Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

starzbet

starzbet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

jojobet

holiganbet

jojobet

betsat güncel giriş

betpark

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

mariobet, mariobet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

pusulabet

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

imajbet

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

maxwin

sahabet

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

nerobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

casino siteleri

jojobet

tubidy

Featured Kitaifa

MIRADI IENDANE NA THAMANI YA FEDHA INAYOTUMIKA – MAJALIWA

Written by mzalendo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  wakati alipofungua Maadhimisho ya Miaka 50 ya Idara ya Ujenzi ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST) kwenye ukumbi wa hoteli ya Goden Tulip Airport, Zanzibar 27 Agusti 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye hoteli ya Golden Tulip Airport, Zanzibar kufungua Maadhimisho ya Miaka 50 ya Idara ya Ujenzi ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST) Agusti 27, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Shadrack Masele Dogani (kulia) ambaye ni Mwanachuo wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume  (KIST) kuhusu  shughuli mbalimbali za Taasisi hiyo alipotembelea banda la Maoneosho la Taasisi hiyo kabla ya kufungua Maadhimisho ya Miaka 50 ya Idara ya Ujenzi ya Taasisi hiyo kwenye ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Airport, Zanzibara, Agosti 27, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  …..

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa  wahandisi wazawa kuhakikisha miradi wanayoisimamia inakidhi viwango vya kitaifa na kimataifa na iendane na thamani ya fedha inayotumika.

Amesema ni wajibu wa Wahandisi kuisaidia Serikali kuokoa fedha kwa kukadiria fedha inayohitajika kulingana na thamani ya mradi husika.

“Nitumie fursa hii kuwasihi wahandisi muendelee kufuata miiko na maadili ya taaluma hii ili kulinda heshima ya taaluma hii lakini pia kulinda pato la nchi ambalo linatengwa kwa ajili ya kutekeleza miradi.”

Ameyasema hayo leo Jumanne 27, Agosti 2024 alipomuwakilisha Rais Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za Kuadhimisha Miaka 50 ya Idara ya Ujenzi ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST). 

“Uhandisi ni taaluma yenye miiko na inayopaswa kuzingatia maadili. Miongoni mwa miiko na maadili hayo ni kuhakikisha kuwa miradi mnayoisimamia inakidhi viwango vya kitaifa, kikanda na kimataifa na inaendana na thamani ya fedha inayotumika.”

Aidha, amewataka waajiri wote nchini kuweka utaratibu wa kuajiri wahandisi wahitimu wa ndani na kuwajengea uwezo wakati wakiwa kazini pamoja na  kushirikiana na taasisi za mafunzo kutenga nafasi na kuwapokea vijana waliopo mafunzoni ili kuwapatia uzoefu wa kazi. 

“Utaratibu huu ni kwa manufaa ya Taifa na kwa waajiri pia kwa kuwa vijana watahitimu wakiwa wameiva kitaaluma na kiutendaji.”

Aidha,  Mheshimiwa Majaliwa ameitaka Taasisi ya Sayansi ya Teknolojia ya Karume na taasisi nyingine za mafunzo nchini zihakikishe zinazalisha wahitimu wengi wenye maarifa na ujuzi unaohitajika katika soko la ajira. 

“Kwa kufanya hivi ,tutaongeza kiwango cha kazi za kibobezi zinazofanywa na wazawa hivyo kupunguza matumizi ya wataalamu wa kigeni na ikibidi wageni watumike zaidi katika kujenga uzoefu na kuimarisha uwezo wa Watanzania.”

Kwa Upande wake, Waziri wa  Elimu na Mafunzo ya Amali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Lela Mohamed Mussa (MB), amesema Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Hussein Mwinyi ameanzisha programu ya kutoa fedha kwa ajili ya kuwezesha upatikanaji wa  mikopo kwa wanafunzi wa fani za Uhandisi na kutoa ufadhili na mafunzo ya amali pamoja na kutoa kipaumbele kwa wanafunzi wa fani hiyo. 

“Kwa kuzingatia umuhimu wa fani ya uhandisi, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia mpango wake wa Mageuzi ya Elimu imeanza kusomesha masomo ya Mafunzo ya Amali kuanzia ngazi ya Sekondari ambayo yatashajihisha na kutoa muelekeo wa kitaaluma (carrier path) kwa wahitimu kujiunga na Vyuo vya Ufundi vya Elimu ya Kati ikiwemo KIST. Hili litatoa fursa zaidi kwa vijana wengi kujiunga katika fani za uhandisi.”

Naye, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Adolf Mkenda amesema Wizara zote zimekuwa na Ushirikiano wa kuwezesha wanafunzi wa fani za Uhandisi ili kuongeza tija katika mafunzo wanayopata.

Awali, Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Karume(KIST) Dkt. Mahmoud Abulwahab Alawi,amesema chuo hicho kimeanzisha fani mbalimbali zinazoendana na Sera za Serikali ikiwemo Sera ya Uchumi wa buluu na maboresho ya sekta ya afya. 

“Serikali zetu zote mbili zimekuwa zikiimarisha sekta ya afya kwa kujenga na kufanya matengenezo hospitali na vituo vya afya katika mikoa na wilaya mbali mbali nchini pamoja na kuvipatia vifaa tiba vya kisasa.”

Amesema Katika kuunga mkono jitihada hizo, Taasisi imeanzisha fani ya Uhandisi Umeme na Vifaa Tiba (Electrical and Biomedical Engineering) kwa ngazi ya Stashahada kwa mwaka wa masomo 2024/2025. Jambo ambalo litasaidia kupata wataalamu wabobezi wa kuvifanyia matengenezo vifaa hivyo pale inapohitajika. 

Aliongeza kuwa katika kutekeleza Sera ya Uchumi wa Buluu, Taasisi imeanzisha fani ya Usindikaji wa Mazao ya Baharini (Aquatic Product Processing Technology) kwa kiwango cha Stashahada, ambapo mkupuo wa kwanza unatarajiwa kuhitimu mafunzo yao Novemba 2025 na wahitimu kuweza kupata fursa za kujiajiri na kuajiriwa.

About the author

mzalendo