Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

agb99

Hacking forum

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

korsan taksi istanbul, istanbul korsan taksi

betsat

tipobet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

kingroyal

Holiganbet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

grandpashabet giriş

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

marsbahis giriş

casibom

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

casibom giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

sweet bonanza

deneme bonusu

superbetin

nesinecasino

grandpashabet

radissonbet

ibizabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet

pusulabet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giris

jojobet

jojobet

meritking

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

meritking

marsbahis güncel giriş

meritking güncel giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

bettilt

Hacklink panel

betpas

holiganbet

Google

casibom

holiganbet

jojobet telegram

jojobet giris

ikimisli

ikimisli giriş

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis giriş

marsbahis

primebahis

tümbet

tümbet giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

pokerklas

pokerklas

gamdom giriş

gamdom

meritbet

meritbet giriş

meritbet

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

betsmove

jojobet

ikimisli

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

betkolik

ikimisli giriş

marsbahis giriş

marsbahis giriş

ikimisli giriş

ikimisli

betkolik

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betkolik giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli

ikimisli giriş

marsbahis

betkolik

betkolik giriş

betkolik giriş

jojobet giriş

betkolik

ikimisli

marsbahis giriş

jojobet giriş

betkolik

marsbahis giriş

betkolik giriş

jojobet mobil

ikimisli giriş

betkolik giriş

nerobet

nerobet

aresbet, aresbet giriş

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

Holiganbet giriş

grandpashabet

ligobet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet giriş

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Starzbet

Starzbet

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

grandpashabet güncel giriş

kingroyal

jojobet

bahiscom

turkey dental implants

mavibet

artemisbet

setrabet

jojobet

pulibet

süratbet

perabet

nerobet

mavibet güncel giriş

mavibet

mavibet giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

mavibet

mavibet giriş

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

artemisbet

artemisbet giriş

mavibet

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

Featured Kitaifa

NELSON MANDELA YAJA NA TEKNOLOJIA YA UFUGAJI KWA KUTUMIA AKILI MNEMBA

Written by Alex Sonna

 

 Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kutoka Wizara ya Elimu , Sayansi naTeknolojia Professa Ladslaus Mnyone akizungumza wakati wa Uzinduzi wa mradi wa Tathimini ya Ufanisi wa Teknolojia za Kisasa za Ufugaji unaoratibiwa na Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela leo Agosti 5, 2024 katika ukumbi wa mikutano wa Corridor Spring Arusha.

Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Prof. Maulilio Kipanyula akizungumza wakati wa Uzinduzi wa mradi wa Tathimini ya Ufanisi wa Teknolojia za Kisasa za Ufugaji unaoratibiwa  na Taasisi hiyo Agosti 5, 2024 katika ukumbi wa mikutano wa Corridor Spring Arusha.

Mratibu wa Mradi kutoka Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Prof. Gabriel Shirima akieleza lengo la mradi kwa washiriki na baadhi ya wafugaji Agosti 5, 2024 ukumbi wa mikutano wa Corridor Spring Arusha.

Mtafiti Kiongozi kutoka Chuo Kikuu cha Florida cha Nchini Marekani Dkt. Geoffrey Dahl ( kushoto) na Dkt. Hendrickx Saskia (kulia) wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa uzinduzi wa mradi wa Tathimini ya Ufanisi wa Teknolojia za Kisasa za ufugaji Agosti 5,2024 katika ukumbi wa mikutano wa Corridor Spring Arusha.

Washiriki wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa Tathimini ya Ufanisi wa Teknolojia za Kisasa za Ufugaji katika Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Florida cha Nchini Marekani kwa ufadhili wa Taasisi ya Bill & Melinda Gates Foundation Agosti 5,2024 jijini Arusha.

 Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kutoka Wizara ya Elimu , Sayansi na Teknolojia Professa Ladslaus Mnyone (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa Tathimini ya Ufanisi wa Teknolojia za Kisasa za Ufugaji unaoratabiwa na  Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Florida cha Nchini Marekani kwa ufadhili wa Taasisi ya Bill & Melinda Gates Foundation Agosti 5,2024 jijini Arusha.

……..
Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela imezindua rasmi utekelezaji wa mradi wa Tathimini ya Ufanisi wa Teknolojia za Kisasa za ufugaji kwa kutumia Akili Mnemba (artificial intelligence) lengo ikiwa ni kuwasaidia wafugaji wa ng’ombe wa maziwa na nyama kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo Agosti 5, 2024 mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kutoka Wizara ya Elimu , Sayansi naTeknolojia Professa Ladslaus Mnyone ameeleza kuwa, teknolojia hizo zitaleta mapinduzi makubwa kwenye sekta ya mifugo kwa kuongeza kiwango cha uzalishaji wa maziwa.

“Kuna changamoto mbalimbali kwa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa ikiwemo uzalishaji mdogo na malisho haba, hivyo kupitia mradi huu utarahisisha kwa kutoa taarifa za awali kwa wafugaji kuelewa majira ya uhamalushaji hivyo kuongeza uzalishaji wa maziwa na chakula cha kutosha ” anasema Prof. Mnyone.

Aliongeza kuwa, ni budi matokeo ya utafiti na ubunifu mbalimbali zinazofanywa ziwafikie walengwa hususani watumiaji na wananchi kwa ujumla ili waweze kunufaika nazo.

Kwa upande wake Makamu Mkuu wa Taasisi Prof Maulilio Kipanyula alieleza kuwa, mradi huo utatekelezwa kwa miaka mitatu ambapo kutaanzishwa Kitovu cha Maarifa kuhusu ufugaji wa mifugo ambacho kitashirikiana na wadau mbalimbali kutoa elimu kwa wafugaji kuhusu matumizi ya teknolojia hizo za kisasa.

Mtafiti Kiongozi kutoka Chuo Kikuu cha Florida cha nchini Marekani ,Dk. Geoffrey Dahl alisema, mradi huo unaofadhiliwa na Taasisi ya Bill &Melinda Gates utaleta tija kwa wakulima katika jamii za kimaasai na baadhi ya ranchi ili kutatua changamoto za wafugaji na kupata mifugo bora ikiwemo kupata ndama ambao watatokana na ng’ombe bora wa maziwa.

Naye Mratibu wa Mradi huo, kutoka Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) Profesa, Gabriel Shirima alisema mradi huo wa miaka mitatu utawezesha wafugaji kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo kufuatilia umbali wa ng’ombe alipotembea kwa siku, ulaji wa nyasi ,kucheua na kutoa taarifa za awali kama mnyama akiwa anaumwa.

Alisema mradi huo, utawezesha ng’ombe wa maziwa kufungwa vifaa vya kisasa aina ya smaXtec bolus itakayosaidia mfugaji kufuatilia kwa karibu tabia za ng’ombe wake kupitia mfumo uliounganishwa na simu ya kiganjani ikiwemo kujua kiwango cha chakula au maji ambacho amekula au kunywa kwa siku.

Lakini pia atatoa maziwa kwa kiasi gani kulingana na uzalishaji huku kifaa cha Ceres tag ambacho ni mfano wa hereni kitatumika kwa kumvalisha sikuoni ng’ombe mmoja katika kundi la ng’ombe wafugwao katika jamii za kimaasai.

Mradi wa Tathimini ya Ufanisi wa za Kisasa za Ufugaji unashirikisha Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela, Chuo Kikuu cha Florida cha Nchini Marekani MAP Scientific Services (Ceres Tag), SmaXtec (Bolus Monitoring System) kwa ufadhili wa Bill and Melinda Gates Foundation.

About the author

Alex Sonna