Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WANANCHI WATAKIWA KUPANGA BAJETI

Written by Alex Sonna
Afisa Msimamizi Mkuu wa Fedha, Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bw. Salim Khalfan Kimaro, akigawa vipeperushi vyenye mada mbalimbali ikiwemo mikopo, akiba uwekezaji kwa baadhi ya wananchi wa Wilaya vya Ruangwa mkoani Lindi, waliojitokeza kupata elimu ya fedha.
Na: Josephine Majula WF, Lindi
 
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi na maeneo mengine ya Tanzania,  wametakiwa kujenga mazoea ya kupanga bajeti ya fedha zao wanapouza mazao au kufanya biashara yoyote ili kuzitumia vizuri fedha  hizo kwa ajili ya shughuli za maendeleo na kujiongezea mitaji.
 
Rai hiyo imetolewa na Afisa Msimamizi Mkuu wa Fedha, Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bw. Salim Khalfan Kimaro, wakati wa semina ya elimu ya fedha kwa wananchi wa makundi mbalimbali  mkoani Lindi ambapo Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Fedha ilifika kutoa elimu hiyo.
 
“Tunatakiwa kutunza fedha tunazozipata katika shughuli mbalimbali za kiuchumi ikiwemo kilimo, ufugaji, ujasiriamali na biashara badala ya kuzifuja kwa kufanya matumizi yasiyo ya lazima yakiwemo sherehe na ngoma na kujikuta katika lindi la umaskini licha ya kupokea fedha nyingi katika shughuli zetu za kila siku”, alisema Bw. Kimaro.
 
Aliiongeza kuwa mtu akijiwekea akiba itasaidia kujiepusha na mikopo “kausha damu”  kwa kukopa fedha kwa watu wasio rasmi ambao hutoa fedha kidogo na kuwadai mazao mengi yasiyolingana na fedha walizokopeshwa.
 
Aidha, aliwasisitiza Wananchi wote nchini kuendelea kutunza fedha zao wanapozipata katika msimu uliopo na kutenga fedha kiasi kwa ajili ya kuhudumia shughuli za uzalishaji msimu unaofuata.
 
Kwa upande wake mmoja wa wanufaika wa elimu hiyo mkazi wa Ruangwa, Bi. Merryness Mutayabarwa, aliiomba Serikali kuona namna ya kutoa vifaa kama mitaji badala ya fedha taslimu ili viweze kuwasaidia katika shughuli za kiuchumi wanazofanya kama vile mashine za kutotolesha vifaranga, trekta na mifugo.
 
“Tukipatiwa fedha zinaweza kutumika vibaya tukashindwa kufanya marejesho kwa kuwa fedha ni rahisi mtu akiwa sio mwaminifu kubadili lengo la matumizi ya fedha hizo lakini tukipewa vifaa kama vile trekta, ng’ombe wa maziwa, mashine mbalimbali inakuwa rahisi kuzalisha na kutuwezesha kurudisha mitaji tuliyoazimwa kwa kuwa kunakuwa na uhakika wa kuzalisha”, alisema Bi. Mutayabarwa.
 
Naye Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Ruangwa, Bw. Mwinyi Jalala, aliwasisitiza Wananchi wa Ruangwa wahakikishe wanapochukua mikopo wanarejesha kwa wakati ili  kutoa fursa na wengine kupata fedha hizo za mikopo.
 
Wizara ya Fedha inaendelea na zoezi la utoaji elimu kwa wananchi wa makundi mbalimbali mkoani Lindi katika Wilaya sita za Ruangwa, Liwale, Nachingwea, Mtama, Kilwa na Lindi Manispaa ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha kila mwananchi anafikiwa na elimu ya huduma ndogo za fedha.
Afisa Msimamizi Mkuu wa Fedha, Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bw. Salim Khalfan Kimaro, akigawa vipeperushi vyenye mada mbalimbali ikiwemo mikopo, akiba uwekezaji kwa baadhi ya wananchi wa Wilaya vya Ruangwa mkoani Lindi, waliojitokeza kupata elimu ya fedha.
Baadhi ya wananchi wa Ruangwa, mkoani Lindi, wakisoma vipeperushi vyenye mada mbalimbali ikiwemo mikopo, akiba uwekezaji, walivyopewa na Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha wakati wa semina ya elimu ya fedha mkoani Lindi.
Baadhi ya Wakazi wa Ruangwa,  mkoani Lindi, walioshiriki semina ya elimu ya fedha wakiangalia filamu yenye mada mbalimbali ikiwemo utunzaji wa akiba, uwekezaji, na nyinginezo iliyofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo mkoani Lindi.
Afisa Mchambuzi Hesabu Mwandamizi, kutoka Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana, Bi. Mariam Omari Mtunguja, akizungumza wakati wa semina ya utoaji elimu ya masuala ya fedha kwa Wakazi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, ambapo mada mbalimbali zilifundishwa ikiwemo uwekezaji, mikopo na akiba.
Baadhi ya Wakazi wa Ruangwa, mkoani Lindi, walioshiriki semina ya elimu ya fedha wakiangalia filamu yenye mada mbalimbali ikiwemo utunzaji wa akiba, uwekezaji, na nyinginezo iliyofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo mkoani Lindi.
Afisa Maendeleo ya Jamii, Wilaya ya Ruangwa, Bw. Mwinyi Jalala, akiwashukuru Wananchi wa Ruangwa mkoani Lindi,  waliojitokeza kupata elimu ya fedha iliyotolewa na Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha ambapo mada mbalimbali zilifundishwa ikiwemo uwekezaji, mikopo na akiba.
Baadhi ya Wakazi wa Ruangwa, mkoani Lindi, walioshiriki semina ya elimu ya fedha wakiangalia filamu yenye mada mbalimbali ikiwemo utunzaji wa akiba, uwekezaji, na nyinginezo iliyofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo mkoani Lindi.
Mkazi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, Bi. Asteria Masanja, akiuliza swali kwa Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha iliyofika mkoani Lindi kutoa elimu ya fedha kwa Wananchi wa Mkoa huo.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WF, Lindi)

About the author

Alex Sonna