slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

matbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

holiganbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

goldenbahis

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

matbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

parobet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

imajbet

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

goldenbahis giriş

casibom giriş

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

tempobet

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

holiganbet

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

matbet, matbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

goldenbahis

Goldenbahis

tempobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

grandpashabet

marsbahis

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

HISTORIA YAANDIKWA UTEKELEZAJI MRADI WA CHUMA MAGANGA MATITU

Written by mzalendo

Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

Tanzania imeandika historia mpya ya matumizi ya rasilimali zake kufuatia kusainiwa kwa utekelezaji wa mradi wa uchimbaji wa chuma wenye thamani ya dola milioni 77.

Mradi huo ambao utatekelezwa katika eneo la Maganga Matitu Wilayani Njombe unatarajiwa kuchochea maendeleo ya viwanda nchini na hivyo kukuza uchumi wa nchi.

Akizungumza Agosti 2, 2024 mkoani Njombe mara baada ya kushuhudia utiaji saini wa Mkataba wa Uchimbaji Madini ya Chuma Maganga Matitu kati ya Shirika la Maendeleo la Taifa NDC na Kampuni ya Fujian Hexingwang Industry Tanzania .Co.Ltd. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema mafanikio hayo yametokana na jitihada za Serikali kuchochea matumizi sahihi ya rasilimali kwa manufaa ya Watanzania.

‘‘ Mhe. Rais amekuwa muumini wa kuikaribisha sekta binafsi iweze kushiriki kwenye uchumi wa nchi yetu ili tupate kodi na ajira kwa vijana wetu. Mradi huu na mingine mtaona dhamira yake ya kuona chuma kinachimbwa na kinapatikana,” anasema Dkt. Biteko.

Anasisitiza ‘‘Ndio maana haikushangaza kulipa fidia bilioni 15 ili kupisha mradi wa Liganga na Mchuchuma ambao ndio mradi mkubwa katika bara la Afrika tunaoutegemea. Nataka niwahakikishie watu wa Ludewa na Njombe mambo mengi zaidi yanakuja tuendelee kumuombea Rais Samia.”

Pia ameipongeza Wizara ya Viwanda na Biashara kwa usimamizi katika hatua iliyofikiwa.

Aidha, Dkt. Biteko amesema kuwa Serikali imekuwa ikijenga madaraja na miradi mingine mikubwa kwa kutumia chuma kutoka nje ya nchi ilihali kuna utajiri mkubwa wa chuma kwenye ardhi ya Tanzania.

Ametoa wito kwenye miradi mingine yote inayotekelezwa nchini na kusema kuwa Watanzania wanataka kuona rasilimali zilizopo kwenye maeneo yao zinaleta maana kwenye maisha yao na kuwa utaratibu wa kuwa na rasilimali eneo fulani au kuchimbwa lakini sherehe za utiaji asaini mikataba au uzinduzi zinafanyika Dar es salaam au Dodoma kuwa si sawa ni lazima kwenda kwa wananchi wenyewe na kufanya jambo hilo kwa.

‘‘ Niwaombe wawekezaji muwe na hakika kuwa hakuna hasara mtakayopata katika kuwekeza Tanzania kwa sababu nchi yetu ina mazingira mazuri ya kibiashara na mahali tunapodhani kuna changamoto Mhe. Rais amekuwa akiunda kamati ili kurekebisha kasoro ndani ya mifumo ya Serikali, mtakumbuka kuna wakati haki jinai ilikuwa inalamikiwa na aliunda kamati na mapendekezo yake yanafanyiwa kazi na sasa ameunda tume ya kupitia malalamiko ya kodi, ’’amebainisha Dkt. Biteko.

Katika hatua nyingine, Dkt. Biteko amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Umeme Vijijini (REA) kufanya utafiti na kuwasilisha mapendekezo ya namna ya kufikisha umeme katika vijiji 10 vilivyopo pembezoni mwa Ziwa Nyasa eneo lenye milima wilayani Ludewa.

‘‘ Nimekuja na wataalamu kutoka TANESCO na REA na nitaomba Mkuu wa Mkoa tupate mwakilishi kutoka Ludewa nataka tuunde timu ili tukapitie upya vijiji kisha tujadiliane na kukubaliana namna ya kufikisha umeme katika vijiji hivyo kama ni kwa kujenga njia kubwa ya umeme au kuweka gridi. Kazi ianze Jumatatu na ndani ya siku tano nipate majibu tujenge kwa namna gani.’’ Amesema Dkt. Biteko.

Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exhaud Kigahe amesema kuwa mwaka 2023, Rais Mhe. Dkt. Samia alilipa fidia ya takribani shilingi bilioni 15 kwa wananchi waliopisha maeneo yao kwa ajili ya utekelezaji wa mradi huo na mwaka 2020 aliahidi kutekelezwa kwa shughuli za uchumi ili maeneo yote ya uwekezaji yaweze kufanikiwa na sasa anamitiza ahadi yake.

‘‘ Uhakiki wa taarifa za mashapo uliofanyika mwaka 2020 katika mradi huu wa Maganga Matitu umeonesha uwepo wa mashapo ya chuma tani milioni 101 na utekelezaji wa mradi huu utaongeza mnyororo wa thamani utakaokuza uchumi wa viwanda sasa utawezesha Serikali kuokoa fedha za kigeni zilizokuwa zikitumika kwa ajili ya kuagiza chuma kutoka nje ya nchi.’’ Amesema Mhe. Kigahe.

Naye, Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo (NDC), Dkt. Nicolous Shombe amesema kuwa mradi huo wa kuzalisha chuma wa Maganga Matitu ni mradi mdogo ukilinganisha ule wa Mchuchuma na Liganga ambao tangu kuamuliwa kutekelezwa mwaka 2007 hadi kufikia hatua ya sasa ni takribani miaka 17.

‘‘ Sasa tunaenda kutekeleza mradi huu ambao Serikali itakuwa na asilimia 36 mwekezaji kutoka nchini China atakuwa na asilimia 64, kwa kiasi kikubwa katika mradi huu Serikali inaenda kuhusika moja kwa moja kulingana na muundo wake wa menejimenti na bodi,’’amesema Dkt. Shombe.

Ameongeza ‘‘ Mradi huu utazalisha chuma ghafi ambacho kitatumiwa na vyuma vingine na hivyo tutakuwa na uchumi shindani kwa kuzalisha vyuma vitakavyotumika katika miradi mikubwa ya miundombinu. Katika mradi huu tunatarajia kuwekeza zaidi ya dola milioni 77.45 ambazo ni fedha za mtaji kutoka kwa mwekezaji na uzalishaji utaanza mwaka 2027, wananchi 385 watalipwa fidia kabla ya mwezi Januari ambayo ni zaidi ya shilingi bilioni 4.25.’’

Vilevile, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Fujian Hexingwang Industry Tanzania .Co.Ltd. Bw. Ix Xsinda amesema kuwa Kampuni yake imewekeza nchini kwa miaka nane na kuwa inamiliki kiwanda cha nondo kilichopo Mkuranga mkoani Pwani.

‘‘Namshukuru Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Serikali kwa ujumla kwa kuniamini ili niweze kufanya uwekezaji huu, kwa upekee nawashukuru NDC kwa kuhakikisha nafanikiwa kuwekeza katika mradi nawahakikishia wananchi wa Njombe kwamba nitawekeza katika mradi huu kama tulivyokubaliana katika mkataba kwa sababu Mhe. Rais na Serikali yake wamenipa imani kubwa. Nitaanza utekelezaji baada ya kusaini mkataba huu na taratibu zingine kukamilika.’’ Amemaliza Bw Xsinda.

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka amesema kuwa Mkoa wake utahakikisha unaweka mazingira rafiki kwa wawekezaji watakaowekeza mkoani humo

About the author

mzalendo