Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ASHIRIKI KWENYE KONGAMANO LA WANAWAKE WA KIISLAM ZANZIBAR  KUADHIMISHA MWAKA MPYA WA KIISLAM 1446-H/2024

Written by mzalendo

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Washiriki wa Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar kwa ajili ya kuadhimisha mwaka Mpya wa Kiislam. Kongamano hilo limefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar tarehe 05 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip tarehe 05 Julai, 2024.

Baadhi ya Washiriki wa Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar wakiwa kwenye ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar kwa ajili ya kusikiliza mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika Kongamano hilo tarehe 05 Julai, 2024.

About the author

mzalendo