Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

kulisbet

maxwin, maxwin giriş

maxwin, maxwin giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

paşacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

pusulabet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

deneme bonusu veren siteler

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark

meritking

jojobet

grandpashabet

atlasbet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

betpas

jojobet

timebet

jojobet

kavbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

holiganbet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark güncel

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

maxwin

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

betkolik

jojobet

casibom

jojobet

kalebet

casibom

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

avrupabet

jojobet

betpark

meritking giriş

vdcasino

jojobet

kingroyal

Featured Kitaifa

TBA YASHIRIKI MAONESHO YA SEKTA YA UJENZI BUNGENI DODOMA

Written by mzalendo
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Bw Ludovick Nduhiye,akisalimiana na watumishi wa TBA kwenye Banda la TBA  katika Maonesho ya Sekta ya Ujenzi kuelekea Bajeti ya Wizara hiyo yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma  ambayo yanashirikisha Taasisi zote zilizoko chini ya Wizara ya Ujenzi.
Na Alex Sonna-DODOMA
WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) imeonesha kazi inazofanya kwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Maonesho ya Sekta ya Ujenzi huku Wabunge wakiipongeza kwa kuitekeleza kwa wakati  na kiwango.
Akizungumza leo Mei 28,2024 katika viwanja wa Bunge jijini Dodoma katikae maonesho ya Sekta ya Ujenzi kuelekea Bajeti ya Wizara hiyo yalifanyika Kaimu Meneja Mawasiliano  na Masomo (TBA) Fredrick Kalinga amesema lengo la maonesho hayo ni kuonesha mafanikio ambayo wameyapata katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Amesema katika utekelezaji wa miradi hiyo TBA kuna maeneo wapo  kama washauri elekezi na wasimamizi.
Amesema kuna maeneo wanatekeleza miradi kama wakandarasi ambapo mshauri anaweza kuwa kampuni nyingine.
Amesema kuna sehemu wanatekeleza miradi kama washauri elekezi na kama wakandarasi
“TBA  wanajukumu la kutoa makazi kwa viongozi wa Umma ambapo kwa Mkoa wa Dodoma wameweza kujenga katika eneo la  Kisasa na wanaendelea na mradi wa nyumba 3600 katika eneo la Nzuguni ambapo nyumba za awamu ya kwanza 150 zimekamilika na zingine 150 zinaendelea.”amesema Bw.Kalinga
Pia amesema wameenda kuwaonesha wabunge kuhusiana na utekelezaji wa agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kuitaka TBA kutekeleza sheria ambayo ilianzishwa ili kushirikiana   na sekta binafsi.
Amesema katika kutekeleza huko lengo ni kuhakikisha kwamba miradi ambayo inatekelezwa wanaongeza  spidi na kuongeza idadi ya fedha.
“Tupo hapa kuonesha miradi ambayo tumejipanga nayo kutekeleza kwa njia ya ubia kati yetu na sekta binafsi,”amesema Kalinga.
Ameitaja moja ya mradi  huo ni ule  ambao unapatikana Dar es salaam  katika eneo la Magomeni Kota ambapo kwa Dodoma ni eneo la  Nzuguni,Mwanza ni   Ghana Kota na utekelezaji wa ujenzi wa maghorofa mawili kati ya sita tayari umeanza.
“Tunatarajia maghorofa hayo yakikamilika yataenda kuchukua watu wengi zaidi.Tupo  katika maeneo mbalimbali ila tumeanza  na Majiji kwa kushirikina na sekta binafsi.
“Sambamba na hayo tumekuwa tukiwaonesha  wabunge ‘clip’ mbalimbali za umuhimu wa wabunge kulipa Kodi ambazo zinatusaidia kufanya ukarabati,”amesema Kalinga.
Pia amesema wamewaonesha wabunge jinsi wanavyoshirikiana katika miradi ya kimkakati  kama  Mji wa Serikali  ambapo wanahusika katika majengo 19 kama mshauri elekezi na jengo moja  la Utumishi ambapo limeishakamilika kama mkmdarasi.
Kuhusu ulipaji wa madeni,Bw.Kalinga amesema : ” Hali ya ulipaji imekuwa nzuri na hivi tunavyozungumza zoezi  linaendelea katika Mkoa wa Mwanza,”
Amesema zoezi hilo litakuwa  endelevu katika Mikoa mingine Tanzania Bara.
Kwa upande wake Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe Stanislaus Mabula  ameipongeza TBA kwa tekeleza miradi kwa kiwango cha Kimataifa.
“TBA imekuwa kielelezo cha ufanyaji kazi katika Nchi hii miradi yao inaubora katika hili naomba niwapongeze,”amesema Mhe. Mabula.
Aidha Mhe.Mabula  amesema licha ya Ubora wa miradi hiyo lakini TBA wanatakiwa kujenga miradi katika maeneo yote nchini.
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana,akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Meneja Usimamizi Miliki TBA,Fredy Mangula,wakati alipotembelea Banda la TBA  katika Maonesho ya Sekta ya Ujenzi kuelekea Bajeti ya Wizara hiyo yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma  ambayo yanashirikisha Taasisi zote zilizoko chini ya Wizara ya Ujenzi.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya,akiwa katika Banda la TBA  katika Maonesho ya Sekta ya Ujenzi kuelekea Bajeti ya Wizara hiyo yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma  ambayo yanashirikisha Taasisi zote zilizoko chini ya Wizara ya Ujenzi.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Bw Ludovick Nduhiye,akisalimiana na watumishi wa TBA kwenye Banda la TBA  katika Maonesho ya Sekta ya Ujenzi kuelekea Bajeti ya Wizara hiyo yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma  ambayo yanashirikisha Taasisi zote zilizoko chini ya Wizara ya Ujenzi.

About the author

mzalendo