Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

kavbet

kavbet

jojobet giriş

marsbahis giriş

jojobet giriş

jojobet telegram

marsbahis

jojobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

monobahis, monobahis giriş

alobet, alobet giriş

grandpashabet

betsat

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

betpas

jojobet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

kingroyal

jojobet

jojobet güncel giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

sweet bonanza oyna

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

caddebet, caddebet giriş

Google

casinoroyal

primebahis

marsbahis giriş

sweet bonanza

Doctors | Akdeniz University Hospital Login

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

jojobet giriş

holiganbet

sweet bonanza

casibom giriş

betflix

betflix

deneme bonusu

betpuan

bettilt

cashwin

holiganbet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

meritking

meritking

marsbahis

meritking

jojobet

jojobet güncel

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

nesinecasino

Hacklink panel

zirvebet

meritking

Google

meritking giriş

holiganbet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet giris

jojobet para çekme

jojobet güncel

jojobet giris

jojobet giris

jojobet

favorisen

otobet

otobet giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

marsbahis giriş

marsbahis giriş

truvabet

mavibet

mavibet

mavibet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

cratosroyalbet

piabellacasino

robinbet

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betebet

holiganbet

jojobet erişim

jojobet adres

jojobet para yatırma

jojobet giris

marsbahis

jojobet adres

jojobet oyunlar

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet son giriş

jojobet canlı bahis

jojobet aninda

jojobet bonuslar

jojobet bahis

jojobet casino

jojobet adres

jojobet telegram

giriş jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

jojobet vip giriş

jojobet tik giriş

jojobet adres

jojobet gir

marsbahis giriş

güncel giriş burada jojobet

jojobet telegram

jojobet heyecan

jojobet telegram

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

nerobet

meritking

marsbahis, marsbahis giriş

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

grandpashabet

gorabet

jojobet

https://sjconsultors.com/

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pokerklas

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino

marsbahis

casibom

grandpashabet

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

jojobet

cratosroyalbet

cratosroyalbet giriş

sekabet giriş

tambet

dental implants turkey

mavibet

mavibet

Featured Kitaifa Uncategorized

JAFO ABAINISHA MKAKATI WA KUENDELEA KUONGEZA UZALISHAJI SUKARI NCHINI

Written by mzalendo

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Mhe.Dk. Selemani Jafo,akizungumza kwenye Mkutano wa wazalishaji wa sukari wa nchi Wanachama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) SADC uliofanyika leo Julai 10,2024 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.

Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo amesema uzalishaji wa sukari kwa Tanzania Bara umeongezeka kwa kiasi kikubwa zaidi ya miaka iliyopita na ili kukidhi mahitaji yaliyopo kupitia kampuni za sukari inatarajiwa kuzalishwa tani 706,000 ifikapo mwaka 2025/26.
Akizungumza jana Julai 10, 2024 kwenye Mkutano wa wazalishaji wa sukari wa nchi Wanachama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) SADC uliofanyika Zanzibar, Dk. Jafo amesema mkakati uliopo ni viwanda viendelee kufanya vizuri kwenye uzalishaji sukari ili kukidhi mahitaji ambapo kwa mwaka 2023/24, mahitaji ya sukari Tanzania yalikuwa takriban tani 807,000.
Amesema kati ya hizo tani 552,000 ni kwa ajili ya matumizi ya ndani na tani 255,000 zilizobaki zimetengwa kwa matumizi ya viwandani.
“Tanzania Bara uzalishaji wa sukari umeongezeka kwa kiasi kikubwa zaidi ya miaka iliyopita ambapo uzalishaji wa sukari kwa mwaka 2023/24 ulikuwa takriban tani 470,000. Ili kukidhi mahitaji ya sukari, Serikali ya Tanzania kupitia kampuni zake zinazozalisha sukari iliamua kuongeza uzalishaji wa sukari kwa asilimia 53.5, na Tunatarajia kuzalisha tani 706,000 ifikapo mwaka 2025/26,”amesema.
Amesema mafanikio hayo ni ya kujivunia kama taifa ni kuwa na mkakati sukari ya kutosha katika siku za usoni, kwa matumizi ya hapa nchini na ziada kwa usafirishaji.
“Nchini Tanzania, sekta ya sukari ina mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi na fursa ya ajira kwa wafanyakazi wa viwandani na wakulima.Sekta ya sukari ni sekta muhimu sana kwa ukuaji wa uchumi na maisha ya watu wetu,”alisema.
Amepongeza jukumu kubwa lililofanywa na kampuni sita zinazozalisha sukari, ambazo ni Tanganyika Planting Company Limited, Kilombero Sugar Company Limited,Kagera Sugar Limited, Mtibwa Sugar Estates Limited, Mkulazi Holding Company Limited na Bakhresa Sugar Limited.
Aidha,amesema Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara iliridhia mpango mkakati wa SADC wa sekta za viwanda  ambao utekelezaji wake umeanza Mwaka 2015 hadi 2063.
Naye, Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Omar Said Shaabani alisema serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inathamini mchango wa sekta ya sukari  katika maendeleo ya viwanda na maendeleo ya uchumi wa nchi.
Alisema, jukwaa hilo limewakutanisha wadau wa sekta ya sukari kwa kubadilishana mawazo na uzoefu kwa lengo  ni kuchangia katika maendeleo endevu ya sekta ya sukari katika jumuiya ya SADC.
Awali, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari Tanzania, Prof. Kenneth Bengesi, alisema kongamano hilo muhimu kwani wataweza kubadilishana uzoefu wazalishaji hao katika tathnia ya sukari ili kuelekea ushindani wa sukari Afrika.
Alisema ni muhimu kuwa na sera na sheria zilizobadilika mara kwa mara kufanya hivyo kutasaidia kuleta mvuto katika sekta hizo kwa kuhakikisha wanatoa fursa nzuri ili vijana vipate ajira kupitia biashara hiyo.
Kauli mbiu ya mkutano huo ni “Kuendeleza sekta ya sukari yenye ushindani barani Afrika” (Towards a Competitive Sugar Industry in Africa).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,akizungumza wakati akifungua   Mkutano wa Wazalishaji wa Sukari katika Nchi SADC, ufunguzi huo uliyofanyika leo 10-7-2024 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Mhe.Dk. Selemani Jafo,akizungumza kwenye Mkutano wa wazalishaji wa sukari wa nchi Wanachama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) SADC uliofanyika leo Julai 10,2024 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda,Mhe. Omar Said Shaabani,akizungumza kwenye Mkutano wa wazalishaji wa sukari wa nchi Wanachama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) SADC uliofanyika leo Julai 10,2024 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari Tanzania, Prof. Kenneth Bengesi,akizungumza kwenye Mkutano wa wazalishaji wa sukari wa nchi Wanachama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) SADC uliofanyika leo Julai 10,2024 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Mhe.Dk. Selemani Jafo,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Mkutano wa wazalishaji wa sukari wa nchi Wanachama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) SADC uliofanyika leo Julai 10,2024 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Mhe.Dk. Selemani Jafo,akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilshi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid,wakati wa Mkutano wa wazalishaji wa sukari wa nchi Wanachama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) SADC uliofanyika leo Julai 10,2024 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.

About the author

mzalendo