marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

kocaeli escort

izmit escort

escort bayan

matbet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

bahiscasino

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

interbahis

betmarino

betpipo giriş

imajbet

betmarino

casinowon

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betparibu, betparibu giriş

zirvebet, zirvebet giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

meritking güncel giriş

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betine

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

aaa

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

casibom giriş

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Milanobet

jojobet

grandpashabet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

pokerklas

lordcasino

lordcasino giriş

imajbet

betmarino giriş

perabet

betmarino

belugabahis

belugabahis giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

pokerklas

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

lordcasino

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

imajbet

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

casibom

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

Holiganbet

betpark

jasminbet

jasminbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

betper

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

sekabet giriş

casino siteleri

Featured Kitaifa

DKT MWASE – AHIMIZA UPANDAJI WA MITI NA KUISIMAMIA KATIKA UKUAJI WAKE MPAKA IWE MIKUBWA

Written by mzalendo
Mkurugenzi wa wa Shirika la Taifa la Madini Tanzania (STAMICO) Dkt Venance Mwase akipanda miti katika eneo la Amboni Jijini Tanga lililoratibiwa na Wanawake na Samia Mkoa wa Tanga lililokwenda sambamba na kutambulisha Nishati Safi mbadala ya  Rafiki Briquettes.
 

Mkurugenzi wa wa Shirika la Taifa la Madini Tanzania (STAMICO) Dkt Venance Mwase akipanda miti katika eneo la Amboni Jijini Tanga lililoratibiwa na Wanawake na Samia Mkoa wa Tanga lililokwenda sambamba na kutambulisha Nishati Safi mbadala ya  Rafiki Briquettes.
 

Mkurugenzi wa wa Shirika la Taifa la Madini Tanzania (STAMICO) Dkt Venance Mwase akipanda miti katika eneo la Amboni Jijini Tanga lililoratibiwa na Wanawake na Samia Mkoa wa Tanga lililokwenda sambamba na kutambulisha Nishati Safi mbadala ya  Rafiki Briquettes.
 

Mkurugenzi wa wa Shirika la Taifa la Madini Tanzania (STAMICO) Dkt Venance Mwase kulia akikabidhiwa miti kabla ya kuupanda katika eneo la Amboni Jijini Tanga lililoratibiwa na Wanawake na Samia Mkoa wa Tanga lililokwenda sambamba na kutambulisha Nishati Safi mbadala ya  Rafiki Briquettes.

Na Oscar Assenga, TANGA

 

SHIRIKA la Madini la Taifa (Stamico) limesema
kwamba agenda yao katika kutunza mazingira sio kupanda miti na kuiacha bali ni
kuhakikisha wanaisimamia katika ukuaji wake mpaka inapokuwa mikubwa.

 

Kauli hiyo ilitolewa leo na Mkurugenzi wa wa
Shirika la Taifa la Madini Tanzania (STAMICO) Dkt Venance Mwase wakati
akishiriki zoezi la upandaji wa miti katika eneo la Amboni Jijini Tanga lililoratibiwa
na Wanawake na Samia Mkoa wa Tanga lililokwenda sambamba na kutambulisha
Nishati Safi mbadala ya  Rafiki
Briquettes.

 

Alisema katika agenda hiyo wanazuia pia kukata
miti na ili kuizuia lazima kuwa na nishati safi mbadala ya Rafiki Briquettes ambao
ni ubunifu uliofanya na shirika hilo katika kuhakikisha suala la utunzaji wa
mazingira linapewa umuhimu mkubwa

 

“Lakini suala la nishati safi ya kupikia ni
agenda ya Rais hivyo niwapongeza wanawake na Samia mkoa wa Tanga kwa kuunga
mkono agenda hiyo hivyo tutaendelela kuwaunga mkono “Alisema

 

Aidha alisema kwamba wanawajibu wa kutunza mazingira
na kufanya hivyo lazima waangalie nini kinafanya mazingira yanaharibika
wananchi wengi bado hawana nishati mbadaa bado wanatumia kuni na mkaa ambao
unatokana na miti hali ambayo inawafanya kwenda kukata miti ili kupata nishati
ya kupikia.

 

Alisema kwamba programu yao hiyo inakwenda na
vitu viwili kwanza hiyo miti inayokatwa wanataka wahamasishe ili ipandwa ndio
kitu wanachokifanya  ili kuzuia isikatwe
wananchi lazima apike na ale ndio maana wamekuja hiyo nishati mbadala ya
kupikia ya Rafiki inatokana na ubunifu na utafiti uliofanywa na shirika la
madini la Taifa (Stamico) .

 

Alisema ili kuhakikisha wanapata nishati
mbadala kwa ajili ya wananchi  ambayo ni
rafiki kwa matumizi,mazingira na bei kutokana na vipato vyao kwa hiyo
wameitamblisha hiyo bidhaa mkoani Tanga .

 

“Kimsingi utafiti umekamilika na uzalishaji
umeanza na namna ya kuuza hiyo bidhaa kundi la wanawake na samia ndio watakuwa
wauzaji watakuwa wanazalisha viwandani na watakauokuwa wanaiuza na kuhamasisha
matumizi hayo watakuwa ni wakina mama
kwa sababu wanakina mama ndio wanaathirika zaidi na utafutaji wa nishati
na uchafuzu wa mazingira maana wanasema uchungu wa mwana ni mzazi”Alisema

 

Alisema kwamba ndio sababu ya kuwapa fursa
hiyo ili waunge mkono agenda ya Rais ya mazingira na nishati mbadala ya kupikia
lakini hiyo bidhaa impe uchumi huku akieleza kwa kuisambazaji haitakuwa kazi ya
bure ni ya kibiashara na watawawesha kuwa na kontena na eneo la kuuzia na kuwatangazia
na kwenye matukio mbalimbali kama hayo watawasaidia ili kuhakikisha wameweka
hamasa kwa wananchi wote waache na kukuata miti na watumie nishati safi mbadala.

 

 

 

“Agenda ya mazingira ni ya Rais hivyo
mmeichagua jambo sahihi kwa wakati sahihi tutawasapoti tunatunza mazingiwa kwa
vizazi vya sasa na vijavyo na mazingira yamekwenda kwenye kuingia kwenye ajira
ya uchumi “Alisema

 

Hata hivyo alisema mazingira yanapochafuliwa
yatakuja kuathiri baadae na watashindwa kulima, kupata hewa nzuri huku
akiwataka kulifanya zoezi hilo liwe endelevu na wanapopanda miti lazima waitunze.

 

Awali akizungumza katika zoezi hilo
Mwakilishi wa wanawake na Samia walimshukuru Dkt Mwase kwa kuja Tanga kuungana
nao katika zoezi hilo kutokana na kwamba wanawake na samia wapo mikoa 25 hapaa
nchini lakini ameweza kuitika kuwa pamoja.

 

“Kwa pamoja huo ni muendelezo wamepanda miti
leo ili waweze kutumia mkaa mbadala hivyo wanawake na samia wana deni la kwenda
kuhamasisha wananchi jinsi gani ya kuacha kukata miti na kutumia kuni katika
kupika na kueleza athari zake  kwa kutoa
elimu kwa wananchi ili fursa inapokuwa imekamilika wawe na uelewa wa pamoja”Alisema
 

 

Naye kwa upande wake Mwakilishi wa Mkurugenzi
wa Bonde la Mto Pangani Michael Buli  alisema kwamba katika kampeni hiyo ya wanawake
na samia mkoa wa Tanga ya kutunza mazingira watakuwa nao bega kwa bega
kushirikiana katika kutunza mazingira  na
vyanzo vya maji katika maeneo yote yanayostahili.

 

Michael ambaye ni katibu wa Jumuiya ya
watumiaji Maji wa Bonde Zigi chinialisema kqa sababu mazingira yamekuwa hatarishi
sana na wakiendelea hivyo miaka 10 ijayo Tanzania itaendelea kuwa ya kijani na
kama watakuwa nyuma basi Tanzania itakuwa nyeusi .

About the author

mzalendo