Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

casinomaxi

casinomaxi giriş

betturkey giriş

betturkey

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

korsan taksi istanbul, istanbul korsan taksi

bets10

tipobet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

superbetin

jojobet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

marsbahis giriş

casibom

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

casibom giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

sweet bonanza

deneme bonusu

radissonbet

betbey

jojobet

cashwin

gameofbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet

pusulabet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giris

jojobet

jojobet

mavibet giriş

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking

meritking

marsbahis güncel giriş

meritking

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

grandpashabet

Hacklink panel

betpas

holiganbet

Google

jojobet

holiganbet

jojobet telegram

jojobet giris

ikimisli

ikimisli giriş

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis giriş

marsbahis

primebahis

tümbet

tümbet giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

pokerklas

pokerklas

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

betsmove

holiganbet

ikimisli

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

betkolik

ikimisli giriş

marsbahis giriş

marsbahis giriş

ikimisli giriş

ikimisli

betkolik

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betkolik giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli

ikimisli giriş

marsbahis

betkolik

betkolik giriş

betkolik giriş

jojobet giriş

betkolik

ikimisli

marsbahis giriş

jojobet giriş

betkolik

marsbahis giriş

betkolik giriş

jojobet mobil

ikimisli giriş

betkolik giriş

nerobet

nerobet

aresbet, aresbet giriş

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

Deneme Bonusu

queenbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

lunabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino

marsbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

betsat

extrabet giriş

gameofbet

turkey dental implants

mavibet

artemisbet

setrabet

jojobet

pulibet

süratbet

perabet

nerobet

mavibet

lunabet

lunabet giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

Featured Kitaifa

WAZIRI KIJAJI ABAINISHA FURSA ZILIZOPO KATIKA SEKTA YA HIFADHI YA MAZINGIRA

Written by mzalendo

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Kikundi cha NOPADEO WOMEN, Bi. Eneles Sohoma kuhusu mafanikio ya Mradi wa Urejeshaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Baianoai Tanzania (SLR) unaotekelezwa katika kijiji cha Matebete Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya wakati alipotembelea Banda la Mradi huo wakati alipotembelea Banda la Mradi huo katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma leo Alhamisi Agosti 8, 2024.

Na Mwandishi Wetu,Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amewataka Watanzania kuchangamkia fursa zilizopo katika sekta ya hifadhi ya mazingira ili kujiongezea kipato na kujiinua kiuchumi.

Dkt. Kijaji amesema hayo leo Ahamisi Agosti 8, 2024 wakati alipotembelea Banda la Maonesho la Ofisi hiyo katika kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma.

Waziri Kijaji amesema katika kuhakikisha sekta ya hifadhi ya mazingira inaendelea kuwanufaisha Watanzania wengi zaidi, Ofisi hiyo imeanisha vipaumbele sita vya kimkakati na kuvitangaza kupitia elimu ya maonesho na hivyo kuwataka wananchi kuchangamkia fursa hizo.

Amebainisha vipaumbele mojawapo ni biashara ya kaboni ambayo kwa sasa imeanza kushika kasi hapa nchini ambapo Serikali tayari imeandaa kanuni na miongozo mbalimbali inayolenga kuwanufaisha Watanzania.

“Hii ni biashara ambayo fursa yake ipo zaidi kupitia misitu pamoja na taka ngumu ambayo vyote kwa pamoja tafsiri yake ni hifadhi ya mazingira….. Tunawahimiza Watanzania kuchangamkia fursa hii kwani kwa sasa milango wazi kwa jamii kunufaisha” amesema Dkt. Kijaji.

Aidha Dkt. Kijaji ametaja kipaumbele kingine ni pamoja na masuala ya uchumi wa buluu, ambapo Ofisi hiyo imepanga kutangaza fursa zilizopo katika rasilimali maji ikiwemo bahari, maziwa na mito katika namna zinavyoweza kuwanufaisha Watanzania kwa kuwainua kiuchumi.

Waziri Kijaji ametaja kipaumbele kingine ni pamoja na fursa za mfumo wa uchakataji wa taka ngumu kupitia teknolojia ya urejelezaji ambapo sanjari na kutahifadhi mazingira, mfumo huo pia utaweza kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.

Akifafanua zaidi Waziri Kijaji ameeleza kuwa kutokana na jamii kupata mwamko kuhusu fursa za urejelezaji wa taka ngumu, Ofisi hiyo imepanga kujenga viwanda vya kuchakata taka katika majiji mbalimbali nchini ambapo kwa kuanzia kituo cha aina hiyo kimepangwa kujengwa katika Jiji la Dodoma.

“Tunataka katika kipindi cha miaka miwili ijayo Ofisi ya Makamu wa Rais tuwe na Muungano Imara na Miji iliyo safi na salama kwa mazingira yetu na jamii yetu kwa ujumla na kwa kufanya hivi kila Mtanzania atafahamu kwa mapana manufaa na umuhimu wa Ofisi hii” amesema Dkt. Kijaji.

Ameongeza kuwa pamoja na kuweka mkazo hifadhi ya mazingira, Ofisi hiyo pia imekusudia kuongeza wigo wa programu ya elimu kwa umma kuhusu masuala ya Muungano kwa kuhakikisha jamii inafahamu chimbuko na misingi ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Kwa mujibu wa Waziri Kijaji amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa sasa una zaidi ya miaka 60 ambapo kwa mujibu wa takwimu zilizopo zinaonesha kuwa idadi kubwa ya Watanzania ni vijana ambapo wanahitaji elimu ya kutosha kuweza kuelewa misingi ya kuasisiwa kwa Muungano huo.

“Kundi kubwa la Watanzania walizaliwa baada ya Muungano, hivyo ni wachache wenye uelewa kuhusu Muungano…Tumepanga kuhakikisha kuwa elimu ya Muungano inaendelea kutolewa kwa Watanzania ili waweze kufahamu nini chimbuko la Muungano huu uliaosisiwa na Viongozi wetu” amesema Dkt. Kijaji.

Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) imeungana na Taasisi na Idara mbalimbali za Serikali kushiriki maonesho ya maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yenye kauli mbiu isemayo “Chagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo Endelevu ya Sekta za Kilimo, Mifugo na Uvuvi”

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akisaini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika Banda la Ofisi hiyo katika  Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma leo Alhamisi Agosti 8, 2024.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji  akizungumza jambo na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Ofisi hiyo, Bi. Sarah Kibonde muda mfupi baada ya kuwasili katika Banda la Ofisi hiyo katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma leo Alhamisi Agosti 8, 2024

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza na Waandishi wa Habari kutoka Kampuni ya Ndalini Media wakati alipotembelea Banda la Ofisi hiyo katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma leo Alhamisi Agosti 8, 2024.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza na mwandishi wa Habari kutoka Kampuni ya Ndalini Media wakati alipotembelea Banda la Ofisi hiyo katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma leo Alhamisi Agosti 8, 2024.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza na watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wakati alipotembelea Banda la Ofisi hiyo katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma leo Alhamisi Agosti 8, 2024.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (kushoto) akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Banda la Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma leo Alhamisi Agosti 8, 2024. Wa kwanza kulia ni Meneja wa NEMC Kanda ya Kati Dodoma Dkt. Caren Kahambwa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji (kushoto) akipokea nyaraka mbalimbali zilizoandaliwa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kutoka kwa Meneja wa NEMC Kanda ya Kati Dodoma Dkt. Caren Kahambwa katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma leo Alhamisi Agosti 8, 2024.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Kikundi cha NOPADEO WOMEN, Bi. Eneles Sohoma kuhusu mafanikio ya Mradi wa Urejeshaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Baianoai Tanzania (SLR) unaotekelezwa katika kijiji cha Matebete Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya wakati alipotembelea Banda la Mradi huo wakati alipotembelea Banda la Mradi huo katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma leo Alhamisi Agosti 8, 2024.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akipokea zawadi ya maziwa kutoka kwa wanakikundi wa NOPADEO WOMEN kutoka Kijiji cha Matebete Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya wanaotekeleza Mradi wa Urejeshaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Baianoai Tanzania (SLR) wakati alipotembelea Banda la Mradi huo katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma leo Alhamisi Agosti 8, 2024. Anayekabidhi zawadi hiyo ni Mwanakikundi wa NAPODEO WOMEN Bi. Juliana Israeli.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akipokea nyaraka mbalimbali zilizoandaliwa na Ofisi hiyo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Bi. Sarah Kibonde wakati alipotembelea Banda la Ofisi hiyo katika  katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma leo Alhamisi Agosti 8, 2024.

(NA MPIGAPICHA WETU)

About the author

mzalendo