Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

Featured Kitaifa

IFANYENI SEKTA YA UVUVI AFRIKA KUCHANGIA PATO LA TAIFA:DKT BITEKO

Written by mzalendo

*Afungua rasmi mkutano wa wadau wa sekta ya uvuvi Afrika

* Ataka changamoto za uvuvi Afrika kutatuliwa

* Asema sekta ya uvuvi inachangia sh.trilioni 3.4 nchini

* Serikali kuendelea kuunga mkono sekta ya uvuvi nchini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wadau wa sekta ya uvuvi barani Afrika kuhakikisha wanaifanyia kazi sekta ya uvuvi ili kuhakikisha inachangia kwenye pato la Taifa kwa kuhakikisha rasilimalizi za uvuvi zinalindwa.

Dkt. Biteko ameyasema hayo leo Mei 5, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akifungua Mkutano wa Kwanza wa Wavuvi kufanyika baranı Afrika sambamba na Maadhimisho ya miaka 10 ya mafanikio ya sekta ya uvuvi wenye lengo la kutathmini sekta ya uvuvi ilipotoka, ilipo sasa na inapoelekea na kushirikisha wadau mbalimbali,taasisi zinazowasaidia wavuvi wadogo zilizoko Afrika na kwingineko duniani.

“ Nitoe wito kwenu wadau wa sekta ya uvuvi nchini kuhakikisha mnawapa kipaumbele wavuvi wadogo kwani ndio wanaochangia takribani asilimia 95 ya uvuvi wote Tanzania”, amesema Dkt.Biteko

Ameongeza “Takwimu zinaonesha kuwa nchi Tanzania inazalisha wastani wa tanı 475,579 za samaki katı ya hızo tani 429,168 zinatokana na uvuvi katika maji ya asılı na kuchangia kiasi cha shilingi trilioni 3.4 ambapo ni karibu na asilimia1.9 kwa mwaka”.

Aidha, Dkt. Biteko amesema licha ya jitihada zinazochukuliwa kwenye sekta ya uvuvi Tanzania Kama ilivyo kwa bara la Afrika bado inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo athari za mabadiliko ya tabianchi,ushirikishwaji mdogo wa wadau katika usimamizi wa shughuli za uvuvi hususani wanawake na vijana pamoja na upotevu wa mazao ya uvuvi baada ya kuvunwa.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema kuwa ni heshima kwa Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano huo wa kwanza Afrika wa Wavuvi Wadogo ambao chimbulo lake ni Mkutano wa kuadhimisha Mwaka wa Kimataifa wa Wavuvi Wadogo na Wafugaji Viumbe kwenye Maji (IYAFA) uliofanyika Rome nchini Italia Machi, 2023.

Ameongeza kuwq lengo la Mkutano huo wa Kwanza wa Wavuvi Wadogo Afrika ni kutoa fursa kwa Wavuvi Wadogo kushiriki na kupaza sauti zao juu ya kuboresha uvuvi mdogo ikiwa ni pamoja na kuwezesha ushirikishwaji wa wavuvi wadogo kwenye michakato ya uundwaji na utekelezaji wa sera, sheria, kanuni, mipango na mikakati yote inayohusu wavuvi wadogo.  
 
“Ni muhimu kusema kwamba uchaguzi wa Tanzania haukuwa kwa bahati, ila ni kwa kutambua umuhimu wa uvuvi mdogo kwenye nchi yetu, na hatua ambazo nchi imechukua katika kuandaa na kutekeleza Mpango wa Nchi wa Utekelezaji wa Mwongozo wa Hiyari wa Uvuvi Mdogo”, amesema Mhe Ulega.

Amefafanua kuwa Kauli mbiu ya Mkutano huo “Muongo mmoja wa Maendeleo: Kuongelea baadaye ya Uvuvi Mdogo Endelevu “ ilichaguliwa kutokana na kusherekea miaka kumi ya utekelezaji wa Mwongozo wa Hiyari wa  Uvuvi Mdogo ili kufikia uvuvi mdogo endelevu. Mkutano huu utafanya tathmini ya hali halisi ya utekelezaji Mwongozo huo wa hiyari, sambamba na utekelezaji wa muundo wa kisera na Mkakati wa Mageuzi ya Uvuvi na Ukuzaji Viumbe Maji Afrika.

“Tanzania ilikuwa nchi ya kwanza Duniani kuandaa Mpango kazi wa kutekeleza Mwongozo wa Hiyari wa wavuvi wadogo ambapo katika mkutano huu tutapata fursa ya kueleza uzoefu wetu kwa nchi nyingine.” Amesisitiza Mhe. Ulega.
 
Waziri wa Maliasili na Mabadiliko ya Tabia Nchi kutoka nchini Malawi, Mhe. Dkt. Michael Bizwick Usi amesema kuwa kupitia mkutano huo nchi wanachama wanapaswa kujadili masuala yanayohusu sekta ya uvuvi mdogo barani Afrika na kuangalia namna bora ya kuboresha kutokana na changamoto zilizopo.

Naibu Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Ang’ele Makombo N’tumba amesema kuwa kuna haja ya kuwasaidia wanawake katika sekta ya wavuvi wadogo na kuwa SADC kwa kushirikiana na wadau watasaidia nchi wanachama ili kuboresha sekta hiyo pamoja na kuzuia uvuvi haramu.

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (FAO), Dkt. Tipo Nyabenyi Tito amesema licha ya kuwepo kwa changamoto zinazowakabili wavuvi wadogo ikiwemo mabadiliko ya tabia nchi na kuwa FAO itashirikiana na wadau wa sekta ya wavuvi wadogo kwa kukuza uelewa na uwezo kwa wavuvi hao.

Kwa upande wake, Rais wa Mtandao wa Wavuvi Wadogo Barani Afrika, Bw. Gaoussou Gueye amesema kuwa sekta ya uvuvi mdogo ni muhimu hivyo inatakiwa kutumia vifaa vya kisasa ili kuongeza tija ya shughuli za uvuvi na kuwa wanawake wako katika sekta mbalimbali kuanzia ukusanyaji wa samaki hadi kuuza kwa walaji.

“Kama tunataka kusaidia uvuvi uwe endelevu lazima tuwe na mazingira wezeshe kwa wanawake ili kuleta usalama wa chakula katika bara la Afrika na utoshelevu wa chakula, katika uchumi wa buluu tunapaswa kulinda uchumi wetu kwa kukuza sekta kwa maendeleo ya Afrika.” Amesema Bw. Gueye.      

About the author

mzalendo