Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI KHAMIS ASISITIZA HAMASA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akipanda mti wakati wa Bonanza la mazoezi ya mwili lilioandaliwa na Balozi wa Mazingira, Bw. Grit Mwimanzi (wa pili kulia) kwa kushirikiana na Umoja wa Vilabu vya Mazoezi Kata ya Vingunguti (UVIJOVI) lililofanyika Viwanj vya msikate tamaa Vingunguti Jijini Dar es Salaam Agosti 11, 2024.

 …….

NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Khamis Hamza Khamisi amesema Serikali itaendeleza kampeni za hamasa kwa jamii ili kuhakikisha asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2030.

Mhe.  Khamis ametoa rai hiyo Agosti 11, 2024 Jijini Dar es Salaam wakati wa bonanza la Michezo lilioandaliwa na Balozi wa Mazingira Bw. Grit Mwimanzi kwa kushirikiana na Umoja wa Vilabu vya Mazoezi Kata ya Vingunguti (UVIJOVI) ambalo lililenga kuhamasisha jamii umuhimu wa matumizi ya nishati safi ya kupikia na uhifadhi wa mazingira.

Amesema umuhimu wa agenda ya matumizi ya nishati safi ya kupikia inasukumwa zaidi na ongezeko la athari za uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi pamoja na athari za kiafya zinazotokana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia ikihusisha kuni na mkaa.

“Matumizi ya nishati safi ya kupikia ni agenda mahususi ambayo imechukua nafasi kubwa katika Serikali ya Awamu ya Sita…Kama mnavyoshuhudia Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa kinara kwa kuhakikisha agenda hii inapata msukumo mkubwa katika jumuiya ya kimataifa” amesema Naibu Waziri Khamis.

Naibu Waziri Khamis ameeleza kuwa Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais tayari imeandaa mikakati mbalimbali ya uhamasishaji ikiwemo mjadala wa kitaifa wa nishati safi ya kupikia uliofanyika mwaka 2022 ambao tayari umetoa mwelekeo wa kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia.

Ameeleza kuwa nishati safi ya kupikia inatambulika kuwa salama, nafuu, endelevu na inayopatikana kwa urahisi na hivyo Serikali kwa kushirikiana na wadau imeendelea kuhimiza jamii kuachana na nishati chafu ambayo ina kiwango kikubwa cha sumu sambamba na uzalishaji gesi joto.

Kwa mujibu wa Khamis ameeleza utaratibu wa upatikanaji wa nishati isiyo safi ya kupikia inahusishwa moja kwa moja na uharibifu wa mazingira ikiwemo ukataji miti kwa ajili ya kuni na mkaa, hivyo kuchangia kuongezeka kwa ukame na athari za mifumo ya kiikolojia.

Akifafanua zaidi Mhe. Khamis ameeleza kuwa Serikali kuwa inaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo sekta binafsi na taasisi za utafiti ili kuongeza wigo wa teknolojia za kutosha katika nishati, vifaa na mifumo ya kibiashara ili kupunguza gharama za nishati safi ya kupikia.

Aidha ameongeza kuwa Tanzania itaendelea kuongoza jitihada za kitaifa, kimataifa na kikanda za kuhakikisha kuwa matumizi ya nishati safi ya kupikia inakuwa agenda ya kudumu na kuwahimiza wananchi kuunga mkono juhudi hizo za Serikali.

Katika hatua, nyingine, Mhe. Khamis amewataka wananchi kuacha kuvamia na kuharibu vyanzo vya maji kwa kuendesha shughuli za kibinadamu ikiwemo kilimo ambapo husababisha uharibifu mkubwa wa mazingira na mifumo ya ikolojia.

“Tuendelea kuelimisha wananchi juu ya upandaji miti rafiki wa mazingira na kuepuka kilimo kandokando ya mito ili kulinda mazingira yetu. Wananchi ndio walinzi na wahifadhi wa kwanza katika kutunza Mazingira” amesema Mhe. Khamis.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo amewahimiza wananchi wa Wilaya hiyo umuhimu wa uhifadhi na utunzaji wa mazingira na kutoa hamasa kwa jamii kujenga utamaduni wa upandaji miti na kushiriki zoezi la usafi wa mazingira linalofanyika kila jumamosi ya mwisho wa mwezi.

“Suala la uhifadhi na utunzaji wa mazingira na kila mmoja wetu, nawasihi tuendelee kujitokeza na kushiriki katika upandaji miti na pia tuhamasishe jamii kuanza kutumia nishati safi ya kupikia ili kuunga mkono juhudi za serikali” amesema Mhe. Mpogolo.

Naye Balozi wa Mazingira, Bw. Grit Mwimanzi amesema ameutaka UVIJOVI kuwa mabalozi wa kuhamasisha jamii na wananchi wa Kata ya Vingunguti umuhimu wa kutumia nishati safi ya kupikia ili kuunga mkono juhudi za serikali katika kulinda mazingira na afya za Watanzania.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis (wa tatu kulia) akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo (kulia kwake) wakati wa Bonanza la mazoezi ya mwili lilioandaliwa na Balozi wa Mazingira, Bw. Grit Mwimanzi (wa pili kulia) kwa kushirikiana na Umoja wa Vilabu vya Mazoezi Kata ya Vingunguti (UVIJOVI) lililofanyika Viwanj vya msikate tamaa Vingunguti Jijini Dar es Salaam Agosti 11, 2024.

Baaadhi ya wananchi wa Kata ya Vingunguti wakifuatilia tamasha lililoandaliwa Balozi wa Mazingira, Bw. Grit Mwimanzi (wa pili kulia) kwa kushirikiana na Umoja wa Vilabu vya Mazoezi Kata ya Vingunguti (UVIJOVI) lililofanyika Viwanj vya msikate tamaa Vingunguti Jijini Dar es Salaam Agosti 11, 2024. Mgeni rasmi katika tamasha hilo alikuwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis

Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mhe. Omary Kumbilamoto akipanda mti wakati wa Bonanza la mazoezi ya mwili lilioandaliwa na Balozi wa Mazingira, Bw. Grit Mwimanzi (wa pili kulia) kwa kushirikiana na Umoja wa Vilabu vya Mazoezi Kata ya Vingunguti (UVIJOVI) lililofanyika Viwanj vya msikate tamaa Vingunguti Jijini Dar es Salaam Agosti 11, 2024. Kushoto ni Balozi wa Mazingira, Bw. Grit Mwimanzi.

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo akipanda mti wakati wa Bonanza la mazoezi ya mwili lilioandaliwa na Balozi wa Mazingira, Bw. Grit Mwimanzi (wa pili kulia) kwa kushirikiana na Umoja wa Vilabu vya Mazoezi Kata ya Vingunguti (UVIJOVI) lililofanyika Viwanj vya msikate tamaa Vingunguti Jijini Dar es Salaam Agosti 11, 2024.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akipanda mti wakati wa Bonanza la mazoezi ya mwili lilioandaliwa na Balozi wa Mazingira, Bw. Grit Mwimanzi (wa pili kulia) kwa kushirikiana na Umoja wa Vilabu vya Mazoezi Kata ya Vingunguti (UVIJOVI) lililofanyika Viwanj vya msikate tamaa Vingunguti Jijini Dar es Salaam Agosti 11, 2024.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akipanda mti wakati wa Bonanza la mazoezi ya mwili lilioandaliwa na Balozi wa Mazingira, Bw. Grit Mwimanzi (wa pili kulia) kwa kushirikiana na Umoja wa Vilabu vya Mazoezi Kata ya Vingunguti (UVIJOVI) lililofanyika Viwanj vya msikate tamaa Vingunguti Jijini Dar es Salaam Agosti 11, 2024.

About the author

Alex Sonna