Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

grandpashabet

grandpashabet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

sahabet

pasacasino

deneme bonusu

https://sjconsultors.com/

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet adres

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

jojobet

jojobet

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

paribahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

İmajbet

royalbet

Featured Kitaifa

ZAIDI YA SH.BILIONI 80 ZASAMBAZA UMEME VIJIJINI MKOANI SINGIDA

Written by Alex Sonna

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imefanikiwa kufikisha umeme katika Vijiji 80 kati ya Vijiji 84 katika Wilaya ya Singida ikiwa ni dhamira ya Serikali kuendelea kuwafikishia maendeleo wananchi wa vijijini.

Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga wakati wa ziara yake jana Juni 5 ya kuwasha umeme katika Kijiji cha Mdilu na Mwasauya Kata ya Mwasauya wilayani Singida mkoani Singida na kuahidi kuwa vijiji vilivyobaki vitapata umeme kabla ya mwezi Juni kuisha.

“Ndugu zangu kazi nzuri hii mnayoiona ni matunda ya uchapakazi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Maono yake ndiyo yaliyopelekea vijiji vyote Tanzania hii kuweza kupelekewa umeme ikiwemo vijiji katika Jimbo la Singida Kaskazini.

Leo tulivyofika hapa, katika vijiji 84, vijiji 80 vimeshapelekewa umeme vimebaki vijiji 4 tuu na katika vijiji hivyo 4 kazi inaendelea na muda siyo mrefu vitaunganishwa na umeme,” amesema Naibu Waziri Kapinga.

Ameongeza kuwa, Serikali ya Awamu ya Sita imedhamiria kuwaletea maendeleo wananchi na kusisitiza kuwa safari ya kupeleka umeme katika vitongoji imeanza na kuwataka wananchi kuendelea kuwa na imani na serikali yao pamoja na viongozi kwa kuwa maendeleo ni hatua.

“Serikali ya awamu ya Sita tuliahidi na tunatenda. Nafahamu kuna vitongoji havina umeme. Lakini ndugu zangu maendeleo ni hatua. Ilikuwa ni lazima tufikishe miundombinu ya umeme kwenye vijiji ili sasa tuendelee na vitongoji.

Ni azma ya Serikali ya Awamu ya Sita kupeleka umeme kwenye vitongoji vyote na ndiyo maana kwenye mwaka wa fedha unaokuja, tumetenga fedha kupeleka umeme kwenye vitongoji 4,000. Niwahakikishie awamu kwa awamu, hatua kwa hatua vitongoji vyote vitapata umeme” amesisitiza Mhe. Kapinga.

Awali akizungumza katika hafla hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhe. Godwin Gondwe amesema kuwa umeme umeleta maendeleo makubwa katika vijiji vilivyopo katika wilaya yake, ikiwamo kuwasaidia wanawake kutotumia muda mrefu kutafuta mashine za kusaga sababu ya uwekezaji wa mashine hizo katika vijiji vyao.

Kwa upande wake Meneja wa Usimamizi wa Miradi ambaye pia alimuwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Romanus Lwena amesema kuwa Serikali imetumia zaidi ya shilingi Bilioni 80 kupeleka umeme katika vijiji Mkoani Singida huku akisema kuwa safari ya kupeleka umeme katika vitongoji katika mkoa huo imeshaanza.

“Wilaya hiyo ya Singida Vijijini ina jumla ya vitongoji 439, na katika vitongoji hivyo, 275 vimefikiwa na umeme,” amebainisha Mhandisi Lwena.

Naye Mbunge wa Singida Kaskazini, Mhe. Abeid Ighondo kwa niaba ya wananchi amemshkuru Mhe. Rais Dkt. Samia kwa miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoifikisha katika Jimbo hilo ikiwemo miradi ya umeme.

About the author

Alex Sonna