Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

agb99

Hacking forum

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

korsan taksi istanbul, istanbul korsan taksi

bets10

tipobet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

kingroyal

jojobet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

mobilbahis

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

marsbahis giriş

casibom

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

casibom giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

sweet bonanza

deneme bonusu

palacebet

tambet

sonbahis

casinoroyal

marsbahis

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet

pusulabet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giris

jojobet

jojobet

meritking

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

meritking

marsbahis güncel giriş

meritking güncel giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

mercurecasino

Hacklink panel

betpas

holiganbet

Google

jojobet

holiganbet

jojobet telegram

jojobet giris

ikimisli

ikimisli giriş

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis giriş

marsbahis

primebahis

tümbet

tümbet giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

pokerklas

pokerklas

gamdom giriş

gamdom

meritbet

meritbet giriş

meritbet

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

betsmove

jojobet

ikimisli

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

betkolik

ikimisli giriş

marsbahis giriş

marsbahis giriş

ikimisli giriş

ikimisli

betkolik

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betkolik giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli

ikimisli giriş

marsbahis

betkolik

betkolik giriş

betkolik giriş

jojobet giriş

betkolik

ikimisli

marsbahis giriş

jojobet giriş

betkolik

marsbahis giriş

betkolik giriş

jojobet mobil

ikimisli giriş

betkolik giriş

nerobet

nerobet

aresbet, aresbet giriş

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

grandpashabet

ligobet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet giriş

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Starzbet

Starzbet

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

tipobet güncel

kingroyal

jojobet

jojobet

turkey dental implants

mavibet

artemisbet

setrabet

jojobet

pulibet

süratbet

perabet

nerobet

mavibet güncel giriş

mavibet

mavibet giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

mavibet

mavibet giriş

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

artemisbet

artemisbet giriş

mavibet

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

Featured Kitaifa

DKT. DUGANGE AHIMIZA ELIMU YA BIASHARA YA KABONI KWA WANANCHI

Written by mzalendo

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI (Afya), Mhe. Dkt. Festo Dugange (kulia) akizungumza jambo na Maafisa wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakati alipotembelea Banda la Ofisi hiyo tarehe 4 Agosti, 2024 katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego.

………..

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI (Afya) Mhe. Dkt. Festo Dugange amekishauri Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni (NCMC) kupanua wigo wa utoaji wa elimu kuhusu fursa na manufaa ya biashara hiyo kwa wananchi.

Dkt. Dugange amesema hayo (Agosti 4, 2024) wakati alipotembelea Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayofanyika kitaifa katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma.

Ameongeza kuwa iwapo elimu ya kutosha kuhusu biashara ya kaboni itatolewa kwa wananchi hususani kupitia fursa ya upandaji miti itasaidia uelewa kuhusu uhifadhi wa mazingira na kuongeza kipato katika ngazi ya kaya na jamii kwa ujumla.

Dkt. Dugange amesema zipo baadhi ya Mamlaka za Serikali za Mitaa zinatekeleza miradi ya biashara ya kaboni na hivyo kutoa ushauri kwa Kituo cha Kitaifa cha Ufuatiliaji na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni (NCMC) kubuni na kuweka mipango mahsusi ya kushirikiana na Halmashauri hizo katika utoaji wa elimu.

“Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Kaboni (NCMC) hakina budi kujitangaza ili kiweze kufahamika na kufikia wadau wengi ikiwezekana hata kufungua ofisi za Kanda katika Mikoa mbalimbali nchini”.

Amesema ni wakati mwafaka kwa Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kuhakikisha elimu ya biashara ya kaboni inatolewa kwani bado jamii haina hawana uelewa wa kutosha kuhusu kaboni pamoja na fursa na faida zilizopo katika biashara hiyo.

Naibu Waziri Dugange pia aliitaka Ofisi ya Makamu wa Rais kupitia NCMC kufanya mikutano na makongamano na wadau ili kutoa elimu kwa ikiwemo wananchi na taasisi mbalimbali za uwekezaji ambao ndio walengwa wakubwa wa biashara ya kaboni nchini.

Amesisitiza kwa kuwepo kwa wataalam wengi ambao watasaidia katika kutoa elimu hiyo ila kwa sasa inaonekana bado kuna uhaba wa wataalamu kwenye eneo hilo lakini jitihada ikiongezeka basi matunda yake yataonekana kwa kila mmoja.

Aidha Dkt. Dugange amezitaka Halmashauri zote nchini kutenga bajeti kwa ajili ya masuala ya uhifadhi na usimamizi wa mazingira na kuhakikisha miti yote inayopandwa inatunzwa na kustawi.

Ofisi ya Makamu wa Rais imeungana na taasisi mbalimbali za umma na binafsi katika maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yaliyoanza tarehe 1-8 Agosti, 2024 katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma yakiwa na kauli mbiu isemayo Chagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi”

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI (Afya) Mhe. Dkt. Festo Dugange akisaini (kulia) kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kutembelea Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais tarehe 4 Agosti, 2024 katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma. Wa kwanza kushoto ni Afisa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Martha Ngalowera.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI (Afya), Mhe. Dkt. Festo Dugange (kulia) akizungumza jambo na Maafisa wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakati alipotembelea Banda la Ofisi hiyo tarehe 4 Agosti, 2024 katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Sarah Kibonde (kushoto) akizungumza na wananchi mbalimbali waliotembelea Banda la Ofisi hiyo tarehe 4 Agosti, 2024 katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma.

Afisa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Lungo akizungumza na wananchi mbalimbali waliotembelea Banda la Ofisi hiyo tarehe 4 Agosti, 2024 katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma.

Afisa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Lungo akizungumza na mmoja wa wananchi waliotembelea Banda la Ofisi hiyo tarehe 4 Agosti, 2024 katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma.

 Afisa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Martha Ngalowera akitoa elimu ya kuhusu Muungano kwa walimu wa Shule ya Sekondari Chamwino mkaoni Dodoma wakati walipotembelea Banda la Ofisi hiyo katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma, Agosti 4,2024.

Afisa Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Richard Mosile akitoa elimu ya Mazingira kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Dodoma walipotembelea Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma, Agosti 4,2024.

Afisa Maendeleo ya Jamii Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Raphael Maziku akitoa elimu ya Muungano kwa wanafunzi wa shule ya Sekondari Chinangali, Dodoma wakati walipotembelea Banda la Ofisi hiyo katika Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Duniani (Nanenane) yanayofanyika kitaifa katika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma Agosti 2,2024.

  1. Maafisa kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chinangali mbele ya banda la Ofisi ya Makamu wa Rais mbele ya Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya kupata elimu ya Muungano, katika Maonesho ya Kimataifa ya Nanenane mkoani Dodoma yanayofanyika Viwanja vya Nanenane, Nzuguni, Agosti 2,2024.

(NA MPIGAPICHA WETU)

About the author

mzalendo