Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

casibom

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

betpas

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

matbet, matbet giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

vaycasino giriş

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

Meritking

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

pusulabet

holiganbet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

marsbahis, marsbahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

jojobet

dinamobet

casibom

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

İmajbet

Featured Kitaifa

TABORA JITOKEZENI KWA WINGI WAKATI WA UBORESHAJI WA DAFTARI

Written by mzalendo

Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa uchaguzi uliofanyika leo Julai 8,2024 mkoani Tabarea.

Washiriki wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mkutano huo.

Washiriki wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mkutano huo.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima, R. K akiwasilisha mada
kuhusu maandalizi ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya
kwanza kwa wadau wa Mkoa wa Tabora. 

Mkurugenzi wa Idara ya Daftari na TEHAMA wa Tume, Stanslaus Mwita akiwasilisha mada ya mfumo. 

Viongozi wa vyama vya siasa mbalimbali kutoka mkoani Tabora wakishiriki katika majadiliano wakati wa mkutano huo. 

Viongozi na watu mbalimbali wakishiriki katika majadiliano wakati wa mkutano huo. 

Viongozi na watu mbalimbali wakishiriki katika majadiliano wakati wa mkutano huo. 

Tume inawatambua wazee wa kimila kama wadau muhimu katika Uchaguzi kwani husikilizwa na kuheshimika sana na jamii wanazoziongoza. Pichani ni wazee hao wa Mkoani Tabora wakiwa katika mkutano huo.  

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima, R. K (kulia) akifafanua jambo wakati wa Mkutano wa wadau wa uchaguzi uliofanyika leo Julai 8, 2024  Mkoani Tabora. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ilikutana na wadau wake Mkoani Tabora kuwataarifu kuhusiana na zoezi la uboreshaji linalotaraji kuanza Julai 20, 2024 mkoani humo.Kulia ni Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima, R. K (kulia) akifafanua jambo wakati wa Mkutano wa wadau wa uchaguzi uliofanyika leo Julai 8, 2024  Mkoani Tabora. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ilikutana na wadau wake Mkoani Tabora kuwataarifu kuhusiana na zoezi la uboreshaji linalotaraji kuanza Julai 20, 2024 mkoani humo.Katikati ni Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele na Kushoto ni Mjumbe wa Tume, Mhe. Magdalena Rwebangira. 

*************

Na
Mwandishi wetu, Tabora
Tume
Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa wito kwa wananchi na wapiga kura wa mkoa wa Tabora
kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye uboreshaji
wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika kwenye mikoa hiyo
kuanzia Julai  20 hadi 26,2024.

Akifungua
mkutano wa wadau wa uchaguzi mkoani Tabora, leo Julai 8, 2024, Mwenyekiti wa
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele amesema
uboreshaji huu unamhusu kila mwananchi mwenye sifa ya kuandikishwa kuwa Mpiga
Kura.

“Ni
vyema mkatambua kuwa uboreshaji huu unamhusu kila mwananchi mwenye sifa ya
kuandikishwa kuwa mpiga kura na anayeboresha taarifa zake. Hivyo, natoa rai
kwenu kuwahimiza wananchi kupitia majukwaa yenu ya kisiasa, kijamii,
kitamaduni, kiimani na kiuchumi wajitokeze kwa wingi kujiandikisha na kuboresha
taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura,” alisema Jaji Mwambegele.

Aidha,
Jaji Mwambegele alisema kuwa kila chama cha siasa kimepewa nakala ya orodha ya
vituo vyote vya kuandikisha wapiga kura. Dhumuni la kuwapatia nakala hizo ni
kuwawezesha kupanga na kuweka mawakala wa uandikishaji katika vituo vya
kuandikisha wapiga kura.

“Kila
chama kitaruhusiwa kuweka wakala mmoja kwenye kituo cha kuandikisha wapiga kura
kwa lengo la kushuhudia utekelezaji wa zoezi la uboreshaji kituoni ikiwemo
kuwatambua wale wanaokuja kituoni kama wana sifa za kuandikishwa,” amesema Jaji
Mwambegele.

Jaji
Mwambegele alitoa angalizo kwa wadau wa uchaguzi kwa umoja wao kuzingatia
sheria za uchaguzi, kanuni za uboreshaji na maelekezo ya Tume kuhusu zoezi la
uboreshaji wa Daftari. Huku akisema Tume kwa upande wake itazingatia Katiba,
sheria ya uchaguzi na kanuni zilizotungwa chini ya sheria katika zoezi hili la
uboreshaji.

Akiwasilisha
mada wakati wa mkutano huo, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya
Uchaguzi, Bw. Kailima, R. K,  amesema mkoa
wa Tabora Tume inatarajia kuandikisha wapiga kura wapya 259,989.

“Hii
ikiwa ni ongezeko la asilimia 17.8 ya wapiga kura 1,463,665 waliopo kwenye
Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Hivyo, Tume inatarajia baada ya uandikishaji
Mkoa wa Tabora utakuwa na wapiga kura 1,723,654,” alisema.

Aidha,
Kailima amesema uzinduzi wa zoezi la uboreshaji wa Daftari utafanyika Mkoani
Kigoma Julai 20, 2024 ambapo siku ya uzinduzi ndiyo siku ambayo pia uboreshaji
utaanza katika Mikoa ya Kigoma, Tabora na Katavi na kufuatiwa na Kagera na
Geita.

Ameongeza
kuwa kwa lengo la kutekeleza jukumu hilo kwa ufanisi, uboreshaji kwa awamu ya
kwanza utafanyika kwenye mizunguko 13 itakayobainishwa kwenye ratiba.

“Zoezi
hili litaendeshwa kwa siku saba kwenye kila kituo cha kuandikisha wapiga kura.
Tunatarajia zoezi litakamilika Machi, 2025,” amesema.

About the author

mzalendo