Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

timebet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

nerobet

deneme bonusu

casinofast giris

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Kitaifa

PROF.MKENDA AITAKA  TCU KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA VYUO VYA ELIMU YA JUU NCHINI

Written by mzalendo
WAZIRI  wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akizungumza wakati akifungua Mkutano wa majadiliano kati ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) na Vyuo Vikuu nchini kuhusu utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023,Mkutano uliofanyika leo Juni 7,2024 jijini Dodoma.

WAZIRI  wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akisisitiza jambo  wakati akifungua Mkutano wa majadiliano kati ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) na Vyuo Vikuu nchini kuhusu utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023,Mkutano uliofanyika leo Juni 7,2024 jijini Dodoma.

Katibu Mtendaji Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania Prof. Charles Kihampa,akielezea lengo la  Mkutano wa majadiliano kati ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) na Vyuo Vikuu nchini kuhusu utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023,Mkutano uliofanyika leo Juni 7,2024 jijini Dodoma.

BAADHI ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,(hayupo pichani)  wakati akifungua Mkutano wa majadiliano kati ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) na Vyuo Vikuu nchini kuhusu utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023,Mkutano uliofanyika leo Juni 7,2024 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI  wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameitaka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kuendelea kushirikiana na Vyuo vya Elimu ya Juu nchini katika mchakato wa kufanya maboresho ya mitaala ili iendane na Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 na Mitaala Mipya ya ElimuMsingi
 Prof. Mkenda amesema hayo jana  Jijini hapa  wakati akifungua Mkutano wa majadiliano kati ya Tume hiyo na Vyuo Vikuu nchini kuhusu utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 ambapo amewaomba Viongozi hao wa Vyuo Vikuu kutoa mrejesho pale wanapoona kuna lolote lenye changamoto ili ifanyiwe kazi katika kuhakikisha utekelezaji unafanyika kama unavyotarajiwa
Ameongeza kuwa majadiliano kati ya Tume hiyo na Vyuo Vikuu ni muhimu pamoja na kwamba TCU inaweza kutoa maelekezo lakini ni muhimu yafanyike kupitia majadiliano ili kuwa na ushirikishwaji wa wadau wa elimu ya juu.
 “Mageuzi ya mitaala yanagusa ngazi zote za elimu kwa watu wanapohoji juu ya ubora wa elimu hawaangalii tu elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Ualimu bali wanagusa mpaka elimu ya juu” amesisitiza Prof. Mkenda
Prof.Mkenda   ameongeza kuwa katika kutekeleza mageuzi ya elimu katika ngazi ya chini,  vyuo vikuu vinapaswa kujipanga katika kuandaa walimu wanaokwenda kufundisha katika shule za Sekondari, hivyo ni lazima kuangalia nini sera inahitaji.
Waziri Mkenda  amesema pia katika sera na mitaala iliyoboreshwa kuna masomo mapya ambayo yanahitaji walimu akitolea mfano somo la ujasiriamali ambalo halina walimu wa kutosha na kupelekea utekelezaji wa Sera mpya katika elimu ya Sekondari kuanza na Mkondo wa Amali pekee.
Aidha, amewataka Viongozi hao wa Elimu ya Juu kuanza kujiandaa kupokea wanafunzi walisoma kidato cha tano katika mkondo wa elimu amali ambao watakuwa na Dipmola watakaohitaji kujiunga na shahada za amali katika fani mbalimbali.
Kwa upande wake Katibu Mtendaji Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania Prof. Charles Kihampa amesema kuwa kikao hicho kitajadili juu ya utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023  na Mitaala mipya ya elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Ualimu na namna Vyuo Vikuu vitakavyoboresha Mitaala ili kuendana na mabadiliko haya na kuzalisha wanafunzi wenye ujuzi watakao weza kujiajiri ama kuajiriwa
“Dhumuni kubwa la kikao hicho ni kuanzisha Rasmi mchakato wa mabadiliko ya mtaala wa vyuo vikuu kwa lengo la kukamilisha mnyororo wa Elimu kuanzia Elimu ya msingi hadi Elimu ya juu”amesema Prof.Kihampa

About the author

mzalendo