Featured Kitaifa

DKT.NCHIMBI AMTEMBELEA KINANA NYUMBANI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM

Written by mzalendo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amemtembelea aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Ndugu Abdulrahman Kinana nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo, Agosti 17, 2024 kwa lengo la kubadilishana mawazo.

About the author

mzalendo