding (Kujenga Upya) ambayo yanaongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Ameeleza mradi huo utasaidia kuunga mkono juhudi za Serikali katika kujenga uwezo na ari ya wanawake kushiriki kwenye masuala ya uraia na siasa na kugombea nafasi za uongozi, kuwashirikisha wanaume kama vinara wa kushawashi usawa wa kijinsia, kuongeza uelewa na uwezo wa masuala ya usawa wa kijinsia kwa watendaji kutoka vyama vya siasa, taasisi za Serikali na vyombo vya usimamizi wa uchaguzi na masuala ya siasa nchini.

Ameongeza pia mradi huo utasaidia kuboresha uwezo wa Asasi za Kiraia za Vijana, Wanawake na Watu Wenye Ulemavu kuchagiza ushiriki wa wanawake kwenye masuala ya uraia, siasa na kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.

“Sote tunatambua utashi na juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita katika kukuza usawa wa kijinsia kupitia sera, sheria na mipango mbalimbali. Pia Sera ya Taifa ya Jinsia na Maendeleo ya wanawake ya mwaka 2023 katika sura ya 3.2.4 imeweka tamko la kukuza uelewa kwa jamii kuhusu haki ya wanawake kushiriki katika ngazi zote za uongozi na maamuzi na kukuza usawa na ushiriki jumuishi wa wanawake ,wanaume ,wasichana na wavulana.” amesisitiza Waziri Dkt. Gwajima.

Vilevile amesema Wanawake wanaweza mfano mzuri ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa awamu ya sita kwa uhodari wake wa kusimamia na kutekeleza miradi ya kimkakati kuhamasisha masuala mbalimbali katika jamii ikiwemo michezo ambapo, soka (mpira wa miguu), tumeshinda kuandaa mashindano ya Afrika (AFCON) kwa mwaka 2027.

“Kule Bungeni tunaye, Dkt. Tulia Ackson anayepeperusha bendera akiwa Raisi wa Mabunge Duniani tunaona utendaji wao, vijana wa siku hizi wanasema wanaupiga mwingi. Sioni hoja ya kwanini vyama havitapendekeza wagombea wanawake kwenye chaguzi zijazo.” ameeleza Waziri Dkt. Gwajima

Kwa upande wake Mratibu wa Mradi wa Wanawake Sasa Anna Kulaya amesema watahakikisha mradi huo unaleta matokeo chanya kwa kutoa elimu kwa jamii hasa watoto wa kike na Wanawake katika kujua kuwa ni haki yao kushiriki katika kugombea katika nafasi za uongozi siasa na nafasi za maamuzi.

“Leo hii tunayofuraha kusema mradi huu utaleta chachu katika mabadiliko ya fikra na tunaomba tuendelee kupata ushirikiano kutoka katika Taasisi za Kiserikali, Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, Vyama vya Siasa na wadau wengine” amesisitiza Anna.

Ameongeza kuwa katika harakati za Wasichana na Wanawake Tanzania imekua Nchi ya kwanza Afrika kutambua unyanyasaji wa kijinsia kuwa kosa katika masuala ya Uchaguzi hivyo itasaidia kuleta chachu na kuwainua Wanawake na Wasichana katika kushiriki kugombea nafasi za uongozi na maamuzi.

Naye Mkurugenzi wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) Tanzania Craig Hart amesema Mradi huo ukitekelezwa kama ilivyopangwa utaleta mabadiliko hasa kwa jamii katika kubadili mitazamo na kuwapa nafasi Wasichana na Wanawake kushiriki katika siasa na kugombea nafasi za uongozi na maamuzi katika maeneo yao.

Pia Mrajisi wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kutoka Zanzibar Ahmed Khalid Abdula amesema wameipokea Mradi huo kwa upande wa Zanzibar na watahakikisha mradi huo utafanikiwa kwamkitoa ushauri na maelekezo ili mradi lengo lake litimie na Wanawake na Wasichana katika kushiriki katika siasa na kugombea nafasi za uongozi na maamuzi hasa kwa kupata nafasi katika Vyama vya Siasa.

About the author

mzalendo